#HABARI: Wizara ya Nishati imewahimiza wananchi wa Wilaya ya Monduli kuachana na matumizi ya kuni na mkaa na badala yake kugeuki…
#HABARI: Wizara ya Nishati imewahimiza wananchi wa Wilaya ya Monduli kuachana na matumizi ya kuni na mkaa na badala yake kugeukia nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono maono ya…
#HABARI: Sakata la Pombe kuwaathiri wanaume wakiwemo vijana katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro limechukua sura mpya baada…
#HABARI: Sakata la Pombe kuwaathiri wanaume wakiwemo vijana katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wazee katika wilaya hiyo kapaza sauti wakiiomba Serikali kukomesha…
Tanzania envisions the benefits of hosting AFCON as its preps rage on
ARUSHA: Tanzanians have been urged to take advantage of various economic opportunities arising from the construction of a new football stadium underway in Arusha City for the 2027 Africa Cup…
Serikali yawekeza Sh43.7 bilioni kwenye miradi ya maendeleo Mbeya
Serikali imetoa zaidi ya Sh43.7 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo...
Afrika Kusini yamfukuza mjumbe wa Israel kwa kumkashifu Rais Ramaphosa
Afrika Kusini imetangaza kuwa mjumbe wa Israel Ariel Seidman, ni mtu asiyekaribishwa nchini humo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo siku ya…
Air Tanzania yazindua safari za Ghana
Katika tukio hilo, ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania, ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, na kukaribishwa na salamu ya maji, maarufu kama ‘Water…
Dr Mwinyi warns against food price hike heading into Ramadhan
ZANZIBAR: THE PRESIDENT of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, has said that there is no shortage of food products in the country, so traders…
Kilimanjaro eyes to motivate the best performing schools
MOSHI: THE Executive Director of Moshi District Council, Shadrack Mhagama, has commended the Chairman of the Councilors’ Council, John Meela, for initiating the idea of providing motivation to teachers and…
Gachagua aituhumu serikali ya Ruto
Kinara wa chama cha DCP na aliyekuwa naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua, anadai mashambulizi kadhaa yamekuwa yakitekelezwa dhidi ya maisha yake akiilaumu serikali ya Rais William Ruto kuwa nyuma…
Mtandao wa simu wajivunia kuongeza faida mara mbili ndani ya miezi tisa
Mtandao wa simu Airtel Africa umepata faida baada ya kodi ya Dola za Marekani 586 milioni kwa...
Tanzania sets strategies to surpass 1.2tri/- mining revenue target
DODOMA: THE Mining Commission has set new strategies to strengthen the contribution of the mining sector to national economic growth, following a review of its performance over the past three…
Karagwe youth group achieves economic independence through agribusiness
KARAGWE: MEMBERS of YES Group in Karagwe District, Kayanga Ward, Kagera Region, have attained economic independence through the production of natural fertiliser, cooking oil and animal feed after securing a…
Tanzania shows resilience in the fight to curb the threat of NTDs
DAR ES SALAAM: AS Tanzania continues to perform well in health in collaboration and guidance of the World Health Organisation (WHO), the country has not given up the fight to…
“…kiimani tunavyozungumzia tabia hatarishi moja kwa moja tunazungumzia dhambi sio tafsiri yake au tunaweza kusema uasi kwa sab…
"...kiimani tunavyozungumzia tabia hatarishi moja kwa moja tunazungumzia dhambi sio tafsiri yake au tunaweza kusema uasi kwa sababu kwenye maandiko Biblia inasema kila atendaye dhambi amefanya uasi.." - Dismas Mwakatundu…
BoT sees financial inclusion as a key pillar of EAC development
ARUSHA: THE Deputy Governor of the Bank of Tanzania (BoT), Sauda Msemo, said the financial inclusion, together with the protection of financial service consumers, is a key pillar in strengthening…
“…..tukizungumzia tabia tunazungumzia matendo ambayo mtu anayatenda, vitu ambavyo amefanya, mazoea ambayo anakuwa nayo baadaye a…
“…..tukizungumzia tabia tunazungumzia matendo ambayo mtu anayatenda, vitu ambavyo amefanya, mazoea ambayo anakuwa nayo baadaye anajenga tabia kwa hiyo anakuwa na utaratibu wake wa kimaisha…”-Churchil Shakim-Mwandishi. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani haiwezi kukariri upumbavu wa huko nyuma
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema: "Vita vya siku 12 viliiweka Iran katika nafasi maalum na ya kipekee ya nguvu, na nina uhakika kwamba Marekani…
Aishi Manula amkosha Kocha Azam FC
KIWANGO cha kipa Aishi Manula ambacho ameendelea kukionyesha Azam FC kimemkosha Kocha Florent Ibenge, ambaye amesema kuwa klabu hiyo ilichanga vyema karata zake kwa kumsajili kipa huyo.
