Ziara ya kushtukiza ya Waziri Mkuu katika hospitali ya Rufaa wa Dodoma.Je iwe endelevu katika maeneo mbalimbali ili kubaini utol…
Ziara ya kushtukiza ya Waziri Mkuu katika hospitali ya Rufaa wa Dodoma.Je iwe endelevu katika maeneo mbalimbali ili kubaini utolewaji wa huduma kwa wananchi ?
Kile kinachodharauliwa, Mungu hukitukuza
Tumsifu Yesu kristu. Tunakusalimu kwa Jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai. Ninamtukuza...
Msemaji wa serikali ya Iran: Jibu kali zaidi linasubiri uvamizi wowote utakaokaririwa dhidi ya nchi hii
Msemaji wa serikali ya Iran ameeleza kuwa Iran itatoa jibu kali zaidi na kwa nguvu kubwa" ikilinganishwa na wakati uliopita ikiwa itakabiliwa na na uchokozi mpya wa nchi ajinabi.
Hamas yaonya kuhusu kuongezeka janga la kibinadamu Ukanda wa Gaza
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kuhusiana na kushadidi janga la kibinadamuu katika Ukanda wa Gaza.
Jihadul-Islami: Muqawama hautaitambua Israel, hakutakuwa na suluhu bila Palestina kupata haki zake
Mwakilishi wa harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina hapa mjini Tehran amesema: "sisi katika mavuguvugu ya Muqawama wa Kiislamu hatutambui uwepo wa utawala wa Kizayuni na hatulazimiki kuutambua, hasa kwa vile…
DRC na M23 zasaini “muundo kamili” wa mpango wa amani baada ya mazungumzo ya Doha
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kundi la waasi la M23 zimesaini makubaliano ya muundo kwa ajili ya mkataba wa amani unaolenga kumaliza mapigano mashariki mwa nchi hiyo.
Nchi wanachama wa NATO kuilipa Marekani yuro milioni 400 za silaha itakazoipatia Ukraine
Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO Mark Rutte amesema, nchi kadhaa wanachama wa shirika hilo zitachangia kwa pamoja shehena ya silaha na zana za kijeshi yenye thamani ya…
Kwa nini China na Russia zimepinga azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu Gaza
Russia na China ambazo ni wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimetaka kufutwa kikamilifu "Tume ya Amani" kwenye matini ya rasimu iliyowasilishwa na Marekani kwenye…
Jumapili, 16 Novemba, 2025
Leo ni Jumapili 25 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 16 Novemba 2025.
BRELA strengthens online business registration
MOROGORO: THE Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) is intensifying efforts to strengthen its digital systems to reduce bureaucracy, safeguard the rights of business owners and ensure safe and efficient…
Eight new aircraft, aviation varsity to drive ATCL growth
DODOMA: THE government has pledged to acquire eight more aircraft by 2030 to strengthen Air Tanzania Company Limited (ATCL), expanding both domestic and international routes and positioning the country as…
PM directs hospitals to stock all essential medicines
DODOMA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has directed the Ministry of Health, Medical Stores Department (MSD) and all hospitals across the country to prioritise stocking medicines based on the specific…
Mwinyi swears in cabinet
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Dr Hussein Mwinyi yesterday officially swore in a new cabinet of ministers and deputy ministers at the Zanzibar State House, calling on them to dedicate themselves to…
Samia’s speech earns kudos
DODOMA: MEMBERS of Parliament and political analysts have hailed President Samia Suluhu Hassan’s maiden speech when inaugurating the 13th Parliament, calling it historic, hopeful and visionary. They noted that it…
JKT yatupwa nje CAFWCL
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens wametupwa nje kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-1 na TP Mazembe.
