Zaidi ya tani 99,000 za korosho zimeuzwa kupitia minada minne iliyofanyika katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma tangu kuanza …
Zaidi ya tani 99,000 za korosho zimeuzwa kupitia minada minne iliyofanyika katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma tangu kuanza kwa minada, ambapo hii leo, wakulima wa korosho wa chama…
Benjamin Netanyahu apinga hatua za kuundwa dola la Palestina
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuzuwia hatua yoyote itakayopelekea kuundwa kwa dola la Palestina.
Ujerumani yasema masharti sawa yanahitajika katika biashara
Waziri wa fedha wa Ujerumani Lars Klingbeil, amesema kunapaswa kuwa na mikakati sawa linapokuja suala la ushindani wa biashara na China.
Kariakoo Dabi yapigwa kalenda, kuchezwa Machi mwakani
Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu baina ya Yanga na Simba...
Watu 32 wamefariki dunia baada ya mgodi wa Kobalti kuporomoka katika eneo la uchimbaji madini la Kalando, Jamhuri ya Kidemokrasi…
Watu 32 wamefariki dunia baada ya mgodi wa Kobalti kuporomoka katika eneo la uchimbaji madini la Kalando, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku mamlaka zikiendelea na shughuli ya uokoaji…
Wanafunzi na wasimamizi wa mtihani wa kidato cha nne, ambao umeanza mapema hii leo, wameaswa kufuata taratibu ili kuepuka udanga…
Wanafunzi na wasimamizi wa mtihani wa kidato cha nne, ambao umeanza mapema hii leo, wameaswa kufuata taratibu ili kuepuka udanganyifu, huku wazazi na walezi wakiombwa kuwa waangalizi kwa watoto. #AzamTVUpdates…
Mashambulizi ya Urusi Ukraine yaharibu miundombinu
Shirika la huduma za dharura Ukraine limesema mashambulizi ya Urusi kusini mwa mji wa Odesa, yamesababisha moto mkubwa katika miundombinu ya nishati na bandari.
Baerbock: Mazungumzo magumu kuhusu mazingira yanahitajika
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock, amesema kuna haja ya mabadiliko katika majadiliano magumu katika mkutano wa Mazingira wa Umoja wa Mataifa wa COP30.
Ukraine: Moscow yadai kuteka vijiji vitatu vipya mashariki mwa nchi
Moscow imedaileo Jumatatu, Novemba 17, kuteka vijiji vitatu vipya kwenye mstari wa mbele wa mashariki nchini Ukraine, ambapo jeshi la Urusi linaendelea kusonga mbele hatu kwa hatua dhidi ya vikosi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Kwa nini Hamas na makundi ya muqawama ya Palestina yanapinga azimio lililopendekezwa na Marekani?
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza katika taarifa yake kwamba makundi na harakati za Palestina zimewasilisha waraka kuhusu rasimu ya azimio la Marekani katika Baraza la Usalama…
Mamdani: Ikiwa Netanyahu atakuja New York katika mkutano ujao wa UNGA nitaamuru akamatwe
Meya Mteule wa jiji la New York Zohran Kwame Mamdani ameambia televisheni ya ABC News kwamba atatoa hati ya kukamatwa waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu…
Mchambuzi: Utawala wa sasa wa Syria utaifanya nchi igawanyike vipande vipande
Mtafiti wa mahusiano ya kimataifa Yasser Al-Khatib amesema, hali ya mambo nchini Syria ni ngumu na tata mno kutokana na udhaifu wa watawala wake wa sasa, ambao unawasukuma watawala hao…
Usiri wa Jay Melody kuhusu mahusiano yake, sababu hii..
Wakati tabia ya mastaa wanaochipukia ya kuwaanika wapenzi wao kwenye mitandao ya kijamii...
Mahakama ya ICT Bangladesh yamhukumu adhabu ya kifo waziri mkuu wa zamani Hasina
Baraza la Mahakama la Jinai za Kimataifa (International Crimes Tribunal), ICT la Bangladesh leo limetoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa Waziri Mkuu wa zamani aliyeitoroka nchi Sheikh Hasina, baada…
Mahakama ya Bangladesh yatoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa waziri mkuu wa zamani Hasina
Baraza la Mahakama la Jinai za Kimataifa (International Crimes Tribunal), ICT la Bangladesh leo limetoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa Waziri Mkuu wa zamani aliyeitoroka nchi Sheikh Hasina, baada…
Kiwanda cha kwanza cha kampuni ya Israel ya uundaji droni za Spike chafunguliwa nchini Morocco
Kampuni moja ya utawala wa kizayuni wa Israel imefungua kiwanda chake cha kwanza nje ya nchi huko Morocco cha uundaji wa ndege zisizo na rubani za mashambulizi aina ya Spike.
