Israel yaendelea kukanyaga makubaliano ya kusitisha vita Ghaza
Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kukanyaga makubaliano ya kusimamisha vita Ghaza na umefanya mashambulizi mapya dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa ukanda huo iliouzingira kila upande.
UNHCR yahimiza jamii ya kimataifa kuwasaidia wakimbizi wa Sudan nchini Chad
Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetoa mwito wa dharura wa kusaidiwa sana kimataifa maelfu ya watu waliokimbilia Chad kukwepa mauaji ya kimbari nchini Sudan. Wasudan wanaendelea kumiminika…
Jumapili, 9 Novemba, 2025
Leo ni Jumapili 18 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 9 Novemba 2025 Miladia.
Police vow justice for recent skirmishes
DODOMA: THE Tanzania Police Force has vowed to track down and bring to justice all individuals involved in the recent skirmishes. According to a police statement, the violence, which erupted…
Diplomats: Peace, unity, key to progress
DAR ES SALAAM: TANZANIANS have been urged to continue protecting the country’s lasting peace to enable leaders to effectively implement development projects for national prosperity. Citizens have been reminded to…
09.11.2025 Matangazo ya Mchana
Urusi yasema iko tayari kuzungumza na Marekani kuhusu Ukraine+++Rais wa Syria awasili Marekani katika ziara ya kihistoria+++Maelfu wahamishwa makwao kupisha kimbunga kingine kikubwa Ufilipino
Pantev aanza na ushindi Ligi Kuu, JKT TZ ikiendeleza rekodi mbovu
MENEJA wa Simba, Dimitar Pantev, ameanza vyema mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara na timu hiyo, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania,…
Majembe matano yampa jeuri Pantev Simba
WAKATI ikielezwa Simba imeshaanza mchakato wa kusaka mbadala wa kipa Moussa Camara anayetarajiwa kufanyiwa upasuaji wa goti, eneo la beki wa kati kikosini hapo ni uhakika huku majembe matano yakiipa…
Yanga kupangwa na waarabu Aziz Ki asema jambo
KIPINDI hiki ambacho mashabiki wa Yanga wanazidi kupasuka vichwa kuhusu kundi ambalo timu hiyo limepangwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, kiungo wa zamani wa klabu hiyo Stephane Aziz…
JKT Queens kazi inaanza leo CAF
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens leo watakuwa katika Uwanja wa Suez Canal uliopo Ismailia, Misri kuianza safari ya ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika Wanawake…
Mikakati ya Singida BS bila Gamondi
UONGOZI wa Singida Black Stars, umesisitiza kwamba Kocha Mkuu, Miguel Gamondi bado yupo sana klabuni hapo, huku ukieleza namna utakavyoishi pale ambapo kocha huyo atatingwa na majukumu ya timu ya…
Kulandana atoa tahadhari
KIUNGO wa Fountain Gate, Abdallah Kulandana amesema ongezeko la wachezaji ndani ya kikosi hicho baada ya uongozi kukamilisha usajili kwenye mfumo limeongeza chachu ya ushindani huku akiitahadharisha Pamba Jiji.
Kakolanya ana hesabu kali timu ya Taifa
KIPA namba moja wa Mbeya City, Beno Kakolanya amesema bado anaamini ana nafasi ya kurejea katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, huku akiwapongeza makipa wote walioitwa…
Kama utani… CAF imewarudisha Bongo kivingine
TIMU nne za Tanzania zinazoshiriki hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika zimeshajua zinakutana na wapinzani gani katika mechi sita zikiwa ni Yanga, Simba,…
Pamba yaibana Singida ikichanja mbuga kileleni, Gamondi alia na uwanja
Singida Black Stars imepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Pamba Jiji kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, huku Kocha wake, Miguel Gamondi akilalamikia uwanja na urefu…
Naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Amani Golugwa akamatwa
Chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimetangaza leo mchana kuwa polisi kwenye mkoa wa kaskazini wa Arusha limemkamata Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Amani…
Marekani yasema Rwanda na Kongo zaahidi kupunguza mvutano
Marekani imesema jana kuwa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimeahidi kushirikiana kupunguza mvutano na kuahidi tena kuzingatia makubaliano ya amani, ambayo yameshindwa kusitisha ghasia.