Vijana watano wajasiriamali waishio katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba, mkoani Mtwara, wameonesha mabadiliko makubwa ya kiuch…
Vijana watano wajasiriamali waishio katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba, mkoani Mtwara, wameonesha mabadiliko makubwa ya kiuchumi baada ya kufikiwa na mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Vijana…
Jaa hilo, ambalo lilianza kama eneo la kawaida la kutupia taka mwaka 2003, sasa limegeuka kuwa kitovu cha uchakataji na uzalisha…
Jaa hilo, ambalo lilianza kama eneo la kawaida la kutupia taka mwaka 2003, sasa limegeuka kuwa kitovu cha uchakataji na uzalishaji wa malighafi muhimu kwa uchumi wa jiji. #AzamTVUpdates Mhariri…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 15, 2025 – WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 15, 2025 - WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Zingiziwa Jimbo la Ukonga, wamempongeza diwani wao Selemani Kaniki, kwa jitihada mbalimbali anazoz…
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Zingiziwa Jimbo la Ukonga, wamempongeza diwani wao Selemani Kaniki, kwa jitihada mbalimbali anazozifanya hasa kwa upande wa kusaidia ujenzi wa Vivuko, ambavyo vilikuwa kero kubwa…
UCHAMBUZI WA DANIEL MJEMA: Rais kanyoosha mkono, tuupokee kwa kanuni hizi nane za maridhiano
Rais Samia Suluhu Hassan amelifungua rasmi bunge la 13 Jijini Dodoma na moja kati ya mambo...
Mtatiro: Watumishi wa umma jengeni tabia ya kupima afya
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro amewahimiza wananchi wa wilaya ya Shinyanga...
Ushauri wa wadau kuyaendea maridhiano
Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kueleza dhamira ya kuendeleza mchakato wa...
ADF watuhumiwa kuvamia hospitali na kuwauwa wagonjwa Lubero DRC
Watu zaidi ya 20 wameuawa Wilayani Lubero nhcini DRC, wakiwemo wagonjwa 17 waliokuwa wamelazwa katika hospitali mjini Biambwa usiku wa kuamkia leo, umbali na kilomita 90 Magharibi mwa mji wa…
Wizara ya Vijana yaibua mjadala wa vijana, wadau
Wakati Serikali ikiwa mbioni kuanzisha wizara maalumu ya vijana, wenyewe wamesema hatua hiyo...
Vijana watahadharishwa kufuata mkumbo, watakiwa kulinda amani
Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa...
Balozi wa AzamTV @mkwere_original ndani ya Miono
Balozi wa AzamTV @mkwere_original ndani ya Miono
Maelekeo ya Rais Mwinyi kwa mawaziri akiwaita ACT kuunda Serikali
Wakati Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi akiwaapisha mawaziri aliowateua amesema siyo wakati...
M23, DR Congo watia saini makubaliano mapya Doha
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, wametia saini makubaliano mapya ya namna ya kumaliza vita Mashariki mwa nchi hiyo. Imechapishwa: 15/11/2025…
Mfaransa wa Azam aponzwa na kibali Angola
MAMBO si mazuri kwa kocha wa zamani Azam FC, Bruno Ferry baada ya kuondolewa nchini Angola kwa hati ya dharura kutokana na kukosa kibali cha kuishi.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO….15 NOVEMBA, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO....15 NOVEMBA, 2025
Mwanuke azitaja Simba, Singida BS
KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate, Jimmyson Mwanuke amezitaja Simba na Singida Black Stars kuwa ndizo timu ambazo zimemuongezea ubora wa kiwango licha ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara…
Muguna aiota Ligi Kuu Bara
NYOTA wa zamani wa Azam, Mkenya Kenneth Muguna amesema licha ya kucheza Ligi mbalimbali katika fani yake ya soka hadi sasa, ila hajaona Ligi bora na yenye kuvutia sana zaidi…
Mgunda: Msihofu Namungo itatisha