Katika kura ya maoni, Waecuador wakataa US kuwa na kituo cha kijeshi tena nchini mwao
Wananchi wa Ecuador wamekataa pendekezo la kuruhusu kurejeshwa tena nchini humo vituo vya kijeshi vya nchi za kigeni. Hayo ni kwa mujibu wa matokeo ya awali ya kura ya maoni,…
Katika kura ya maoni, Waecuador wapinga kituo cha kijeshi cha US kurejeshwa tena nchini mwao
Wananchi wa Ecuador wamekataa pendekezo la kuruhusu kurejeshwa tena nchini humo vituo vya kijeshi vya nchi za kigeni. Hayo ni kwa mujibu wa matokeo ya awali ya kura ya maoni,…
Mafunzo ukusanyaji taarifa za viwanda yaanza Arusha
ARUSHA; Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Hashil Abdallah, amesema serikali imejipanga vema kuhakikisha changamoto ya ajira kwa vijana, wanawake na makundi maalumu zinaondoka. Amesema hayo leo jijini…
Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh ahukumiwa Kifo
Mahakama ya uhalifu wa kivita nchini Bangladesh imemhukumu kifo waziri mkuu wa zamani Sheikh Hasina baada ya kumkuta na hatia kwa kosa la uhalifu dhidi ya ubinadamu. Hali ya usalama…
Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh ahukumiwa Kifo
Mahakama ya uhalifu wa kivita nchini Bangladesh imemhukumu kifo waziri mkuu wa zamani Sheikh Hasina baada ya kumkuta na hatia kwa kosa la uhalifu dhidi ya ubinadamu. Hali ya usalama…
Umuhimu wa matamasha ya kiutamaduni katika jamii
Matamasha ya kitamaduni hayatoi burudani pekee, bali ni darasa lenye thamani kubwa kwa jamii. Kupitia matamasha haya jamii hujifunza asili yao, na vijana hupata nafasi ya kuelewa mizizi ya tamaduni…
Volodymyr Zelensky mjini Paris kutafuta ‘makubaliano makubwa’ ya ulinzi wa anga ya Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky leo Jumatatu, Novemba 17, amepokelewa mjini Paris na mwenyejiwake, rais wa Ufaransa Emmanuel Macron. Ziara hii, ya tisa ya Rais Zelensky nchini Ufaransa tangu kuanza…
Kesi vurugu za uchaguzi Mwanza yaahirishwa
MWANZA; KESI inayowakabili watuhumiwa 11 kati ya 172 wanaodaiwa kuhusika na matukio ya uhalifu yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeahirishwa hadi Novemba 26 mwaka huu baada…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Umaarufu wa Marioo unakamilishwa na mambo haya
Akiwa na miaka takribani minane tangu ametoka kisanii, muziki wa Mario unaendelea kuwafikia...
Hamza kumfuata Camara Morocco kwa matibabu
WAKATI kipa namba moja wa Simba, Moussa Camara akitarajiwa kufanyiwa upasuaji kesho Jumanne Novemba 18, 2025 huko Morocco, beki wa kati Abdulrazack Mohamed Hamza naye ametajwa kuwa mbioni kwenda nchini…
Gamondi unfazed by Stars defeat
CAIRO: TAIFA Stars may have fallen 4–3 to Kuwait in a thrilling friendly match in Egypt on Saturday, but head coach, Miguel Gamondi says the performance offered more encouragement than…
EU: Hatuko tayari kwa shambulio la ndege zisizo na rubani za Urusi,
Ulaya inasema haiko tayari kwa shambulio kubwa la ndege zisizo na rubani za Urusi na lazima iunganishe uwezo wa Ukraine chini ya hatari ya kufanya “kosa la kihistoria,” Kamishna wa…
FIFA yaandaa kibano kwa mashabiki wenye matusi, wanyanyasaji
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limetangaza vita dhidi ya mashabiki wa soka ambao...
