UNICEF: Hatua za haraka na uwekezaji endelevu unahitajika ili kukomba watoto nchini Sudan Kusini
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya watoto UNICEF Catherine Russell amehitimisha ziara yake nchini Sudan Kusini kwa kusihi serikali na jumuiya za kimataifa kuongeza…
Salome Makamba aipongeza PBPA utendaji kazi bora
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba ameupongeza Wakala ya Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kwa utendaji kazi mzuri katika kuhakikisha nchi inakuwa na akiba ya mafuta…
Dr Nchimbi tasks NEMC to cement union besides environmental conservation
DODOMA: THE National Environment Management Council (NEMC) has held its first working session with the Vice President of the United Republic of Tanzania Dr Emmanuel John Nchimbi, since his appointment.…
Waungana upatikanaji umeme visiwa vya Ziwa Victoria
ARUSHA: KAMPUNI ya PowerHut Renewables Limited yenye makao yake mjini Arusha imeingia katika mkataba wa mwaka mmoja wa ushirikano wa kimkakati baina yake na shirika la Assist International na Kampuni…
Katika kupanga matumizi na mikakati ya kifedha wakati wa msimu wa sikukuu, ni mambo gani huwa unayazingatia ili kuhakikisha baje…
Katika kupanga matumizi na mikakati ya kifedha wakati wa msimu wa sikukuu, ni mambo gani huwa unayazingatia ili kuhakikisha bajeti yako haivurugiki? #azamtvupdates ✍Juliana James Mhariri | John Mbalamwezi
AzamONE Weekend Movie
AzamONE Weekend Movie Katika movie ya wikiendi kupitia AzamONE leo saa 2:00 usiku ni movie ya TITANIC #Titanic #AzamONE
Kumpa Trump Tuzo ya Amani ya FIFA: Ni Ubunifu au Mchezo wa Siasa
Jana Desemba 5, 2025, Kituo cha Sanaa za Maonyesho cha John F. Kennedy kilikuwa jukwaa la maonyesho ya kisiasa na michezo.
Photos from Clouds TV’s post
Happy birthday ndugu zetu @wacloudsania (@Ukhtymwana na @Official_kingzimira) Clouds MEDIA Group inawatakia mwaka mwingine wa mafanikio na baraka. #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Photos from AzamTV Burudani’s post
VISHINDO VYA @nomaseries | Kama uliwaona jana kwenye kipindi maalum cha kuikaribisha tamthilia ya #PichaYangu, mwandaaji wa #NomaSeries @adamoo14 na mwingizaji wa tamthilia hiyo @alexander_malick walivaa T-Shirt ‘spesho’ zenye ujumbe…
Trump asherehekea ushindi wa kwanza wa Tuzo ya Amani ya FIFA, akidai aliokoa ‘mamilioni ya maisha’
Rais wa Marekani anasema uingiliaji kati wake uliokoa "mamilioni ya maisha," akirejelea migogoro ya Rwanda-DRC na Pakistan-India kwenye droo ya Kombe la Dunia la 2026.
Mapigano yachacha Congo saa chache baada ya hafla ya kusaini makubaliano ya amani ya Trump
Kundi la waasi la AFC/M23 linaloungwa mkono na Rwanda, ambalo liliteka miji miwili mikubwa mashariki mwa Congo mwaka huu na halifungwi na makubaliano ya Washington, limesema vikosi vinavyoitii serikali vinaendesha…
Infantino’s ‘Peace Prize’ to Trump raises questions about FIFA’s neutrality
WASHINGTON DC: PLAYERS often face fines and bans from FIFA for displaying political messages, as the football governing body has long proclaimed a policy of political neutrality. But on Friday,…
Sea Cliff set to shift December Golf Challenge to 20th Dec
DAR ES SALAAM: SEA Cliff Resort & Spa Zanzibar is gearing up for yet another exciting chapter in its growing golf calendar, following a highly successful November Golf Challenge that…
NBC Premier League Jumapili hii ni Mzizima Derby
NBC Premier League Jumapili hii ni Mzizima Derby Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha matajiri wa jiji AzamFC. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka…
Kansela Merzi wa Ujerumani kuanza ziara tete nchini Israel
Friedrich Merz anasafiri kwenda Israel kwa mara ya kwanza tangu alipochukua Ukansela wa Ujerumani. Ni ziara katika nyakati ngumu kwa kuelezwa kuwa "uhusiano maalumu” kati ya nchi hizo mbili umekuwa…
GCLA pushes for safer chemical practices
KIBAHA: IN its continued efforts to prevent chemical accidents and uphold its mandate of protecting human health and the environment, the government has reaffirmed its commitment to working closely with…
Chiku anapewa ‘breaking news’ Mwamini hayuko mbali kuziandika habari 🙌
Chiku anapewa 'breaking news' Mwamini hayuko mbali kuziandika habari 🙌
Wanamgambo waua watu 50 wakiwemo watoto 33 Sudan
Shambulio la droni lililofanywa na wanamgambo huko Sudan kwenye shule ya chekechea katika eneo la kusini-kati mwa Sudan, limeua watu 50, wakiwemo watoto 33.
