Ni kipaji gan unatamani ungekuwa nacho?
Ni kipaji gan unatamani ungekuwa nacho? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
“Unapoimba kama kundi unatakiwa pia uwafikirie na wenzako
"Unapoimba kama kundi unatakiwa pia uwafikirie na wenzako. Kwamba usiandike ukavuka mipaka pengine ukajipakulia minyama zaidi, ukawasahau na wengine kwamba wakija wataimba wapi?- @officialwelle kutoka @welleandtheband #SentroYaCloudstv
Burudani kutoka kwa @officialwelle akiwakilisha @welleandtheband hapa Kitivoni Sentro Clouds TV
Burudani kutoka kwa @officialwelle akiwakilisha @welleandtheband hapa Kitivoni Sentro Clouds TV. #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Hali halisi nyumbani kwa Mashavu…Maswali muhumu na magumu ambananisha Awadh wake
Hali halisi nyumbani kwa Mashavu...Maswali muhumu na magumu ambananisha Awadh wake... #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Hashmet haeleweki kuna muda ana roho mbaya kuna muda ubinadamu unamuijia
Hashmet haeleweki kuna muda ana roho mbaya kuna muda ubinadamu unamuijia
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salama (DAWASA), kugawa maji kwa usawa kuw…
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salama (DAWASA), kugawa maji kwa usawa kuweka ratiba ya mgao wa maji na kuhakikisha inakuwa…
🔴KIPIMAJOTO: NINI KIFANYIKE KUWEKA MAZINGIRA YENYE TIJA KWA VIJANA KUJIAJIRI KUPITIA KILIMO?
🔴KIPIMAJOTO: NINI KIFANYIKE KUWEKA MAZINGIRA YENYE TIJA KWA VIJANA KUJIAJIRI KUPITIA KILIMO?
Watu watatu wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na kanisa walimokuwa wamejikinga na mvua iliyoambata…
Watu watatu wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na kanisa walimokuwa wamejikinga na mvua iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha leo mchana, wilayani Bariadi mkoani Simiyu. #AzamTVUpdates Mhariri…
Mkoani Mtwara, katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, tumekutana na Mohamed Abdallah Chinung’a ambaye licha ya kuwa na umri wa mia…
Mkoani Mtwara, katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, tumekutana na Mohamed Abdallah Chinung’a ambaye licha ya kuwa na umri wa miaka 98 bado anachapa kazi za kumuingizia kipato, akiwa na imani…
#HABARI: Katika hali isiyotarajiwa, Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mh
#HABARI: Katika hali isiyotarajiwa, Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mh. Abdallah Ulega, amejikuta akitoa fedha ambazo kiasi chake hakikufahamika mara moja kama zawadi kwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani…
Madereva bodaboda watano wamefariki dunia baada ya kugongwa na lori lenye namba za usajili T 824 EKS, ambalo lilipata hitilafu k…
Madereva bodaboda watano wamefariki dunia baada ya kugongwa na lori lenye namba za usajili T 824 EKS, ambalo lilipata hitilafu kwenye mfumo wa breki katika eneo la Makulu, barabara inayoelekea…
Mtihani mwingine kwa Maryam, vipimo vya Basma vinatakiwa shuleni…Itakuwaje?
Mtihani mwingine kwa Maryam, vipimo vya Basma vinatakiwa shuleni...Itakuwaje?
Wakazi wa Mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa ambao waliweka jitihada za makusudi kutunza chanzo chao cha maji, wameanza kunufai…
Wakazi wa Mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa ambao waliweka jitihada za makusudi kutunza chanzo chao cha maji, wameanza kunufaika na uhifadhi walioufanya. Hivi sasa wanapata maji ya uhakika kwa…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amekagua miradi miwili ya maji katika Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma itakayo…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amekagua miradi miwili ya maji katika Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma itakayogharimu zaidi ya shilingi bilioni 14.6 na kusaidia kutatua changamoto…
Mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha Ukanda wa Gaza yamewaweka hatarini zaidi ya wakazi 800,000 ambao hivi sasa wanak…
Mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha Ukanda wa Gaza yamewaweka hatarini zaidi ya wakazi 800,000 ambao hivi sasa wanakumbwa na dhoruba kali kutokana na kuanza kwa msimu wa baridi kali.…
Chongolo: Miradi yote ya umwagiliaji itakamilika, Tume mjipange
Mtwara. Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo amesema Serikali itakikisha miradi yote ya...