LICHA ya kuanza msimu kwa kusuasua katika Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema timu ina mabadiliko, tofauti na msimu uliopita kutokana na wachezaji walioongezwa kikosini kuonyesha…
Zaidi ya nusu idadi ya watu Sudan wanahitaji msaada
Zaidi ya nusu ya idadi ya watu wa Sudan wanahitaji msaada wa kibinadamu. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Baraza la Wakimbizi la Denmark, huku mapigano yakiliharibu taifa hilo la kaskazini…
Serikali ya Kongo na M23 zasaini makubaliano ya amani
Wawakilishi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wale wa kundi la waasi la M23 wametia saini leo Jumamosi nchini Qatar, makubaliano ya mpango wa amani unaolenga kukomesha…
Maandamano yafanywa Bangladesh dhidi ya jamii ya Ahmadiya
Maelfu ya waandamanaji walikusanyika katika mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka, kutaka wafuasi wa dhehebu dogo la Kiislamu watangazwe kuwa makafiri, katika onyesho la nguvu kwa watu wenye misimamo mikali kabla…
Mandamano makubwa yafanyika katika mkutano wa COP30, Brazil
Maandamano makubwa yamefanyika leo katika Mkutano wa UN wa Mazingira (COP30) nchini Brazil. Maelfu ya watu wa jamii za asili na wanaharakati wa kimataifa wa hali ya hewa, waliandamana katikati…
Mwigulu aanza na Wizara ya Afya, atoa maagizo mazito
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025, amefanya ziara ya kushtukiza...
Shura ya Maimamu yatoa msimamo wake juu ya maridhiano
Shura ya Maimamu Tanzania imetoa msimamo wake kuhusu mustakabali wa maridhiano ya kitaifa...
Dereva TFS matatani kwa tuhuma za kifo cha bodaboda aliyepakia mkaa
Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro limeanza kuchunguza tukio la ajali ya gari inayodaiwa kuwa ni...
TEC yataka wahusika wa mauaji Tanzania kuwajibishwa
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC, limetaka wahusika wa mauaji ya wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania kuwajibishwa huku pia likishauri kuundwa kwa Tume Huru itakayojumuisha wadau wa ndani na…
DR Congo, M23 wasaini makubaliano ya amani ‘ya kihistoria’ nchini Qatar
Qatar imeandaa vikao vya moja kwa moja kadhaa kati ya serikali ya DRC na M23.
Rais Erdogan afungua maonyesho ya ‘Echoes’ Istanbul kwa heshima ya Sule Yuksel Senler na Malcolm X
Maonyesho katika Kituo cha Utamaduni cha Ataturk yanaadhimisha vigogo wawili wa haki za kimataifa na kumbukumbu, sanaa inayoendeshwa na AI na ujumbe juu ya haki na uhuru.
Vi Agroforestry lapanda miti milioni 163 Afrika Mashariki
Shirika lisilokuwa la kiserikali la Vi Agroforestry limepanda miti zaidi ya milioni 163 katika...
Kanisa Anglikana lawanoa walimu wa Sunday School
Kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam limeanza rasmi mafunzo kwa walimu wa Shule ya...
Kikosi cha Wanamaji cha IRGC chakamata meli ya mafuta kusini mwa Makran kwa kukiuka taratibu
Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limekamata meli ya mafuta katika pwani ya kusini ya Makran baada ya kupokea amri ya mahakama.
Baraza la Maaskofu Tanzania lataka uwajibikaji kwa waliohusika na mauaji ya waandamanaji
Maaskofu wa Tanzania wamelaani mauaji hayo na kuitisha uchunguzi unaoshirikisha wadau wa ndani na wa nje huku wakiiomba serikali iwe tayari kutekeleza ripoti itakayotolewa
#HABARI: Nyumba 27 zenye Kaya 58 katika Vitongoji vya Misufini na Chang’ombe vilivyopo Kijiji cha Mbwade Kata ya Bwakila, chini …
#HABARI: Nyumba 27 zenye Kaya 58 katika Vitongoji vya Misufini na Chang’ombe vilivyopo Kijiji cha Mbwade Kata ya Bwakila, chini Wilaya ya Morogoro mkoani Mmorogoro, zimeezuliwa mapaa na nyingine kubomoka,…