Hatma ya mali za Urusi zilizozuiwa kujulikana Desemba 18
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakusudia kufikia makubaliano kuhusu matumizi ya mali za serikali ya Urusi zilizozuiwa ili kusaidia Ukraine watakapokusanyika kwa mkutano wa kilele wa umoja huo Desemba 18.
Elimu ni muhimu katika kuponya dunia: Emine Erdogan
Erdogan anasifu Wakfu wa Maarif wa Uturuki kwa kubeba mbinu hii nje ya mipaka ya nchi, akiielezea kama "mfano wa upainia katika diplomasia ya elimu".
Pakistan na Afghanistan zashambuliana eneo la mpakani
Pakistan na Afghanistan zimeshambuliana vikali kwa risasi katika eneo la mpaka.
Meya mpya Dodoma aahidi ushirikiano
MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dodoma, Alimwoni Chaula amelishukuru Baraza la Madiwani kwa kumpa dhamana ya kuongoza jiji hilo kwa kipindi cha miaka mitano, huku akiahidi kufanya kazi kwa ushirikiano…
#HABARI: Watu wawili wa Kitongoji cha Itwili, Kijiji cha Old Shinyanga, ambao ni Mama na mtoto wake wa kike, Suzana Samweli (41)…
#HABARI: Watu wawili wa Kitongoji cha Itwili, Kijiji cha Old Shinyanga, ambao ni Mama na mtoto wake wa kike, Suzana Samweli (41) na Happyness Peter (20), wamefariki dunia baada ya…
Watoto 43 kati ya 79 waliouawa katika shambulio la droni ya RSF huko Kordofan Kusini
Mamlaka zinasema kuwa makombora yalipiga shule ya chekechea, hospitali na maeneo ya makazi yenye watu wengi huko Kalogi huku Umoja wa Mataifa ukionya kuhusu kuzorota kwa usalama kote Kordofan.
Brazil: Mtoto wa Bolsonaro ateuliwa na baba yake kugombea katika uchaguzi wa urais wa 2026
Rais wa zamani Jair Bolsonaro, ambaye anatumikia kifungo cha miaka 27 jela kwa jaribio la mapinduzi, amemuidhinisha mwanawe mkubwa, Flavio, kuwakilisha kambi ya wahafidhina katika uchaguzi wa urais wa Oktoba…
Bila Suzy kuwepo hapo, Sijui wangemuokotea wapi leo Chioma
Bila Suzy kuwepo hapo, Sijui wangemuokotea wapi leo Chioma
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mtandaoni ya Kijamii kwamba kuna magari yanaha…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mtandaoni ya Kijamii kwamba kuna magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, kwani taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa…
Mapishi Yako Yanastahili Ubora Zaidi!
Mapishi Yako Yanastahili Ubora Zaidi! Pata Mafuta Yetu ya Alizeti Sasa — Masafi, Halisi, na Yenye Ladha ya Kipekee.@mainlandgrouptz
Droo ya Kombe la Dunia la 2026: Afrika Kusini itamenyana na Mexico katika mechi ya kwanza
Kundi la I linaibuka kama "Kundi la Kifo" pamoja na Ufaransa, Norway, na Senegal, Kombe la Dunia la 2026 linapoanza nchini Marekani, Mexico na Canada.