TGU congratulates newly appointed MDF leaders
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Golf Union (TGU) Chairman, Gilman Kasiga, has extended heartfelt congratulations to General George Jafu on his appointment as Commander of the Malawi Defence Force (MDF)…
Morris impressed with win, but warns: ‘‘No time to celebrate’’
DAWA: SERENGETI Boys Head Coach Aggrey Morris expressed his satisfaction with the team’s dominant 6–0 victory over Sudan in the CECAFA Zone AFCON U-17 Qualifiers in Ethiopia, but quickly reminded…
Health ministry raises alarm over surge in diabetes cases nationwide
DODOMA: THE Ministry of Health has expressed growing concern over the rising number of diabetes cases in the country, revealing that women continue to account for the majority of those…
JKT Queens reflects on bitter defeat, stresses lessons learned
EGYPT: JKT Queens Head Coach Kessy Juma has admitted that although the 1–4 defeat to TP Mazembe in the CAF Women’s Champions League was a bitter blow, it was a…
Uchaguzi wa urais CAR: Baadhi ya wagombea waliidhinishwa kulingana na vigezo vya kisiasa
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Anicet-Georges Dologuélé na Henri-Marie Dondra walielezea faraja yao: baada ya miezi kadhaa ya uvumi kuhusu kutostahiki kwao, mawaziri wakuu hao wawili wa zamani wamejikuta…
Tanzania boosts horticulture investment after summit
DAR ES SALAAM: TANZANIA has unveiled an ambitious agenda to accelerate the growth of its horticulture industry following the successful conclusion of the maiden Horticulture Business and Investment Summit (HoBIS)…
Know House rules, serve people, Z’bar lawmakers told
ZANZIBAR: NEWLY elected members of the Zanzibar House of Representatives have been urged to study, understand and strictly adhere to the laws and standing orders that govern the House as…
Mwinyi orders ministers to deliver
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Dr Hussein Mwinyi has issued a stern message to his newly appointed ministers and deputies: “Deliver results, increase the pace of implementation and get out of offices…
Iran yalaani mauaji na ukiukaji wa haki za binadamu unaondelezwa na Israel huko Gaza na Ukingo wa Magharibi
Iran imelaani vikali mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina pamoja na ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.
Nangu alivyobadili Upepo Simba
Wilison Nangu ni miongoni mwa wachezaji ambaye hakusajiliwa kwa kelele nyingi kujiunga na...
Afrika Kusini yaanza kufufua miradi ya nyuklia
Afrika Kusini imeamua kufufua miradi ya nyuklia iliyokwama kwa muda mrefu na kufungua tena vituo muhimu vya utafiti, kama sehemu ya juhudi za kujenga upya utaalamu wa ndani na kujipanga…
Ajali ya mgodi yaua watu 32 nchini DRC
Daraja la mgodi wa kobalti kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) limeporomoka na kuua wachimbaji wasiopungua 32, afisa wa serikali ya mkoa alithibitisha Jumapili.
Govt unveils reforms to empower private sector for growth
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has reaffirmed the domestic private sector as a key driver of Tanzania’s economic growth, unveiling a series of reforms aimed at improving the business environment,…
Mahitaji ya dhahabu ya Iran yafikia tani 58 Jan–Sep, yashika nafasi ya tano duniani
Iran imekuwa ni ya tano duniani kwa mahitaji ya dhahabu katika kipindi cha robo tatu za kwanza za mwaka huu, ikichochewa na ongezeko la uagizaji wa dhahabu ili kueneza akiba…
Hamas yakataa mpango wa vikosi vya kigeni Gaza
Makundi ya Kipalestina yakiongozwa na Harakati ya Kiislamu ya Mapambano ya Palestina, Hamas, yamepinga vikali mpango wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kupeleka vikosi vya kigeni katika…
Leo Novemba 17, wanafunzi 595,816 wameanza mitihani ya kuhitimu kidato cha nne
Leo Novemba 17, wanafunzi 595,816 wameanza mitihani ya kuhitimu kidato cha nne. Ni upi ujumbe wako kwao? Uandike ujumbe wako hapa, nasi tutausoma #AdhuhuriLive saa 7:00 UTV. #AzamTVUpdates
Umoja wa Afrika wakaribisha kutiwa saini kwa mkataba wa amani kati ya DRC na waasi
Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf, amepongeza kutiwa saini kwa makubaliano ya amanikati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi hayo akisema ni “hatua kubwa…
Form IV exams kick off as candidates number rises
The examinations will be conducted at 5,868 secondary schools and 813 private candidate centres. The post Form IV exams kick off as candidates number rises first appeared on Daily News.
Mashirika yalaani ‘mbinu za kupumbaza’ za kiongozi wa zamani wa waasi Lumbala katika kesi yake Paris
Raia wa Kongo Roger Lumbala anashtakiwa katika mahakama ya Paris kuanzia Novemba 12 hadi 19, 2025, haswa kwa “kushiriki katika uhalifu dhidi ya ubinadamu” uliofanywa mashariki mwa DRC mnamo 2002.…