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Mhagama limefikishwa nyumbani kwake Itega kwa ajili…
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Mhagama limefikishwa nyumbani kwake Itega kwa ajili ya maandalizi ya ibada ya kuuaga mwili itakayofanyika kesho katika kanisa…
Wakati kukiwa na kilio cha wananchi kuhusu upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo nchini, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa …
Wakati kukiwa na kilio cha wananchi kuhusu upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo nchini, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekiri kukabiliwa na…
Mbunge pekee wa viti maalumu mkoa wa njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Sigrada Mligo, amewaomba viongozi wa se…
Mbunge pekee wa viti maalumu mkoa wa njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Sigrada Mligo, amewaomba viongozi wa serikali na viongozi wa siasa, washirikiane katika kuujenga mkoa huo…
#SentroYaCloudstv #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
#SentroYaCloudstv #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Ila Kobisi, jamani sasa mahari si mwari siku zote 😅
Ila Kobisi, jamani sasa mahari si mwari siku zote 😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Madereva watano wa bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kuparamiwa na lori wakiwa kijiweni eneo Makulu jijini Dodoma
Madereva watano wa bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kuparamiwa na lori wakiwa kijiweni eneo Makulu jijini Dodoma. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo ambako inadaiwa lori hilo…
Photos from Habari Star TV Tanzania’s post
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 12 Desemba 2025, amepokea tuzo ya kuwa Kivutio Bora cha Mikutano ya Kimkakati Barani…
#HABARI: Jeshi la Magereza nchini limetekeleza agizo la Serikali la Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa Taasisi zinazolisha …
#HABARI: Jeshi la Magereza nchini limetekeleza agizo la Serikali la Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa Taasisi zinazolisha watu zaidi ya 100 suala linaloifanya jeshi hilo kujikinga na athari…
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, ameendelea kuonesha msukumo wa mageuzi ya kilimo nchini baada ya kuzindua miongozo mipya ya u…
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, ameendelea kuonesha msukumo wa mageuzi ya kilimo nchini baada ya kuzindua miongozo mipya ya uzalishaji endelevu wa mazao muhimu kama ufuta, maharage, dengu, choroko, soya…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 12/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 12/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 12, 2025 – WATANO WAFARIKI AJALI YA LORI DODOMA
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 12, 2025 - WATANO WAFARIKI AJALI YA LORI DODOMA
Maji kizungumkuti, Dawasa yataja mkakati
Wananchi wakiendelea kulalamikia changamoto ya upatikanaji wa huduma majisafi na salama...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu ameipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa k…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu ameipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa kusuluhisha migogoro ya kazi 4,339 hadi kufikia Septemba…
Lebanon: Israel yaendesha mashambulizi makali dhidi ya Hezbollah kusini na mashariki
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa kusini na mashariki mwa Lebanon leo Ijumaa asubuhi, Desemba 12. Msemaji wa jeshi la Israel amesema katika taarifa kwa vyombo…
Serikali imesema itaendelea kuboresha mazingira ya usafiri wa sekta ya bahari pamoja na rasilimali zinazopatikana baharini, ikiw…
Serikali imesema itaendelea kuboresha mazingira ya usafiri wa sekta ya bahari pamoja na rasilimali zinazopatikana baharini, ikiwemo kuandaa sera ya usafiri wa majini ili kuchangia ipasavyo katika uchumi wa nchi.…
Barham Saleh ateuliwa kuongoza UNHCR, Shirika la Wakimbizi la UM
Rais wa zamani wa Iraq Barham Saleh, kutoka jamii ya Wakurdi, ameteuliwa kuwa mkuu wa UNHCR, Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, chanzo cha Umoja wa Mataifa, kikizungumza kwa…
Shirika la Reli Nchini (TRC) linatarajia kuanza ujenzi wa reli ya kisasa katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, ikiwa ni hat…
Shirika la Reli Nchini (TRC) linatarajia kuanza ujenzi wa reli ya kisasa katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, ikiwa ni hatua muhimu ya kutatua changamoto ya usafiri na foleni…
Mashariki mwa DRC: Umoja wa Mataifa una hofu ya ‘vurugu kuenea katika kanda nzima
Mkuu wa operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa ameonya leo Ijumaa Desemba 12, 2025, kuhusu tishio la “vurugu za kikanda” katika eneo la Maziwa Makuu, kufuatia shambulio jipya…
#HABARI: Ikiwa ni simu ya pili tangu kutokea kifo cha aliyekuwa waziri katika wizara mbalimbali na Mbunge wa Jimbo la Peramiho m…
#HABARI: Ikiwa ni simu ya pili tangu kutokea kifo cha aliyekuwa waziri katika wizara mbalimbali na Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, leo Desemba 12, 2025 wabunge, mawaziri na…
VIDEO: Mchengerwa aeleza dakika za mwisho kabla ya kifo cha Jenista
Mchengerwa ameapa kuendeleza maono, dira na miradi yote aliyoiasisi marehemu Jenista Mhagama...