#HABARI: Mbunge wa Rorya, Jafary Chege, amewaomba wananchi wa eneo hilo kutojihusisha na maandamano yaliyopangwa kufanyika Desem…
#HABARI: Mbunge wa Rorya, Jafary Chege, amewaomba wananchi wa eneo hilo kutojihusisha na maandamano yaliyopangwa kufanyika Desemba 9 na badala yake wawe walinzi wa amani ili kuhakikisha hakuna yeyote anayejaribu…
Tangu Aprili 2023, mvutano wa madaraka kati ya Mkuu wa Jeshi, Abdel Fattah al-Burhan na aliyekuwa naibu wake Mohamed Hamdan Dagl…
Tangu Aprili 2023, mvutano wa madaraka kati ya Mkuu wa Jeshi, Abdel Fattah al-Burhan na aliyekuwa naibu wake Mohamed Hamdan Daglo, ambaye ni kiongozi wa kikosi cha wanamgambo cha Rapid…
India, Russia zasisitiza utatuzi wa mpango wa nyuklia wa Iran kupitia mazungumzo
Baada ya Rais wa Russia Vladimir Putin na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kukutana mjini New Delhi, nchi hizo mbili zimesisitiza umuhimu wa kutatua masuala yanayohusiana na mpango wa…
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lapasisha maazimio 5 ya kuunga mkono Palestina
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa wingi maazimio matano kwa ajili ya Palestina, ikiwa ni pamoja na kuongeza muda wa shirika la UNRWA, kulaani vitongoji vya walowezi wa…
Nchi za Kiislamu zaonya kuhusu mpango wa Israel wa kuwahamisha kwa nguvu raia wa Gaza
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi nane za Kiislamu wameeleza wasi wasi wao mkubwa kutokana na matamshi ya hivi karibuni ya maafisa wa Israel kuhusiana na kufunguliwa kwa upande…
Mapigano yaendelea mashariki mwa DRC licha ya Kagame na Tshisekedi kusaini makubaliano ya amani
Mapigano makali yameendelea kushuhuudiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku moja baada ya marais wa nchi hiyo kusaini makubaliano mapya ya amani mjini Washington Marekani.
‘Mto Ruvu ubaki kwa matumizi ya binadamu tu’
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa wito kwa wakulima wanaotumia maji ya Mto Ruvu kwa shughuli za kilimo kusitisha matumizi hayo kwa muda hadi pale mvua zitakapoanza kunyesha…
Usikose sehemu ya kwanza ya tamthilia ya 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee
Usikose sehemu ya kwanza ya tamthilia ya 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee.
Anglican Church, Govt to strengthen cooperation for public welfare
MOROGORO: THE Anglican Church of Tanzania, Diocese of Morogoro has pledged a continuous support and cooperation with the government in delivering social and economic development to the community. The pledge…
Marioo namba moja kwa Mimi Mars
Tangu ametoka kimuziki rasmi miaka zaidi ya minane iliyopita, Mimi Mars (33), ameshirikiana na...
Anko Kitime: Athari za Ukimwi katika muziki Tanzania
Desemba 1, huwa ni siku ya Ukimwi Duniani, makala hii tuangalie athari ya Ukimwi katika muziki...
Chad: UM waonya kuhusu gharama ya wasindikizaji wa kijeshi wanaolipwa mashariki mwa nchi
Tangu kuanza kwa vita katika nchi jirani ya Sudan mwezi Aprili 2023, Chad inakabiliwa na wimbi kubwa la wakimbizi. Ili kufanya kazi na kufikisha misaada kwa walengwa, mashirika ya Umoja…
DRC: Mapigano yanaendelea kurindima Kivu Kusini licha ya mkataba wa amani wa Washington
Siku moja baada ya kusainiwa kwa mkataba wa amani kati ya Kinshasa na Kigali nchini Marekani, mapigano mengi yameendelea kurindima mashariki mwa DRC siku ya Ijumaa, Desemba 5. Milipuko kadhaa…
Tuzo taarifa za hesabu zaongeza uwajibikaji
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Fedha, Laurent Luswetula, amesema kuwa Tuzo za Ubora wa Uandaaji wa Taarifa za Hesabu kwa mwaka 2024 zimekuwa daraja muhimu katika kuimarisha uwajibikaji na…
Senegal: Rais Faye asaini agizo linaloimarisha mamlaya Waziri Mkuu, wengi wabaki vinywa wazi
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amesaini amri iliyozua gumzo nchini humo. Agizo hilo la rais lilitolewa siku ya Alhamisi, Desemba 4, linarekebisha ofisi ya Waziri Mkuu na kuimarisha mamlaka…
Maryam ana kwa ana na ndugu zake na wanamuona mtoto ambaye hawajui ni nani
Maryam ana kwa ana na ndugu zake na wanamuona mtoto ambaye hawajui ni nani. Mama Basma na mumewe kichaa bado wanamtafuta mtoto...Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku #AzamTWO
Meya Jiji la Mbeya akemea majungu, atao msimamo
Meya Jiji la Mbeya, Dourmohamed Issa amewataka madiwani kujenga heshima kwa viongozi wa chama...
Government urges ATCL to cut costs, improve services
DAR ES SALAAM: MINISTER for Transport, Prof Makame Mbarawa, has instructed the management of Air Tanzania Company Limited (ATCL) to implement measures that focus on reducing operational costs and improving…
Wanne waliohukumiwa miaka 30 jela waachiwa
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru wanne waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha...