Watu kadhaa wametekwa nyara katika mashambulizi dhidi ya makanisa nchini Nigeria
Majambazi wenye silaha wamewateka nyara waumini kadhaa kutoka makanisa mawili katika Jimbo la Kaduna, nchini Nigeria, polisi imetangaza siku ya Jumatatu. Kiongozi wa kidini anasema zaidi ya watu 160 wametekwa…
Rais Pezeshkian: Matukio ya hivi karibuni Iran yalikuwa mwendelezo wa njama zilizoshindwa za Marekani na Israel katika vita vya siku 12
Rais Masoud Pezeshkian amesema kuwa, matukio ya hivi karibuni nchini Iran yalikuwa mwendelezo wa njama zilizofeli za Marekani na utawala wa Kizayuni katika vita vya siku 12 dhidi ya taifa…
Lieberman: Makombora ya Iran yamebadilisha kanuni za vita na hatujajiandaa kukabiliana nayo
Kiongozi wa chama cha Yisrael Beiteinu, Avigdor Lieberman, ameonya kuhusu tishio linaloongezeka la Iran, akidai kwamba, makombora ya Iran yamebadilisha kanuni za vita na kutoa wito wa maandalizi ya kuhamisha…
‘Nataka kuuonyesha ulimwengu Afrika: Nyota wa YouTube aleta furaha na machozi kwenye ziara yake
Wamarekani wenye asili ya Afrika wameguswa kuona upendo na heshima ikionyeshwa kwa mwenzao, ambaye atatimiza miaka 21 wakati wa ziara yake ya "Speed Does Africa."
Trump asema atatekeleza kwa ‘asilimia 100’ tishio la ushuru kwa Greenland, EU yaahidi kulinda maslahi yake
Donald Trump ameapa kwa '100%' kutekeleza tishio lake la kutoza ushuru kwa nchi za Ulaya zinazopinga mpango wake kuidhibiti Greenland.
Baadhi ya wazazi Simiyu kushindwa kuandikisha watoto kwa kukosa elfu 15 za cheti cha kuzaliwa
Baadhi ya wazazi Simiyu kushindwa kuandikisha watoto kwa kukosa elfu 15 za cheti cha kuzaliwa. Je, walioweka utaratibu huu waadhibiwe kwa kukiuka utaratibu wa Serikali?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 20, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 20, 2026
Je, mustakabali wa kiongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utakuwaje?
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, ambaye amejificha kwa mara ya pili katika kipindi cha miezi saba, anajua kuwa sasa anaweza kuwa shabaha binafsi.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne: Konate hajafikia mkataba mpya na Liverpool
Ibrahima Konate anataka kulipwa zaidi, Flamengo haijakata tamaa ya kumsajili Lucas Paqueta na Chelsea huenda ikalazimika kuongeza juhudi zaidi ili kumnasa Jeremy Jacquet.
Palestina: Idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa vilema inaongezeka
Mkuu wa idara ya habari ya Wizara ya Afya ya Palestina huko Gaza ametangaza kuwa, idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa vilema inazidi kuongezeka katika Ukanda huo unaokabiliwa na hali mbaya…
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Sudan
Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Sudan huku vita vya wenyewe kwa wenyewe vikiendelea nchini humo.
Baraza la Katiba CAR lamtangaza Rais Faustin-Archange Touadéra kuwa alishinda uchaguzi
Baraza la Katiba nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, limetangaza mnamo Januari 19, 2026, kuchaguliwa tena Rais Faustin-Archange Touadéra kwa muhula wa tatu.
Jumanne, 20 Januari, 2026
Leo ni Jumanne tarehe 30 Rajab 1447 Hijria mwafaka na tarehe 20 Januari 2026.
Je, Trump anajaribu kufidia udhalilishaji wa kihistoria iliofanyiwa Marekani 2016 na Iran?
Tarehe 12 Januari (Dei 22) ni ukumbusho wa siku ambayo wanajeshi wa Marekani walitekwa na majeshi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.
#DAKIKA45: “Tunatoa adhabu lakini tunaona unampiga mtu adhabu ya shilingi Elfu 50 kwenye Bajaji wakati leseni yake elfu 30 labda…
#DAKIKA45: "Tunatoa adhabu lakini tunaona unampiga mtu adhabu ya shilingi Elfu 50 kwenye Bajaji wakati leseni yake elfu 30 labda, Pikipiki labda Elfu 20, halafu unampiga faini Elfu 50, sisi…
Ila huyu Begum ameyataka
Ila huyu Begum ameyataka
#HABARI: Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imezindua ujenzi wa kituo cha “Msichana Center” mjini Bagamoyo, mkoani …
#HABARI: Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imezindua ujenzi wa kituo cha "Msichana Center" mjini Bagamoyo, mkoani Pwani, kikiwa ni kituo cha tano cha aina hiyo kuanzishwa nchini. Kituo…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 19, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 19, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 19, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 19, 2026
#DAKIKA45: “Kwenye hizi Bodaboda, Bajaji ni kweli wanaingilia utaratibu wa Daladala wengine wanavunja sheria, bali tunaona ni us…
#DAKIKA45: "Kwenye hizi Bodaboda, Bajaji ni kweli wanaingilia utaratibu wa Daladala wengine wanavunja sheria, bali tunaona ni usafiri muhimu mjini tunachotakiwa ni kuuboresha, kwanza watii sheria, hivi ninavyozungumza kwa Mwaka…
Hapa kuna ‘gemu’ linapikwa ohoo #AzamTWO
Hapa kuna 'gemu' linapikwa ohoo #AzamTWO
#DAKIKA45: “Kwenye hili eneo la udhibiti wa nauli tunayo kanuni ambayo inaeleza utaratibu wa kufanya maamuzi ya nauli “CPA Dkt.H…
#DAKIKA45: "Kwenye hili eneo la udhibiti wa nauli tunayo kanuni ambayo inaeleza utaratibu wa kufanya maamuzi ya nauli "CPA Dkt.Habibu Suluo - Mkurugenzi Mkuu LATRA. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
Simba imemtambulisha beki wa kushoto, Nickson Kibabage ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili
Simba imemtambulisha beki wa kushoto, Nickson Kibabage ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili. Ikumbukwe siku chache zilizopita uongozi wa Singida Black Stars alikokuwa akikipiga nyota huyo ulitoa taarifa kwa umma…
Mwekezaji wa ndani, Leonard Bugomola Kiganga, amewekeza zaidi ya shilingi bilioni 2 katika mradi wa LENNY HOTELS LIMITED uliopo …
Mwekezaji wa ndani, Leonard Bugomola Kiganga, amewekeza zaidi ya shilingi bilioni 2 katika mradi wa LENNY HOTELS LIMITED uliopo Bombambili, mkoani Geita, hatua inayotarajiwa kutoa ajira zisizopungua 200 kwa Watanzania.…
Umewahi kujiuliza kwa nini watoto waliopo darasa moja, wanaofundishwa na mwalimu yule yule, hutofautiana katika uwezo wa kuelewa…
Umewahi kujiuliza kwa nini watoto waliopo darasa moja, wanaofundishwa na mwalimu yule yule, hutofautiana katika uwezo wa kuelewa Makala ya Ufunguo ya Faraja Sendegeya inatupa majibu. Mhariri @moseskwindi
Wananchi wa kata ya Nanyala wilayani Mbozi wameiomba serikali kuwasaidia kukamilisha mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya shi…
Wananchi wa kata ya Nanyala wilayani Mbozi wameiomba serikali kuwasaidia kukamilisha mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 800 ambao ujenzi wake umekuwa ukisuasua tangu mwaka 2024.…
Jeshi la polisi mkoani Tabora linamtafuta mwanamke anayetuhumiwa kumtelekeza mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku ta…
Jeshi la polisi mkoani Tabora linamtafuta mwanamke anayetuhumiwa kumtelekeza mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku tano katika nyumba ya kulala wageni wilayani Nzega. Mbali ya msako huo pia…
#HABARI: Serikali imetakiwa kuhakikisha mamlaka husika zinaweka matumizi bora ya ardhi nchini ili kuchochea maendeleo na kumaliz…
#HABARI: Serikali imetakiwa kuhakikisha mamlaka husika zinaweka matumizi bora ya ardhi nchini ili kuchochea maendeleo na kumaliza migogoro ya muda mrefu. Mpango huo unalenga kutatua changamoto kati ya wakulima na…
🔴DAKIKA 45 NA CPA DKT HABIBU SULUO KUTOKA LATRA….JANUARI 19, 2026
🔴DAKIKA 45 NA CPA DKT HABIBU SULUO KUTOKA LATRA....JANUARI 19, 2026
NBC Premier League kuendelea Jumanne hii kwa michezo miwili
NBC Premier League kuendelea Jumanne hii kwa michezo miwili Saa 10:00 jioni, AzamFC watakuwa nyumbani Azam Complex wakiwakaribisha Fountain Gate. Saa 1:00 usiku, Singida BS watakuwa dimba la KMC Complex…
Londo ahimiza bunifu za kiteknolojia kuchochea mapinduzi ya kilimo
Amesema kuwa maendeleo ya kilimo ndiyo msingi wa maendeleo ya viwanda na chanzo kikuu cha...