TRA Kilimanjaro kukusanya Sh32 bilioni Desemba pekee
Ikiwa zimesalia siku 19 kabla ya kuingia mwaka 2026, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa...
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe (CHAUMMA), Bi
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe (CHAUMMA), Bi. Sigrada Mligo, amelalamikia Serikali uwepo wa utitiri wa tozo mbalimbali kwa wafanyabiashara wa mazao ya misitu jambo ambalo limekuwa kisababishi…
Washindi wa miamala watangazwa
Kampuni ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, leo imetangaza washindi wa droo ya kwanza...
Dk Mwinyi apokea tuzo kivutio bora Afrika
ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, leo amepokea tuzo ya kuwa Kivutio Bora cha Mikutano ya Kimkakati Barani Afrika (African’s Best Corporate…
Mtangazaji na mwandaaji wa vipindi AzamTV, @bettyomaratz ameshinda tuzo ya Mwandishi wa Habari Bora Katika Ubunifu wa Mavazi kup…
Mtangazaji na mwandaaji wa vipindi AzamTV, @bettyomaratz ameshinda tuzo ya Mwandishi wa Habari Bora Katika Ubunifu wa Mavazi kupitia jukwaa la Swahili Fashion Week 2025. Akizungumza kupitia kipindi cha #AlasiriLounge,…
#KIPIMAJOTO: Nini kifanyike kuweka mazingira yenye tija kwa vijana kujiajiri kupitia kilimo?
#KIPIMAJOTO: Nini kifanyike kuweka mazingira yenye tija kwa vijana kujiajiri kupitia kilimo?
#HABARI: Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Salome Makamba, ameeleza kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika kujenga kituo cha …
#HABARI: Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Salome Makamba, ameeleza kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika kujenga kituo cha kujaza gesi asilia kwenye vyombo vya usafiri katika eneo la Mlimani jijini Dar…
DTB Tanzania sees 50pc profit jump on SME strategy
DAR ES SALAAM: Diamond Trust Bank (DTB) Tanzania posted a 50 per cent increase in profit after tax to 13bn/- in the first quarter of 2025, alongside total assets of…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA – DESEMBA 12, 2025 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA - DESEMBA 12, 2025 -
MABADILIKO YA RATIBA ZA MARUDIO AZAM TWO
MABADILIKO YA RATIBA ZA MARUDIO AZAM TWO Msimamizi Msaidizi wa #AzamTWO, @mrisho.senga_ ameelezea mabadiliko ya ratiba za marudio kwenye chaneli namba 102 AzamTWO, ambapo kwa sasa filamu ya Jumamosi usiku…
#HABARI: Vyombo vya Usalama Wilaya ya Uyui, Mkoa wa Tabora, vimemkamata na kumshikilia Mhandisi wa Kampuni ya Ujenzi ya Conlite,…
#HABARI: Vyombo vya Usalama Wilaya ya Uyui, Mkoa wa Tabora, vimemkamata na kumshikilia Mhandisi wa Kampuni ya Ujenzi ya Conlite, kwa tuhuma za kutelekeza miradi ya ujenzi wa barabara nne…
Licha ya kukuhakikishia burudani za kutosha, Azam TV inazidi kujiweka karibu nawe kwa kukupa zawadi ya mwisho wa mwaka
Licha ya kukuhakikishia burudani za kutosha, Azam TV inazidi kujiweka karibu nawe kwa kukupa zawadi ya mwisho wa mwaka. Ni zawadi gani na unaipataje…! Fuatilia hapa. #AzamTVUpdates ✍️ Warda John…