#HABARI: Mbunge wa Rorya, Jafary Chege, amewaomba wananchi wa eneo hilo kutojihusisha na maandamano yaliyopangwa kufanyika Desemba 9 na badala yake wawe walinzi wa amani ili kuhakikisha hakuna yeyote anayejaribu kuharibu utulivu wa nchi.

Mbunge Chege ameeleza kuwa mgogoro na changamoto za wananchi wa Rorya zinaweza kutatuliwa kwa usuluhishi wa ndani na wananchi wenyewe, bila kuvunja amani au kusababisha vurugu na kwamba umoja na utulivu wa jamii ni muhimu hivyo wananchi wanapaswa kushirikiana kutatua masuala yao kwa njia ya amani.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *