Rais Kim aongoza gwaride kuonyesha nguvu zake za kijeshi
Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameongoza gwaride kubwa la kijeshi akionesha uwezo wake mkubwa wa makombora mbele ya viongozi wa kimataifa waliokuwepo nchini mwake.
Kwa nini Trump amekosa Tuzo ya Amani ya Nobel?
Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kukosa Tuzo ya Amani ya Nobel, msemaji wa Ikulu ya White House ameikosoa Kamati inayoandaa Tuzo ya Nobel kwa kutomtunuku rais huyo tuzo…
Samia aahidi kuongeza udhibiti wanyamapori Kanda ya Ziwa
Amesema Serikali imeanza kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na tatizo la wanyama wakali...
Bashungwa: CCM ni dhamana ya amani, maendeleo
Bashungwa amesisitiza akisisitiza kuwa kura zao ni msingi wa kuendeleza mafanikio yaliyopatikana.
Msikie mkali wa kudanki Ligi ya Kikapu Dar
ILE Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ilimalizika wiki iliyopita ikishuhudia Dar City ikiondoka na ubingwa upande wa wanaume ilhali ule wa wanawake ambako DB Lioness ilitetea…
Wakulima, wavuvi waahidiwa vifaa vya kisasa CCM ikirejea madarakani
Ahadi hizo zimetolewa na mgombea wa urais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi wakati akizungumza na...
Uturuki iko tayari kujiunga na Kikosi Kazi cha Gaza: Wizara ya Ulinzi
Uturuki imethibitisha utayari wa hali ya juu kwa misheni ya kimataifa, pamoja na Gaza, huku ikipanua ushirikiano wa kiulinzi, kuboresha meli za anga, na kufanya mazoezi makubwa ya NATO na…
Botswana inatekeleza sheria mpya ya 24% ya umiliki wa ndani kwa migodi yote
Sheria hiyo ilipendekezwa mwaka jana kama sehemu ya rasimu ya sheria, lakini serikali ilikuwa haijasema ni lini itaanza kutekelezwa.
Bila shaka umewahi kuusikia msemo “adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.” Unafikiri msemo huu una ukweli wowote?
Bila shaka umewahi kuusikia msemo “adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.” Unafikiri msemo huu una ukweli wowote? Mtazamo wako ni upi? #AzamTVUpdates ✍Juliana James Mhariri | John Mbalamwezi
Wapalestina 200,000 wanarejea kaskazini mwa Gaza huku wanajeshi wa Israel wakiondoka
Wapalestina wanakaribisha usitishaji huo wa mapigano kwa afueni na huzuni, wakiwa wamevurugwa kati ya furaha ya kurejea makwao na uharibifu ulioachwa nyuma na mauaji ya kimbari ya Israel.
Wabunge wa EU watoa tamko kutekwa kwa Polepole
Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa...
Mdau wa #Hellowikiendi unaweza kuweka desturi ya kufanya mazoezi haya ya viungo ili kuimarisha mwili mzima
Mdau wa #Hellowikiendi unaweza kuweka desturi ya kufanya mazoezi haya ya viungo ili kuimarisha mwili mzima. @mcjojo__ #AzamTVUpdates ✍Juliana James Mhariri | John Mbalamwezi
Wanajeshi wa Marekani wawasili Israel kusaidia kufuatilia usitishaji mapigano Gaza
Takriban wanajeshi 200 wa Marekani watasaidia kusimamia utekelezwaji wa mapatano hayo, lakini hawataingia Gaza.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema lengo lake kufikia mwaka 2030 ni kuhakikisha sekta ya kilimo inakua…
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umewakumbusha waajiri wanaosuasua kulipa michango ya wafanyakazi wao kuhakikisha wanal…
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umewakumbusha waajiri wanaosuasua kulipa michango ya wafanyakazi wao kuhakikisha wanalipa mara moja kabla ya kuchukuliwa hatua, ikiwemo kufikishwa katika vyombo vya sheria.…
#HABARI: Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa …
#HABARI: Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa la Afrika Mashariki umeonesha matumaini makubwa ya kupatikana kwa Mafuta na…
Inter Miami kuirudisha MSN ya Barcelona
Uongozi unaomsimamia Neymar unaripotiwa umeitaarifu Inter Miami kuwa inaweza kumnasa Neymar...