Sh4 bilioni kujenga kituo cha wasichana waathirika wa ukatili
Kukabiliana na hilo, Shirika la Msichana Initiative limeanza ujenzi wa kituo maalumu ambacho...
Upelelezi kesi ya wanaodaiwa kuchana noti, wakamilika
Kwa sasa Jamhuri ipo katika hatua ya kusajili taarifa pamoja na nyaraka muhimu Mahakama Kuu ili...
#MICHEZO:Katika jitihada za kupunguza changamoto za ajira miongoni mwa vijana, wadau wa sanaa nchini wameanzisha Shindano la Sma…
#MICHEZO:Katika jitihada za kupunguza changamoto za ajira miongoni mwa vijana, wadau wa sanaa nchini wameanzisha Shindano la Smart Gin Street Dancers lenye lengo la kubaini, kukuza na kuinua vipaji vya…
#HABARI: Mwanamke mmoja asiyejulikana ametelekeza kichanga cha siku tatu katika nyumba ya wageni wilayani Nzega, mkoani Tabora, …
#HABARI: Mwanamke mmoja asiyejulikana ametelekeza kichanga cha siku tatu katika nyumba ya wageni wilayani Nzega, mkoani Tabora, na kutoweka kusikojulikana. Tukio hilo limemlazimu Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Bi. Naitapwaki…
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 19, 2026 – UPEPO WAEZUA NYUMBA NA KUJERUHI WATOTO RUKWA
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 19, 2026 - UPEPO WAEZUA NYUMBA NA KUJERUHI WATOTO RUKWA
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU – 19/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 19/01/2026
Mwanamke aliefahamika kwa jina la Hadija Jumaa anaekadiliwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 30, mkazi wa mji wa Handeni mkoani Ta…
Mwanamke aliefahamika kwa jina la Hadija Jumaa anaekadiliwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 30, mkazi wa mji wa Handeni mkoani Tanga, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali…
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, amemuagiza Waziri wa Afya Mhe
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, amemuagiza Waziri wa Afya Mhe. Mohamedy Mchengerwa kuhakikisha gari la wagonjwa (Ambulance) linafika katika Hospitali ya Wilaya Singida Vijijini…
Mwanafunzi ashambuliwa na mbwa Iringa
Iringa. Rahimatullahi Ng’amilo (9), mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi...
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, amewaelekeza wasimamizi wa miradi mikoani k…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, amewaelekeza wasimamizi wa miradi mikoani kuimarisha ushirikiano na viongozi wa maeneo husika ili kurahisisha usambazaji wa umeme. Maelekezo…
Wanachama 27 wajitokeza kumrithi Jenista, vikao kuamua
Jenista alifariki dunia Desemba 11, 2025 jijini Dodoma kutokana na maradhi ya moyo na Desemba...
#HABARI: Hadija Jumaa, mama wa watoto wanne mkazi wa mtaa wa Mji Mpya mjini Handeni, ameuawa usiku wa kuamkia juzi baada ya kuto…
#HABARI: Hadija Jumaa, mama wa watoto wanne mkazi wa mtaa wa Mji Mpya mjini Handeni, ameuawa usiku wa kuamkia juzi baada ya kutokea ugomvi na mwanaume aliyekuwa akiishi naye. Tukio…
LIGI KUU YA NBC 2025/2026
LIGI KUU YA NBC 2025/2026 ➡️ full time 🔰 YANGA - 6 🦍 MASHUJAA - 0 ⚽ Camara ⚽ Abuya ⚽ Pacome ⚽ Dube ⚽ Mudathir ⚽ Depu
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy amewaelekeza Wasimamizi wa Miradi wa Mikoa kuhakikisha wanaimarisha Mawasiliano na Ushirikiano na wadau mbalimbali kwenye maeneo ya miradi ili…