Ukraine yawataka viongozi wa Afrika kuwaonya raia wao kuipigania Urusi
Ukraine inasema watu zaidi ya 1,400 kutoka mataifa 36 wanaipigania Urusi, kwenye vita vinavyoendelea kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Imechapishwa: 08/11/2025 – 16:33 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Watu 3 wauawa na 12 kujeruhiwa nchini Ukraine
Droni moja imelenga jengo la ghorofa tisa katika mji wa Dnipro mashariki mwa Ukraine mapema leo na kuwauwa watu watatu pamoja na kujeruhiwa wengine 12. Haya yameripotiwa leo na mamlaka…
Mwanajeshi wa zamani wa Uingereza akamatwa kwa kumuua Mkenya
Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma, Kenya ODPP, imepongeza kukumatwa kwa mwanajeshi wa zamani wa Uingereza Robert James Purkiss, kwa tuhuma za kumuua raia wa Kenya Agnes Wanjiru zaidi…
Israel yatambua mwili wa mateka uliorejeshwa kutoka Gaza
Israel imetambua mabaki ya mateka wa hivi karibuni zaidi kurejeshwa na kundi la Hamas kutoka Gaza na kubakisha idadi ya miili mitano mingine inayopaswa kurejeshwa chini ya makubaliano ya amani…
Tanzania: Polisi wanalenga kuwakamata viongozi wa Chadema
Jeshi la polisi linawatafuta viongozi wakuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, kwa madai ya kuhusishwa na machafuko makubwa yaliyotokea wiki iliyopita katika miji mbalimbamnali, wakati wa uchaguzi mkuu. Imechapishwa:…
Viongozi wa juu Chadema matatani
Wakati Jeshi la Polisi likitangaza kuwasaka watu wengine 10 kwa makosa ya kupanga, kuratibu na...
Kujitoa kwa Dk Tulia kugombea uspika kwazua mjadala
Licha ya kuzua mjadala, kujitoa kwa Dk Tulia Ackson kwenye kinyang’anyiro cha uspika kunaweza...
Serikali yathibitisha kupatikana mwili wa Joshua
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha taarifa za kupatikana...
Waathirika wa maandamano Arusha waiangukia Serikali
Wananchi waliothiriwa na vurugu zilizosababishwa na maandamano siku ya uchaguzi wa Oktoba 29...
Majaribio chanjo mpya ya malaria yaonyesha matumaini
Chanjo mpya ya majaribio ya malaria iitwayo SUM-101 imeonyesha matokeo ya kutia moyo katika...
Amaan Golugwa akamatwa huku polisi Tanzania ikiwasaka viongozi wa upinzani kufuatia maandamano
Tayari mamia ya wananchi wamefunguliwa mashtaka kwa makosa ya jinai huku viongozi wa upinzani wakiwekwa kwenye orodha mpya ya watakaokamatwa na kushtakiwa
Vyuo kufunguliwa kuanzia Novemba 17
Baada ya kusogezwa mbele kwa ratiba ya kufungua taasisi za elimu ya juu kufuatia vurugu...
Sadc yampongeza Rais Samia, yatoa pole kwa familia za waliopoteza maisha
Mkutano mkuu maalumu wa wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo...
OMO awataka viongozi kufuata maadili ya dini kudumisha amani
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amewahimiza wananchi na waumini wa...
Matukio ya Oktoba 29 yalivyoathiri sherehe, watoa huduma
Baadhi ya shughuli za harusi zilizopangwa kufanyika mwishoni mwa Oktoba na mwanzoni mwa Novemba...
