Vigogo kushiriki ibada ya kuaga mwili wa Mhagama
Dodoma. Viongozi mbalimbali Serikali na wabunge wameanza kuwasili katika Kanisa Katoliki...
Raia wa Bulgaria, mwenzake kizimbani wakidaiwa kutakatisha Sh346 milioni mali ya CRDB, NBC
Washtakiwa hao wamefikishwa hapo jana Ijumaa, Desemba 12, 2025 na kusomewa mashtaka yao mbele...
Sababu Sopu kutemwa Stars akimpisha Gomez
Mabadiliko hayo yamebainishwa leo Jumamosi Desemba 13, 2025 na TFF, ikiwa ni siku nane kabla ya...
Masauni achaguliwa Makamu wa Rais UNEA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Masauni amechaguliwa kuwa...
UN yasikitishwa na shambulio la droni lililoua zaidi ya raia 30 Sudan
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesikitishwa sana na shambulio la droni yaani ndege isiyo na rubani lililoua raia wasiopungua 30 katika Jimbo la Darfur Kusini, huko Sudan.
Ulega awaonya mameneja wa Tanroads wasiozingatia maslahi ya vijana
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema meneja yeyote wa Tanroads ambaye mradi hautanufaisha...
Serikali yatoa maagizo kuondoa foleni Tunduma
TUNDUMA: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kufanya tathmini ya kutanua barabara katika mpaka wa Tunduma unaopitisha magari yaendayo nchi jirani za Zambia na DR Congo…
Hii vita wa kuiamua ni wao wenyewe 🙌😭
Hii vita wa kuiamua ni wao wenyewe 🙌😭 #NomaSeries
#HABARI: Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema hahusiki na ukiukwaji wa makubaliano yaliyosainiwa baina yake, Marekani na Jamhuri …
#HABARI: Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema hahusiki na ukiukwaji wa makubaliano yaliyosainiwa baina yake, Marekani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wiki iliyopita mjini Washington. Rais Kagame amesisitiza kwamba…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kufanya tathmini ya kutanua barabara katika mpaka wa T…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kufanya tathmini ya kutanua barabara katika mpaka wa Tunduma unaopitisha magari yaendayo nchi jirani za Zambia na DR Congo ili…
‘Ondoka, mwizi wewe. Barakoa yako imeanguka’: Maduro aishutumu Marekani kwa kunyemelea mafuta ya Venezuela
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, ameishutumu Marekani kwa kutumia madai ya biashara haramu ya dawa za kulevya kama kisingizio cha kunyakua maliasili za nchi yake, hasa mafuta ya petroli.
‘Ondoka, mwizi wewe. Barakoa yako imeanguka’: Maduro aishutumu Marekani kwa kunyenelea mafuta ya Venezuela
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, ameishutumu Marekani kwa kutumia madai ya biashara haramu ya dawa za kulevya kama kisingizio cha kunyakua maliasili za nchi yake, hasa mafuta ya petroli.
WFP yaamua kupunguza mgao wa chakula kwa wanaokabiliwa na njaa nchini Sudan
Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kwamba litaanza kupunguza mgao wa chakula unaotolewa kwa watu wa Sudan wanaokabiliwa na hatari ya njaa, kutokana na ukosefu wa…
Trump, Clinton na Gates waonekana katika seti mpya ya picha za Epstein
Wanachama wa chama cha Democratic katika Congress ya Marekani wamefichua picha mpya zinazomdhihirisha Rais wa Marekani, Donald Trump, Rais wa zamani Bill Clinton, mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates na watu…
Mbaroni kwa tuhuma kuwatapeli kimapenzi ‘mishangazi’ mtandaoni
Abu Trica anakabiliwa na mashtaka nchini Marekani ya kula njama ya kufanya udanganyifu wa...
Anko Kitime: Enzi zile kulikuwa na social evening
Leo nimeamka kichwani kinaimba kibao cha Chakula Kwa Jirani kilichoporomoshwa mwanzoni mwa...
