KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Kutoka tamthilia ya #Taswira, @trisser_joseph aliyecheza kama Jane ana haya ya kusema ikiwa pa…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Kutoka tamthilia ya #Taswira, @trisser_joseph aliyecheza kama Jane ana haya ya kusema ikiwa pamoja na jinsi #SinemaZetuHD imembadilishia upepo mtaani. Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Mwandaaji wa tamthilia pendwa ya #Noma, @adamoo14 alikuwa na maneno haya ya ukaribisho kwa tim…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Mwandaaji wa tamthilia pendwa ya #Noma, @adamoo14 alikuwa na maneno haya ya ukaribisho kwa timu nzima ya @stickmotela Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu -…
Wakati tukiiaga #TaswiraSeries, @sele_michano alishindwa kujizuia na kulia 🥹 Ila amehakikishiwa kuwa hapa ndio nyumba ya vipaji …
Wakati tukiiaga #TaswiraSeries, @sele_michano alishindwa kujizuia na kulia 🥹 Ila amehakikishiwa kuwa hapa ndio nyumba ya vipaji halisi na ni nyumbani kwao kabisa, siku zote ataendelea kuonekana kwenye chaneli pendwa…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Kuhusu uhusika wa Mussa/Shaiza huyu huyu hapa @cox_toto akieleza namna alivyouvaa uhusika huo …
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Kuhusu uhusika wa Mussa/Shaiza huyu huyu hapa @cox_toto akieleza namna alivyouvaa uhusika huo na kisa cha yeye kuingia kwenye mgogoro wa kimapenzi na kazi.…
“Mzee Chillo aliwahi kunipiga kibao wakati tukiwa seti, ilikuwa ni mtoto kumkanya mwanaye, leo hii niko hapa” – alexander_malick
"Mzee Chillo aliwahi kunipiga kibao wakati tukiwa seti, ilikuwa ni mtoto kumkanya mwanaye, leo hii niko hapa" - alexander_malick Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu - Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD…
Sehemu ya vipindi vitakavyoruka wiki hii kwenye chaneli za Cartoon kupitia kisimbuzi cha AzamTV
Sehemu ya vipindi vitakavyoruka wiki hii kwenye chaneli za Cartoon kupitia kisimbuzi cha AzamTV. Katika msimu huu wa likizo, lipia kifurushi cha shilingi 35,000 ili watoto waweze kufurahia vipindi hivi…
Sehemu ya tamthilia zitakazoruka wiki hii kupitia kisimbuzi chako cha AzamTV
Sehemu ya tamthilia zitakazoruka wiki hii kupitia kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama tamthilia hizi. #Starplus #AzamONE #Colors #Ninanovela #R#romanzaafrica
Jukwaa la Afrika kuhusu wanawake, amani na usalama lafunguliwa Tunisia
Jukwaa la Sita la Ngazi za Juu la Umoja wa Afrika kuhusu Wanawake, Amani na Usalama lilifunguliwa jana Jumanne nchini Tunisia, likisisitizia udhrura wa kuweko uratibu wa pande nyingi wa…
“Kwenye #PichaYangu, Radhia ni jasusi, pia kuna mapigano, hiyo inamaanisha nimepigana humo ndani…” – @nana_dollz sasa kama una…
"Kwenye #PichaYangu, Radhia ni jasusi, pia kuna mapigano, hiyo inamaanisha nimepigana humo ndani..." - @nana_dollz sasa kama unambishia, kaa subiri uhondo wote wa #PichaYanguSeries kila Jumatatu - Alhamisi saa 1:30…
*Prof. Anna Tibaijuka*
*Prof. Anna Tibaijuka* Hii “teoria ya vita vya kiuchumi” si chochote zaidi ya blanketi la propaganda lililotupwa kufunika janga la kisiasa la ndani. Ni kisingizio tu—hakuna zaidi. Tuwe wa wazi:…
Maxime aanza na watano Mbeya City, wamo Awesu, Chasambi kutoka Simba
Baada ya kutua kikosini, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Mecky Maxime ameanza kazi ya kusuka upya timu hiyo akihitaji huduma ya wachezaji watano wakiwamo mastaa wawili kutoka Simba ili kurejesha…
Govt unveils sweeping health reforms to match global standards
DAR ES SALAAM: THE government has announced sweeping reforms aimed at upgrading the country’s health sector to international standards, with a strong focus on improving service delivery, expanding specialised care…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliohakikisha k…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliohakikisha kuwepo kwa hali ya amani na utulivu huku kukitajwa kuwepo…
Leo Ikiwa Ni Kumbukizi Ya Siku Ya Kuzaliwa Ya Mrembo Hamisamobetto Mume Wake Azizki Amemuandikia Ujumbe Huu Mzuri Sana👇 👇👇👇
Leo Ikiwa Ni Kumbukizi Ya Siku Ya Kuzaliwa Ya Mrembo Hamisamobetto Mume Wake Azizki Amemuandikia Ujumbe Huu Mzuri Sana👇 👇👇👇 "Mpenzi wangu Hamisamobetto, Katika siku hii maalum, nataka nikukumbushe umuhimu…
Uhalisia wa maisha ya Doctor Jawad wa tamthilia ya Crystal
UnamkumbukaDoctor Jawad mwanaume mtanashati aliyesumbua kwenye tamthilia ya Crystal, daktari...