Wananchi wa Uruguay waandamana wakitaka kukatwa uhusiano na Israel
Maelfu ya wananchi wa Uruguay waliingia mitaani na mabarabarani jana Ijumaa, kushiriki maandamano ya kuitaka serikali yao itambue mzozo wa kibinadamu unaoendelea Gaza kama mauaji ya halaiki, sanjari na kukata…
Trump ataungana na viongozi, wanadiplomasia kutoka Uturuki na wengine kwenye mkutano wa Gaza, Cairo
Mkutano huo unaripotiwa kutarajiwa kufanyika katika eneo la mapumziko la Sharm el-Sheikh na Misri "tayari imetoa mualiko kwa viongozi kadhaa."
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea na uchunguzi wa tukio la kupotea kwa Padri Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea, am…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea na uchunguzi wa tukio la kupotea kwa Padri Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea, ambaye pia ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha…
Mwandishi wa gazeti la kizayuni la Haaretz: HAMAS haijasambaratika na imefikia malengo yake
Mwandishi mashuhuri wa gazeti la kizayuni la Haaretz Chaim Levinson amesema, japokuwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imepoteza hatamu za uongozi wa Ukanda wa Ghaza, lakini imefanikiwa…
Ndani ya Boksi: Msimu wa kulegeza ‘stresi’ waja
Ukifika mwezi Desemba, kuna vibe ambalo halihitaji tangazo la serikali. Halihitaji sauti ya...
Mfalme wa Morocco atoa wito wa kufanyika mageuzi huku vuguvugu la vijana likisitisha maandamano
Vuguvugu la GenZ la Morocco linasema kuwa litasitisha kwa muda maandamano mwishoni mwa juma baada ya wiki mbili za maandamano ya kutaka mageuzi ya afya na elimu.
UNHCR yahimiza kuchukuliwa hatua kukabiliana na tatizo kubwa la wakimbizi katika eneo la Sahel
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) jana Ijumaa lilitoa wito wa kutekelezwa juhudi za kimataifa haraka iwezekanavyo ili kukabiliana na mgogoro unaoongezeka wa wakimbizi katika eneo la…
Chombo cha Kizayuni: Zoezi la kuachiliwa mateka Wapalestina limeanza
Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimetangaza kuwa, zoezi la kuachiliwa huru matekani wa Palestina kutoka jela tano za Israel limeanza.
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imewataka wataalamu wa sekta ya anga sambamba na watumiaji wa huduma za utafiti wa anga…
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imewataka wataalamu wa sekta ya anga sambamba na watumiaji wa huduma za utafiti wa anga akiwemo mashirika na abiria wanaopanda ndege na watumiaji…
Miezi sita baada J.Lo kujifungua mapacha
Mwigizaji na mwimbaji maarufu kutokea Marekani, Jennifer Lopez (J.Lo), 56, amesema alishiriki...
Maelfu ya Wapalestina waendelea kurejea kaskazini mwa Gaza
Maelfu ya raia wa Palestina waliokimbia wakitoroka mashambulio ya Israel waendelea kurejea kaskazini mwa Mji wa Gaza kufuatia makubaliano ya usitishaji wa mapigano yalioongozwa na Marekani wiki hii. Imechapishwa: 11/10/2025…
Junza wa tamthilia ya Mpali afariki dunia
Muigizaji maarufu kwenye tamthilia ya Mpali ya Zambia, maarufu kwa jina la Junza, aliyekuwa...
Salama Jabir ni Jumba la Ubunifu, chagua chumba!
Kwa miaka zaidi ya 15, Salama Jabir a.k.a Ece Jay amekuwa akitangaza katika televisheni na ni...
Wadau wa elimu nchini wamehimizwa kuungana katika kuwezesha upatikanaji wa miundombinu mbalimbali ya elimu ikiwemo viti vya waal…
Wadau wa elimu nchini wamehimizwa kuungana katika kuwezesha upatikanaji wa miundombinu mbalimbali ya elimu ikiwemo viti vya waalimu, madawati pamoja na mabweni ya wanafunzi hali itakayosaidia kurahisisha ufundishaji na ujifunzaji…
MUWSA yawaita wakazi wa Moshi kujiunga na mtandao wa maji taka
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1999, mtandao wa maji taka wa MUWSA umeongezeka kutoka kilomita 13...