Tanzania to take active role at UN World tourism meeting
RIYADH: TANZANIA has confirmed its readiness to take an active role at the 26th General Assembly of the United Nations World Tourism Organization (UNWTO), currently underway in Riyadh, Saudi Arabia.…
TGC opens centers to promote mineral value-added opportunities
ARUSHA: THE Tanzania Gemmological Center (TGC) has opened special centers to promote opportunities in the country’s mineral value-added chain at the Arusha International Convention Center (AICC) and at the Kilimanjaro…
Iran: Rais wa Iran hapingi kuiepusha Tehran kwa uhaba wa maji
Tehran inakabiliwa na uhaba usio wa kawaida wa maji ya kunywa, tukio mbaya zaidi katika miongo kadhaa. Kwingineko nchini, hakuna tone la maji lililotoka bombanii katika theluthi mbili ya mikoa…
Tanzania wows 120 US travel agents with wildlife, culture
ARUSHA: TANZANIA’S unmatched wildlife, rich culture, and breathtaking landscapes have captured the hearts of nearly 120 travel agents from the United States. The agents, visiting the country for the first…
Wafanyakazi waokolewa baada ya maharamia kushambulia meli ya mafuta kutoka Somalia
Maharamia hao waliiacha meli ya mfanyabiashara baada ya "kuonyeshwa nguvu", taarifa ya Jeshi la Wanamaji la Umoja wa Ulaya ilisema.
Ni nini takwa la Tehran baada ya Trump kukiri kuhusika Marekani katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran?
Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa alikuwa na mchango katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran.
Hungary yatangaza Trump ametoa msamaha wa vikwazo vya mafuta ya Urusi
Kulingana na Budapest, Rais wa Marekani Donald Trump amekubali siku ya Ijumaa, Novemba 7, kuipa Hungary msamaha wa vikwazo vya Marekani vinavyohusiana na mafuta ya Urusi. Msamaha huo uliripotiwa kutolewa…
Ushindi wa Karabakh wa Azerbaijan kwa amani ya Caucasus: Rais Erdogan
Rais wa Uturuki Erdogan ametoa wito kwa Armenia na Azerbaijan kujenga mustakabali wa amani wakati wa kusherehekea mafanikio ya Azerbaijan huko Karabakh..
Ukraine: Baada ya zaidi ya mwaka mmoja wa mapigano, jiji la Pokrovsk linatishiwa kuanguka
Hali ya kutisha inajitokeza mashariki mwa Ukraine, huko Pokrovsk, katika jimbo la Donetsk. Pokrovsk, jiji lenye watu 60,000 kabla ya vita, limekuwa ngome ya upinzani wa Ukraine katika eneo hilo,…
Ukraine yakumbwa na shambulio jipya la Urusi dhidi ya miundombinu ya nishati
Ukraine imeripoti kulengwa na shambulio jipya la Urusi dhidi ya miundombinu yake ya nishati usiku wa Ijumaa, Novemba 7, kuamkia Jumamosi, Novemba 8, na kusababisha kifo cha mtu mmoja na…
Polisi ya Tanzania yawasaka viongozi wa upinzani
Polisi ya Tanzania imesema inawasaka viongozi kadhaa wa upinzani ikiwalaumu kuhusika na maandamano ya vurugu yaliyoitikisa nchi hiyo wakati wa uchaguzi mkuu.
Tanzania is committed to ensure a successful reconciliation, Dr Nchimbi assures SADC
DODOMA: TANZANIA’S Vice President, Dr Emmanuel Nchimbi, has assured Southern African Development Community (SADC) Member States that Tanzania under Dr Samia Suluhu Hassan’s presidency is committed to ensure the reconciliation…
Anko Kitime: Muziki wa uzalendo bidhaa adimu kwenye vyombo vya utangazaji
Ukifuatia historia ya nchi hii hata kabla ya ujio wa wakoloni, wanamuziki wamekuwa na nafasi...
Wanaharakati wa Kenya waachiwa huru baada ya kutekwa Uganda
Wanaharakati wawili wa Kenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo wameachiliwa huru baada ya kutoweka Uganda walikokuwa wanahudhuria mkutano wa chama cha upinzani nchini humo. Haya ni kulingana na mashirika ya…
Fursa, changamoto kusitishwa mwendokasi Kimara na Mbagala
Wakati usafiri wa mwendokasi ukisitishwa kwa muda katika barabara za Morogoro na Kilwa, baadhi...
Hemed aapishwa Makamu wa Pili wa Rais akitaja mwelekeo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Hemed...