Shida na umasikini; urithi ambao utawala wa kizayuni umewaachia watu wake kutokana na vita vya Ghaza
Matokeo ya uchunguzi uliofanywa na shirika moja la Kizayuni la utoaji huduma na misaada ya kibinadamu yanaonyesha kuwa, vita vya Ghaza vimewatumbukiza Wazayuni wengi zaidi kwenye lindi la umasikini; na…
Polisi Tanzania yawaonya tena wanaopanga maandamano
Kwa mujibu wa polisi, baada ya maandamano hayo yasiyokuwa na kikomo kukwama jana Jumanne...
Wananchi waelimishwe kuhusu wajibu, haki zao kikatiba, kisheria
Kufuatia kilichotokea kwenye “maadhamano haramu” ya Oktoba 29, 2025 na kutaka kujirudia jana...
NIKWAMBIE MAMA: Wazee, vijana tuongee lugha moja
Waafrika tumepokea tamaduni za nje kwa namna mbalimbali. Wakati wa utumwa hali ilikuwa mbaya...
JK champions global education drive
BELGIUM: FORMER President Jakaya Mrisho Kikwete is raising the country’s global profile through his leadership of the Global Partnership for Education (GPE), where he is helping drive efforts to secure…
Mangalo alivyorejea akiibeba Pamba
BAADA ya kukosekana uwanjani kwa msimu mmoja, beki wa kati wa Pamba Jiji, Abdulmajid Mangalo ameonekana kurejea kwa kasi mpya uwanjani akiisaidia timu hiyo kuvuna pointi 12, huku akitoa mwelekeo…
‼️‼️🔊🔊‼️‼️ Tundu A
‼️‼️🔊🔊‼️‼️ Tundu A. M. Lissu alifikishwa mahakamani mara ya mwisho tarehe 12 Novemba, 2025. Tangu siku hiyo, mahakama imeshindwa kutoa ratiba mpya ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi yake. Kuanzia tarehe…
64 years on: TZ shows great resolve
DAR ES SALAAM: Tanzania marked its 64th Independence Anniversary yesterday, with notable socio-economic, political and technological reforms underscoring the country’s steady progress throughout the post-independence era. Peace and tranquillity remain…
Umesikia hili la Toni Braxton na Birdman?
Kuna simulizi na tetesi nyingi zilizozungukia urafiki na uhusiano wa miaka mingi kati ya staa...
Maxime anatua na wawili Mbeya City
MBEYA City imeshamtambulisha Mecky Maxime kuwa kocha mkuu ili kuanza kazi ya kuirudishia makali timu hiyo, lakini ametua na wawili.
Mgunda: Sawa tumejipata, lakini kazi ipo
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema pamoja na nyota wake kumpa matumaini ya kufanya vizuri katika Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini amedai kukutana ugumu akiahidi kutumia mapumziko ya…
Hili la kubinafsisha huduma muhimu Zanzibar, hapana
Mabadiliko ni mambo yasiyoepukika katika maisha ya binadamu, tangu anapoanza akiwa katika tumbo...