🔴WATOTO WETU, SHULE YA MSINGI SARANGA…OKTOBA 11, 2025
🔴WATOTO WETU, SHULE YA MSINGI SARANGA...OKTOBA 11, 2025
Pengine Ibraah anachangamsha tu genge
Aliyekuwa mwanamuziki wa Konde Music Worldwide kwa takribani miaka mitano, Ibraah ameachia...
Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa la Afrika…
Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa la Afrika Mashariki umeonesha matumaini makubwa ya kupatikana kwa mafuta na gesi…
Wazayuni wakiri kushindwa kuivunja na kuipokonya silaha HAMAS
Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimekiri kwamba vita vya Ghaza vimeisha na Hamas imepata mafanikio mengi kiasi kwamba licha ya kupita miaka miwili ya mashambulizi ya…
Iran: Tutalinda maslahi yetu Ghuba ya Uajemi hadi tone la mwisho la damu
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amegusia uwezekano wa kutokea vita vya moja kwa moja vya kijeshi baina ya Iran na Marekani…
Yemen: Tutaendelea kuitia adabu Israel kama haitoheshimu usimamishaji vita Ghaza
Mamia ya maelfu ya wananchi wa Yemen walifanya mikutano na maandamano ya nchi nzima kitaifa jana wakielezea kuwa kwao kuendelea kuitandika na kuitia adabu Israel kama haitoheshimu makubaliano ya kusitiza…
Gen-Z Morocco wamlazimisha mfalme kufanya mageuzi ya kimsingi
Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco jana Ijumaa alitoa amri ya kufanyika mageuzi ya kimsingi ili kulinda haki za kijamii wakati huu ambapo nchi hiyo imekumbwa na maandamano yanayoongozwa na…
WFP yaonya juu ya kuongezeka njaa miongoni mwa wakimbizi nchini Ethiopia
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) jana Ijumaa lilionya kwamba wakimbizi nchini Ethiopia wako katika hatari ya kuteseka zaidi kwa njaa huku uhaba mkubwa wa…
Maisha ya DJ Mushizo baada ya ajali ya moto
Ni wazi kuwa baadhi ya mashabiki wa msanii wa muziki wa singeli DJ Mushizo wamepata faraja...
Hekaya za Mlevi: Unawajua Wazungu Weusi?
Mwezi huu tunatimiza miaka ishirini na sita toka kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius...
Uchaguzi wa urais Cameroon: Kutangazwa kwa matokeo, mchakato uliodhibitiwa madhubuti
Siku moja kabla ya uchaguzi wa urais nchini Cameroon, serikali imefanya mkutano na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, Oktoba 10, ili kusisitiza sheria kuhusu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi.…
Ufaransa: Sébastien Lecornu ateuliwa tena kuwa Waziri Mkuu, LFI na RN waahidi kupinga
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, siku ya Ijumaa, Oktoba 10, ameamua kumteua tena Sébastien Lecornu kama Waziri Mkuu. Mfuasi huyu mwaminifu wa Rais wa Jamhuri, ambaye alijiuzulu mapema wiki hii…
Utafiti wathibitisha uwezekano wa mafuta Bonde la Eyasi Wembere
Mradi wa Bonde la Eyasi Wembere ni miongoni mwa miradi ya kimkakati ya Serikali inayotekelezwa...
Mkataba wa amani DRC: Jeshi la Kongo latoa wito kwa waasi wa FDLR kuweka chini silaha zao
Jeshi la Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo linatoa wito kwa waasi wa FDLR, wanaochukuliwa na Kigali kuwa “tishio lililopo,” kuweka chini silaha zao, kifungu muhimu cha makubaliano ya amani yaliyotiwa…
🔴KUMEKUCHA: MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA AKILI DUNIANI …OKTOBA 11, 2025
🔴KUMEKUCHA: MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA AKILI DUNIANI ...OKTOBA 11, 2025
Donald Trump azindua mashambulio ya biashara dhidi ya China
Katika kulipiza kisasi kwa vikwazo vilivyowekwa na Beijing kwenye sekta ya kimkakati ya juu ya ardhi adimu, Donald Trump ametangaza kwenye mtandao wake wa Truth Social kwamba Marekani itatoza ushuru…
🔴MAGAZETI: LISSU , JAMHURI NI MWENDO WA MAPINGAMIZI / UTATA DILI LA RORO, BENCHI LA FOLZ KUMEGWA
🔴MAGAZETI: LISSU , JAMHURI NI MWENDO WA MAPINGAMIZI / UTATA DILI LA RORO, BENCHI LA FOLZ KUMEGWA...