Rais wa zamani wa Brazil aiomba Mahakama kumuachia huru
Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro, anayetumikia kifungo cha miaka 27 jela kwa kupanga njama ya mapinduzi, ameiomba Mahakama Kuu kumuachilia huru ili aweze kufanyiwa upasuaji kutokana na afya…
Trump kuzungumza na viongozi wa Thailand na Cambodia
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia Jumatano kufanya mazungumzo na viongozi wa Thailand na Cambodia, baada ya mapigano mapya kuzuka tena katika eneo la mpakani linalozozaniwa.
Trump kuzungumza na viongozi wa Thailand na Cambodia
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia Jumatano kufanya mazungumzo na viongozi wa Thailand na Cambodia, baada ya mapigano mapya kuzuka tena katika eneo la mpakani linalozozaniwa.
Seneti ya Nigeria yaidhinisha wanajeshi wa Tinubu kwenda Benin baada ya jaribio la mapinduzi
Baraza la Seneti la Nigeria siku ya Jumanne lilitoa idhini yake kwa Rais Bola Tinubu kupeleka wanajeshi nchini Benin baada ya serikali ya Rais Patrice Talon kuiomba Nigeria msaada kuzima…
Iran, China, Saudia zakutana kuimarisha uhusiano na kudumisha amani
Kikao cha tatu wa Kamati ya Pande Tatu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Saudi Arabia na Jamhuri ya Watu wa China cha kufuatilia Makubaliano ya Beijing kilifanyika jana Jumanne…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 10, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 10, 2025
#SWALILAKIPIMAJOTO: Siku ya Uhuru wa Tanganyika
#SWALILAKIPIMAJOTO: Siku ya Uhuru wa Tanganyika. Je, itumike kuelimisha umuhimu wa tunu za taifa na uzalendo?
Rais wa Afrika Kusini asema uhuru wa Palestina ni njia pekee ya kutaleta amani endelevu
Rais wa Afrika Kusini alisema Jumatatu kuwa “chochote kilicho chini ya uhuru wa Palestina na kutambuliwa kwa haki za msingi za binadamu za watu wa Palestina hakitakubalika na hakitapelekea amani…
UNIFIL yapinga madai ya Israel kuhusu silaha za Hizbullah
Kamanda wa Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon (UNIFIL) amesema kuwa ujumbe wa kulinda amani wa kimataifa haujapata ushahidi wowote kuhusu Harakati ya Hizbullah kujenga upya uwezo…
RSF: Israel ni muuaji mkuu wa waandishi wa habari duniani
Shirika la Waandishi wa Habari Bila Mipaka (RSF) limesema utawala wa Israel ni muuaji mkuu wa waandishi wa habari duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo, na limeutaka utawala huo uwajibike…
UN: Watu 74 wamuawa katika mapigano mashariki mwa DRC, mapatano ya Trump yafeli
Angalau watu 74, wengi wao wakiwa raia, wameuawa na 83 kujeruhiwa kutokana na mapigano ya karibuni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na mratibu…
Nigeria imewezaje kusambaratisha mahesabu ya mapinduzi nchini Benin?
Uingiliaji wa haraka wa Nigeria kwa ombi la serikali ya Benin, ulifelisha jaribio la mapinduzi na kuzuia kuenea kwa ukosefu wa utulivu katika Afrika Magharibi.
Je, Nigeria iliwezaje kusambaratisha mahesabu ya mapinduzi nchini Benin?
Uingiliaji wa haraka wa Nigeria kwa ombi la serikali ya Benin, ulifelisha jaribio la mapinduzi na kuzuia kuenea kwa ukosefu wa utulivu katika Afrika Magharibi.
Jumatano, Disemba 10, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 19 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria sawa na Disemba 10 mwaka 2025 Milaadia.