DRC: Waasi wa M23 waingia Uvira, zaidi ya Wakongo 30,000 wakimbilia Burundi katika wiki moja
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda na jeshi lake wameingia viungani mwa Uvira siku ya Jumanne. Uvira ni mji wa kimkakati mashariki mwa DRC, ulio karibu na mpaka na…
Iran yahimiza hatua madhubuti za kimataifa za kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka na za pamoja za kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa…
Ruto anasaka kura zaidi za Mlima Kenya uchaguzi wa 2027, ili kubakia Ikulu
Ripoti kutoka Kenya zinasema, washirika wa Rais William Ruto wa nchi hiyo katika eneo la Mlima Kenya wamebuni mpango kabambe unaolenga kuhakikisha atapata angalau kura milioni mbili kumwezesha kurejea Ikulu…
Ripoti ya Ujerumani: Waislamu na watu weusi wanasumbuliwa na ubaguzi wa kimfumo
Ripoti ya Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Ubaguzi la serikali ya Ujerumani imefichua kwamba Waislamu na watu weusi wanaoishi nchini humo wanasumbuliwa na "ubaguzi wa kimfumo" kuhusu hali ya…
Ethiopia yakanusha kuwepo kambi za waasi wa RSF katika ardhi yake
Ethiopia imekanusha madai ya kuwepo kambi za wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika ardhi yake, ikisema yanalenga kuibua ugomvi kati ya nchi hiyo na jirani yake, Sudan.
Msemaji wa UNRWA: Kinachoendelea Gaza hakijawahi kushuhudiwa tangu wakati wa Vita vya Pili vya Dunia
Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) amesema kwamba "kinachoendelea huko Gaza hakijawahi kushuhudiwa tangu wakati wa Vita vya Pili vya…
Brazil: Mawakili wa Jair Bolsonaro waomba mteja wao aachiliwe kwa ajili ya upasuaji
Mawakili wa rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 27 jela kwa jaribio la mapinduzi, wameiomba Mahakama Kuu kuidhinisha mteja wao kulazwa hospitalini kwa ajili ya…
Kuelekea dirisha dogo la usajili Januari 2026, Simba SC tayari imefanya mawasiliano ya awali kumrejesha kikosini Luis Miquissone
Kuelekea dirisha dogo la usajili Januari 2026, Simba SC tayari imefanya mawasiliano ya awali kumrejesha kikosini Luis Miquissone. Kuna uwezekano mkubwa Joshua Mutale akatolewa kwa mkopo endapo atakuwa…
Siri, ndoa ya Fabinho na mrembo Anfield
NI siku chache zimepita tangu kiungo wa zamani wa Liverpool, Fábio Henrique Tavares maarufu...
Serikali ya mpito ya Mali yaomba msaada kutoka Conakry
Wajumbe kadhaa wa serikali ya mpito ya Mali wakiongozwa na Waziri Mkuu Abdoulaye Maïga wamefanya ziara ya kiserikali nchini Guinea siku ya Jumanne, Desemba 9, 2025. Mamlaka ya Mali inayokabiliwa…
Comoro: Muswada mpya wa sheria unatishia uhuru wa vyombo vya habari
Nchini Comoro, mamlaka zinataka kurekebisha Kanuni ya Habari ili kujumuisha vyombo vya habari vya mtandaoni na mitandao ya kijamii, na kuboresha mfumo unaoonekana kuwa na kikomo. Siku ya Jumanne, Desemba…
Mpatanishi Marekani, anazitaka Rwanda, M23 ‘kuondoa’ wanajeshi mashariki mwa DRC
Mataifa yenye nguvu ya Ulaya na Marekani yametoa wito kwa wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji wa M23 kusitisha mara moja mashambulizi mashariki mwa DRC, siku chache baada ya marais wa…
Mchezo mpya wasanii wanaotambulishwa kwenye lebo
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na utaratibu mpya katika tasnia ya muziki wa Bongo...
Sudan: Kiongozi wa zamani wa wanamgambo Ali Kushayb ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela na ICC
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), siku ya Jumanne, Desemba 9, 2025, imemhukumu kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed nchini Sudan Ali Kushayb kifungo cha miaka 20 jela, kwa uhalifu wa…
Benin: Kwa ombi la Cotonou, Paris ilitoa ‘msaada’ kukabiliana na jaribio la mapinduzi
Ufaransa ilitoa “msaada” kwa vikosi vya jeshi vya Benin siku ya Jumapili ili kukabiliana na jaribio la mapinduzi huko Cotonou. Hii imetangazwa na ofisi ya rais wa Ufaransa siku ya…
Mfahamu Madilu System msanii aliyetamba kwenye rhumba
Katika historia ya muziki wa rhumba kutoka DRC Congo, kuna majina mengi yaliyowahi kuvuma na...
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Tanzania
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Tanzania #CloudsDigitalupdates
Tanzania: Maandamano yashindwa kutokana na hofu ya kukandamizwa
Licha ya wito wa maandamano dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan, hali ya utulivu iliendelea kuwa shwari katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania siku ya Jumanne, Desemba 9, 2025. Mwishoni mwa…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwa ku…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha hali ya amani na utulivu nchini, hasa baada…