Kocha Alliance Girls asepa, timu yabariki
HATIMAYE baada ya tetesi za muda mrefu, Kocha Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma ameondoka klabuni hapo na kwenda kutafuta changamoto kwingine baada ya mazungumzo ya kuongeza mkataba kushindwa kufanikiwa.
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Ndugu Jabiri Makame, ametangaza marufuku ya biashara ya Mkaa wa Miti katika Mkoa wa Songwe na k…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Ndugu Jabiri Makame, ametangaza marufuku ya biashara ya Mkaa wa Miti katika Mkoa wa Songwe na kuhimiza matumizi ya Mkaa Mbadala na Nishati Safi…
Tanzania, Brazil pledge to deepen ties in strategic sectors
DODOMA: TANZANIA and Brazil have pledged to further strengthen cooperation in strategic sectors of mutual interest, including health, agriculture, trade, investment, education, as well as defence and security. The commitment…
Pedro awatangazia vita Al Ahly, wenyewe wajibu mapigo
Yanga itavaana na Al Ahly ambayo ni kinara wa kundi ambapo inahitaji ushindi kesho ili ifuzu...
🔴MEZA HURU: .ATHARI ZA TABIA HATARISHI KWENYE JAMII-.JANUARI 30, 2026
🔴MEZA HURU: .ATHARI ZA TABIA HATARISHI KWENYE JAMII-.JANUARI 30, 2026
Mourinho arudishwa tena kwa Real Madrid
Droo hiyo pia itamkutanisha kwa mara nyingine Meneja wa Benfica, Jose Mourinho na timu yake ya...
Somalia yazuia ndege ya Israel kupita katika anga yake
Somalia imekataa kuhuisha kibali cha kuruka juu ya anga lake kwa kampuni ya ndege ya Arkia Israeli Airlines, ambayo kwa kawaida hutumia anga la Somalia katika safari zake za moja…
Uturuki iko tayari kusuluhisha mvutano kati ya Marekani na Iran: Erdogan amwambia Pezeshkian
Kupitia mazungumzo ya simu, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alimwambia mwenzake wa Iran, Masoud Pezeshkian, kuwa atakutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi.
Uturuki iko tayari kusuluhisha mvutano kati ya Marekani na Iran: Erdogan amwambia Pezeshkian
Kupitia mazungumzo ya simu, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alimwambia mwenzake wa Iran, Masoud Pezeshkian, kuwa atakutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi.
Je, teknolojia inaweza kuufanya ubongo ufanye kazi vizuri zaidi?
Kuchochea ubongo kumeendelea kutumika kwa muda mrefu kutibu magonjwa kama Ugonjwa wa Parkinson. Sasa, kunafanyiwa majaribio pia kusaidia kupunguza tatizo la kupoteza kumbukumbu.
Kucheza na moto kwa Trump kunaweza kusababisha mzozo kamili kanda ya Asia Magharibi
Iran imetangaza kwamba kauli za "kuchochea vita" za Donald Trump zinazidisha mvutano wa kikanda.