10.12.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waasi wa M23 wachukua udhibiti wa mji wa Uvira huko mashariki mwa DRC. Ukraine kuwasilisha Jumatano kwa Marekani nyaraka iliyofanyiwa marekebisho ya mpango wa amani. Jumuiya ya ECOWAS imesema eneo…
10.12.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waasi wa M23 wachukua udhibiti wa mji wa Uvira huko mashariki mwa DRC. Ukraine kuwasilisha Jumatano kwa Marekani nyaraka iliyofanyiwa marekebisho ya mpango wa amani. Jumuiya ya ECOWAS imesema eneo…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 10, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Jeshi la Polisi kwa ushirikiano na vyombo vingine vya ulinzi na
Jeshi la Polisi kwa ushirikiano na vyombo vingine vya ulinzi na usalama lingependa kujulisha kuwa, vimeendelea kufanikiwa kwa ushirikiano mkubwa wa wananchi kuimarisha usalama hadi muda huu wa saa 6…
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_mediautm_mediu…
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_mediautm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
Ivory Coast yamrejesha kikosini Wilfred Zaha kwa ajili ya fainali za AFCON
Zaha, mwenye umri wa miaka 33, ambaye kwa sasa anachezea timu ya Charlotte, inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Marekani, alikuwa sehemu ya kikosi cha wachezaji 26 ambacho kitakabaliana Msumbiji, Cameroon…
Baaaa ya kukimbia na kujichimbia, Karesi Bey amerudi kivingine tena na kujipa utawala wa eneo la maji
Baaaa ya kukimbia na kujichimbia, Karesi Bey amerudi kivingine tena na kujipa utawala wa eneo la maji. Kaenda mbali zaidi na kumshika masikio waziri… Sasa amemuweka kiganjani, Begum Hatun anayetaka…
̶P̶e̶l̶i̶n̶ Begum Hatun
̶P̶e̶l̶i̶n̶ Begum Hatun #Ottoman msimu wa 6 😍 ndani ya #AzamTWO
Jeshi la Wanamaji la Uturuki latoa mafunzo kwa maafisa Kadeti wa Libya
Mafunzo hayo, ambayo yaliyofanyika kuanzia Disemba 4 hadi 6, yalihusisha mbinu za medani yenye kuongeza kufanisi wa maofisa Kadeti hao.
Shaiza/Mussa anakutana na machachari Shaiza…Kijana Wakisambaa ambaye ana mapenzi makubwa na binti Hamida, ambaye ametangaziwa …
Shaiza/Mussa anakutana na machachari Shaiza...Kijana Wakisambaa ambaye ana mapenzi makubwa na binti Hamida, ambaye ametangaziwa ndoa na Sheiza...Hehehe patamu hapo. Sheiza amefanikiwa kuingia kwenye kasri la Mzee Maega, tayari kabisa…
TUKO hewani muda huu kupitia #AzamTWO chaneli namba 102 kwenye #AzamTV
TUKO hewani muda huu kupitia #AzamTWO chaneli namba 102 kwenye #AzamTV @halima_shebuge @shanna_authentic @nasramohamed___
ECOWAS yatangaza hali hatari Afrika Magharibi
Kulingana na Jumuiya hiyo ya Kiuchumi Magharibi mwa Afrika, michakato ya uchaguzi Magharibi mwa Afrika inaendelea kusababisha ukosefu wa amani katika eneo hilo.
How AI can streamline procurement operations in Tanzania’s evolving supply chains
Dar es Salaam: For years, businesses across Tanzania’s manufacturing and distribution landscape have grappled with the inefficiencies of manually processing Local Purchase Orders (LPOs). Time that could be directed towards…
Hali ya amani, utulivu na usalama imeshuhudiwa leo Disemba 9, 2025 wakati Tanzania Bara (Iliyokuwa Tanganyika) ikiadhimisha miak…
Hali ya amani, utulivu na usalama imeshuhudiwa leo Disemba 9, 2025 wakati Tanzania Bara (Iliyokuwa Tanganyika) ikiadhimisha miaka 64 ya Uhuru. Kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa tofauti nchini, wananchi wameelezea…
Historia ya Uhuru wa Tanzania Bara imepitia mambo mengi yenye kufurahisha na yanayopaswa kuendelea kuenziwa kutoka kizazi hadi k…
Historia ya Uhuru wa Tanzania Bara imepitia mambo mengi yenye kufurahisha na yanayopaswa kuendelea kuenziwa kutoka kizazi hadi kizazi kingine. Mkoani Singida kuna mti uliobeba simulizi ya Hayati Baba wa…
Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, MalkiaWanguvu, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mheshimiwa, Halima Dendego (@halimadendego)
Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, MalkiaWanguvu, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mheshimiwa, Halima Dendego (@halimadendego). #Cloudsmediagroup tunathamini mchango wako wa dhati, tunakutakia mafanikio na baraka zaidi maishani…
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya hali ya usalama nchini kwa kipindi cha saa sita tangu lilipotoa taarifa ya awali majira ya sa…
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya hali ya usalama nchini kwa kipindi cha saa sita tangu lilipotoa taarifa ya awali majira ya saa 6 mchana leo tarehe 9.12.2025. Hali ya…
Ujio wa Bisura unataka kuharibu uhusiano wa mabinti zake 🙌 Kumbuka Radhia na Chaichaka hawakukua pamoja utotoni…Radhia alikuli…
Ujio wa Bisura unataka kuharibu uhusiano wa mabinti zake 🙌 Kumbuka Radhia na Chaichaka hawakukua pamoja utotoni...Radhia alikulia Ulaya alipokuwa akiandaliwa kuwa jasusi, wakati ambao Chaichaka alikulia kituo cha watoto…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amefanya ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ikiwemo ya masoko …
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amefanya ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ikiwemo ya masoko na huduma zingine muhimu katika manispaa ya Songea ambapo amewahakikishia wananchi…
#HABARI: Hali ya amani na utulivu imetawala katika mji wa Babati mkoani Manyara huku wasafirishaji vitu wakidai kudorora kwa b…
#HABARI: Hali ya amani na utulivu imetawala katika mji wa Babati mkoani Manyara huku wasafirishaji vitu wakidai kudorora kwa biashara hiyo kutokana na uhaba wa abiria unaosababishwa na wananchi wengi…
Mhifadhi wa Tembo Afrika Mashariki Iain Douglas-Hamilton afariki dunia
Mhifadhi huyo alizaliwa na kukulia nchini Uingereza, ingawa muda mwingi wa kazi zake, alitumia akiwa Uganda, Tanzania na Kenya ambako ndipo yalipokuwa makazi yake hadi umauti ulipomkuta.