Wapalestina 14, wakiwemo watoto, wafariki dunia Gaza kutokana na baridi kali
Wapalestina wasiopungua 14 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika kipindi cha chini ya saa 24 huku baridi na dhoruba kali ikiendelea kunguruma katika Ukanda wa Gaza, na kuangusha majengo…
TFF, NSC launch travel packages for fans heading to AFCON 2025
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Football Federation (TFF), in partnership with the National Sports Council (NSC) and Blueberry Travels, have unveiled an organised travel programme for fans wishing to accompany…
Kama ishara ya mvutano na Ethiopia: Eritrea yajiondoa tena katika jumuiya ya IGAD
Eritrea ilitangaza jana Ijumaa kwamba imejiondoa katika Jumuiya ya Maendeleo ya Serikali za nchi za Afrika Mashariki, maarufu kama IGAD, huku Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, akielezea…
Wanane wateketea kwa moto ajali ya lori la mafuta Cameroon
Maofisa wa kikosi cha Zimamoto walilazimika kuzima moto kwa siku nzima jana Ijumaa Desemba 12...
Nkya makes history with fourth straight title at 2025 Lina PG Tour Pro-Am
MOROGORO: PROFESSIONAL golfer Fadhil Nkya has cemented his dominance on the Tanzanian golf scene after securing his fourth consecutive victory in the Lina PG Tour Pro-Am 2025 Series. The latest…
Siham amuwakia Maryam baada ya kukuta jina lake limeandikwa na Basma
Siham amuwakia Maryam baada ya kukuta jina lake limeandikwa na Basma. Sauti ya mtoto wake inasikika masikioni mwa Siham. Mambo yatachukua sura mpya Usikose kutazama Ummy leo saa 1:00 usiku…
Baada ya kuachwa, Mwana amfanyia Chichi usiku wa talaka lele lele 😅🙌 Nawanda awekewa mshahara mnono na Wendy ili akae kimya kwa …
Baada ya kuachwa, Mwana amfanyia Chichi usiku wa talaka lele lele 😅🙌 Nawanda awekewa mshahara mnono na Wendy ili akae kimya kwa alichokiona ofisini...Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku…
Aziza na Jemo wanalazimika kusema ukweli kwanini wanajificha
Aziza na Jemo wanalazimika kusema ukweli kwanini wanajificha. Yusuf anatakiwa kuwasaidia wasikamatwe na kina Yavuz. Hashmet, Melis na wanafamilia wengine hawaoni uzito huo. Balim ana swali zito kidogo kwa Aziza…
Mhandisi Masauni Makamu wa Rais UNEA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA). Hayo…
Idris Elba atangaza mpango wa kuacha uigizaji
Staa wa Hollywood, Idris Elba (53), amesema kwamba ana mpango wa kuachana na uigizaji katika...
Kobisi ameombwa aigize kwa mara ya mwisho…Eeeeh hii ya Madina leo mbona kazi 😆 Shughuli ya Shida pambe sio pambe?
Kobisi ameombwa aigize kwa mara ya mwisho...Eeeeh hii ya Madina leo mbona kazi 😆 Shughuli ya Shida pambe sio pambe? 😅 Tukutane saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
How tourism has transformed lives, industries in Tanzania
KILIMANJARO: WHEN dawn breaks over the slopes of Kilimanjaro, the mountain comes alive. Dozens of porters hoist brightly coloured tents onto their shoulders, guides gather their teams, and climbers from…
#HABARI: Mchungaji wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kijitonyama Dr
#HABARI: Mchungaji wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kijitonyama Dr. Eliona Kimaro, amewasihi Watanzania kukemea na kukataa roho za machafuko, akirejea matukio ya Oktoba 29 na kuwataka waumini kulaani na…
Ubunge wa Spika Zungu wapingwa kortini
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Ilala katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kupitia Chama...
2025 ni ndoa juu ya ndoa kwa Mastaa
Tasnia ya burudani nchini kwa mwaka 2025 imeonekana kupiga hatua hasa katika mahusiano. Hii ni...
Muleba resident donates land, building to TPF
MULEBA: IN a rare but exemplary action, Mr Prosper Rweyendera (79), a resident of Ijumbi Ward, in Muleba District has donated land and a building freely to the Tanzania Police…
RC Kunenge rallies support for Samia’s 100-day goals
COAST REGION: GOVERNMENT leaders in the Coast Region have been urged to eliminate bureaucratic hurdles in the execution of their duties and support President Samia Suluhu Hassan in delivering the…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DESEMBA 13, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DESEMBA 13, 2025
Simulizi lori lilivyoacha njia na kuua bodaboda watano, wawili watambuliwa
Ni simulizi ya majonzi ya jinsia lori lililofeli breki lilivyowaparamia vijaa watano waendesha...