WHO: Jamii zashirikiana kupambana na unyanyapaa kwa watu wanaoishi na magonjwa ya kitropiki
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO, limetoa ripoti mjini Geneva Uswisi hii leo , likionya kuwa mamilioni ya watu wanaoishi na magonjwa ya kitropiki yaliyosahaulika NTDs, bado…
UNICEF: Watoto wa Darfur Sudan hatarini kutelekezwa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF, limeiomba dunia kuitazama kwa jicho la tatu hali mbaya ya mamilioni ya watoto nchini Sudan wanaoishi katika mazingira magumu ambayo bado…
WFP: Mapigano lazima yakome Jonglei, iko katika hatihati ya baa la njaa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP, leo limetoa wito kwa pande zote zinazohusika katika mzozo unaoendelea kwenye Jimbo la Jonglei, Sudan Kusini, kusitisha mara moja…
Guterres aonya kuongezeka kwa ghasia Sudan Kusini, atoa wito kupunguza mvutano haraka
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonesha wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa ghasia nchini Sudan Kusini, akionya kuwa mapigano mapya, hasa katika Jimbo la Jonglei, yanaathiri vibaya raia…
HII LEO JARIDANI: Taarifa potofu nchini Sudan Kusini moja ya vitisho vya utekelezaji mkataba wa amani
Makubaliano ya amani nchini Sudan Kusini yanakabiliwa na vitisho na hivyo wadau lazima husika wautekeleze licha ya changamoto zilizoko, amesema Luteni Jenerali Mohan Subramanian ambaye ni Kamanda Mkuu wa kikosi…
Aga Khan Foundation yazindua mradi kuimarisha kilimo, lishe Zanzibar
Taasisi ya Aga Khan Foundation imezindua Mradi wa Maendeleo Plus unaohusisha mpango wa kilimo...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….JANUARI 30, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 30, 2026
Tanzania injects 2bn/- to support content creators engaged in arts, sports, tourism sectors
DAR ES SALAAM; THE Tanzanian government has disbursed 2bn/- to support online content creators by enabling them to improve their work and increase their income through digital platforms. The Minister…
Rais Pezeshkian: Iran haitaanzisha vita, lakini itatoa jibu kali kwa uvamizi wowote dhidi yake
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haikaribishi vita, lakini itatoa jibu kali na la haraka kwa uvamizi wowote dhidi yake.
Spika wa Bunge la Iran: Jeshi la SEPAH ndio mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugaidi
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amesema kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) ni mojawapo ya vikosi imarai…
Ripota wa Umoja wa Mataifa: Kuna ulazima wa kusitishwa uhusiano na utawala wa Israel
Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na Israel ametoa wito kwa nchi kote ulimwenguni kusitisha uhusiano wao na utawala wa Israel na kuweka…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema urafiki kati ya Uingereza na China unaoonekana kuendelea kuimarika ‘ni hatari sana’ wakati…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema urafiki kati ya Uingereza na China unaoonekana kuendelea kuimarika ‘ni hatari sana’ wakati huu ambapo Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer akiwa ziarani katika…
Beyond Privacy Day: Why protecting personal data must remain national priority
DAR ES SALAAM: EARLIER this week, on 28 January 2026, Tanzania joined the rest of the world in marking Privacy Day, a moment set aside to reflect on the value…
Guterres aelezea wasiwasi wa ongezeko la vurugu Sudan
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameelezea wasiwasi wa ongezeko la vurugu nchini Sudan Kusini na amesisitiza wito wake wa kulindwa kwa raia.
Serikali wilayani Kongwa imewapiga marufuku wakulima wa wilaya hiyo wanaofanya shughuli zao pembezoni mwa chanzo cha maji Kibaig…
Serikali wilayani Kongwa imewapiga marufuku wakulima wa wilaya hiyo wanaofanya shughuli zao pembezoni mwa chanzo cha maji Kibaigwa kwa hofu ya kuharibiwa kwa chanzo hicho hali inayoweza kuhatarisha upatikanaji wa…
Tanzania launches Thamini Uhai project in a move to reduce newborn deaths
DODOMA: The Ministry of Health in partnership with Thamini Uhai have launched a project aimed at reducing maternal and newborn deaths in Geita, Katavi, and Kigoma regions. Speaking during the…
Mapya yaibuka maiti iliyofukuliwa Dodoma
Marehemu Kanyamala alifariki dunia Januari 15, 2026, baada ya kugongwa na gari jijini Dar es...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo, Mathew amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi wa Mji w…
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo, Mathew amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi wa Mji wa Ngudu wanapata huduma ya maji safi na salama kupitia utekelezaji wa miradi…