#HABARI: Wakazi wa Mkoa wa Tabora wameendelea na shughuli zao za kila siku tofauti na maeneo mengine nchini wakidai viongozi wa …
#HABARI: Wakazi wa Mkoa wa Tabora wameendelea na shughuli zao za kila siku tofauti na maeneo mengine nchini wakidai viongozi wa mkoa huo wamewahakikishia usalama wao juu ya uwepo wa…
KWAHERI EVERMORE | Usikose kutazama kipindi maalum leo tukiiaga tamthilia ya #Evermore na kuikaribisha tamthilia ya #ThePrice
KWAHERI EVERMORE | Usikose kutazama kipindi maalum leo tukiiaga tamthilia ya #Evermore na kuikaribisha tamthilia ya #ThePrice Tumewaalika wanakilishaji sauti kutoka Evermore, Farouk Bey @beka_mtanzania, Sureyya @shanna_authentic na #Yustina @aprilyuyu1…
Kutokana na kuendelea kwa changamoto ya uhaba wa maji katika kata ya Chanika Wilaya ya Handeni mjini, Mkoani Tanga, uongozi wa k…
Kutokana na kuendelea kwa changamoto ya uhaba wa maji katika kata ya Chanika Wilaya ya Handeni mjini, Mkoani Tanga, uongozi wa kata umeanza mikakati ya ndani ya kutatua kero hizo…
Ulaya yakataa Marekani kuingilia siasa na demokrasia yake
Viongozi wa Ulaya wamekosoa Marekani kwa kuingilia siasa zao, wakipinga mkakati mpya wa usalama wa Washington unaolenga sera za EU kuhusu uhamiaji.
Kauli ya Simbachawene wananchi walivyobaki ndani siku ya Uhuru
Mbali ya kuwasifu Watanzania, Waziri Simbachawe ameelekeza kesho Jumatano Desemba 10,2025...
Zelensky aandaa mpango mpya wa kukomesha vita vya Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anajiandaa kuwasilisha kwa Marekani mapendekezo yaliyorekebishwa ya kumaliza vita vilivyoanzishwa na uvamizi wa Urusi mwaka 2022, wakati akikutana na Papa Leo XIV nchini Italia.
Hamas watishia kutoingia awamu ya pili ya makubaliano
Kiongozi mmoja wa Hamas ametishia kwamba kundi hilo halitasonga mbele katika awamu inayofuata ya makubaliano ya kusitisha vita Gaza hadi kuwe na shinikizo zaidi kwa Israel kufungua mpaka muhimu.
Ndege ya kijeshi ya Nigeria yaibua mashaka Burkina Faso
Ndege ya Jeshi la Nigeria ilitua kwa dharura nchini Burkina Faso Jumatatu jioni kutokana na hali ya hatari iliyotokea safarini. Muungano wa kikanda umesema huo ni ukiukaji wa anga ya…
KWAHERI EVERMORE | Leo kuanzia saa 3:00 usiku kupitia #AzamTWO, tutaiaga tamthilia pendwa ya #Evermore, ambayo imemaliza mwendo …
KWAHERI EVERMORE | Leo kuanzia saa 3:00 usiku kupitia #AzamTWO, tutaiaga tamthilia pendwa ya #Evermore, ambayo imemaliza mwendo jana. Kutana na wasanii walionakilisha sauti za wahusika wakuu, akiwemo @beka_mtanzania kama…
Kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed afungwa miaka 20 jela
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed nchini Sudan kwa uhalifu wa kivita na uhalifu na uhalifu dhidi ya ubinaadamu,…
UN: Juhudi jumla zitasaidia vita ya mabadiliko ya tabianchi
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyochapishwa hii leo imesema ulimwengu unahitaji mtizamo mpya wa kukabiliana na mizozo ya kimazingira inayotishia afya za watu na dunia.