#KIPIMAJOTO: Agizo la mgao wa maji kwa usawa
#KIPIMAJOTO: Agizo la mgao wa maji kwa usawa. Je, Mamlaka itangaze ratiba kuondoa malalamiko?
🔴#MAGAZETI: POLISI – TUNAMSHIKILIA MWAMBE TUHUMA ZA JINAI….DESEMBA 13, 2025
🔴#MAGAZETI: POLISI - TUNAMSHIKILIA MWAMBE TUHUMA ZA JINAI....DESEMBA 13, 2025
Five bodaboda riders perish in road carnage
DODOMA: FIVE motorcycle taxi riders (bodaboda) were killed and one injured on Thursday night at Makulu area in Dodoma when a lorry lost control and crashed into a group of…
VP, PM to lead Mhagama’s dignified farewel
DODOMA: VICE-President, Dr Emmanuel Nchimbi said yesterday that the nation has suffered a great loss following the passing of the former Member of Parliament for Peramiho, Jenista Mhagama. He said…
Baraza Kuu la UN lapasisha azimio la kuitaka Israel iondoe vizuizi vya msaada Gaza
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio linaloitaka Israel kuruhusu kutolewa kwa huduma za kibinadamu pasi na vikwazo na vizingiti katika Ukanda wa Gaza.
Experts, citizens hail security, peace strengthening efforts
TANZANIANS have commended the government’s efforts to bolster national security through its defence and security agencies, recognising that these measures play a crucial role in safeguarding the country’s broader economic…
Iran, Russia zasisitiza kutekeleza mkataba wa ushirikiano wa kimkakati katika mazungumzo ya Pezeshkian na Putin
Rais Masoud Pezeshkian jana Ijumaa alikutana na kuzungumza na Rais Vladimir Putin wa Russia pambizoni mwa Mkutano wa Kimataifa wa Amani na Uaminifu uliofanyika huko Ashgabat mji mkuu wa Turkmenistan…
Israel yakiri: Tulisababisha uharibifu mdogo kwa Iran kuliko ilivyodhaniwa hapo awali
Israel imekiri kuwa ilisababisha uharibifu wa kiwango kidogo kwa Iran wakati wa vita vya siku 12 mwezi Juni mwaka huu kuliko ilivyofikiriwa awali.
Mamia ya askari wa Afrika Magharibi wanaendelea ‘kusafisha’ Benin
Waziri wa Mambo ya Nje wa Benin amesema wanajeshi wapatao 200 wa Afrika Magharibi, wengi wao kutoka Nigeria na Ivory Coast, wako nchini Benin kuiunga mkono serikali kufuatia mapinduzi yaliyofeli…
Mvua kubwa na radi yaua watu 14 nchini Malawi
Radi imeua watu 14 nchini Malawi katika muda wa wiki mbili zilizopita, huku nyumba 8,000 zikiharibiwa na kubomoka katika nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Afrika kufuatia kushtadi mvua kubwa…
Kwa nini EU imejikita katika kuwafukuza wakimbizi badala ya kutatua mgogoro wa uhamiaji?
Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zimeidhinisha rasimu ya "Kanuni ya kuanzisha mfumo wa pamoja wa kuwarejesha raia wa nchi ya tatu wasio na vibali halali vya ukaazi.
Jumamosi, 13 Disemba, 2025
Leo ni Jumamosi mwezi 22 Mfunguo Tisa 1447 Hijria mwafaka na 13 Disemba 2025 Miladia.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 13, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari…
#HABARI: Huzuni imetawala wakati mwili wa marehemu Jenista Mhagama ukifikishwa nyumbani kwake, Itega jijini Dodoma
#HABARI: Huzuni imetawala wakati mwili wa marehemu Jenista Mhagama ukifikishwa nyumbani kwake, Itega jijini Dodoma. Marehemu Jenista aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na aliyewahi kuzitumikia Wizara kadhaa enzi za uhai wake.…