Polisi yachunguza madai ya kutekwa kwa Polepole, familia yazungumzia
Jeshi la Polisi nchini limesema linaendelea kufanyia kazi madai ya kutekwa kwa aliyekuwa Balozi...
Shahidi aeleza sababu ya kumshtaki Lissu kwa uhaini
Shahidi wa kwanza wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha...
Mwalimu aahidi Serikali yake kukomesha ugumu wa Maisha
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu...
Kiswahili, siyo Kifaransa, ndiyo lugha sahihi Afrika Mashariki
Lugha ndiyo roho ya watu. Kukipa thamani Kifaransa kuliko Kiswahili Afrika Mashariki kunafanya utambulisho wa utamaduni kudunishwa pamoja na uhusiano wa kikanda.
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI OKTOBA 06, 2025 – MAHAKAMA KUU YAANZA KUSIKILIZA USHAHIDI KESI YA LISSU
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI OKTOBA 06, 2025 - MAHAKAMA KUU YAANZA KUSIKILIZA USHAHIDI KESI YA LISSU
NCBA kuzifanya ndoto za wateja wake kuwa halisi
Benki ya NCBA Tanzania Kaulimbiu ya huduma kwa wateja mwaka huu, (Mission Possible), inaweka...
Othman aahidi uchaguzi wa amani atakapochaguliwa
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema Serikali atakayoiunda...
Utafiti: Kilimo mseto hulinda wakulima dhidi ya joto kali
Wakati kukiwa na ongezeko la joto litokanalo na mabadiliko ya tabianchi, watafiti wamebaini...
#HABARI: Mgombea Urais, kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU), Ndg
#HABARI: Mgombea Urais, kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU), Ndg. Majalio Kyara, amesema endapo ataingia madarakani atahakikisha kila mvuvi ananunuliwa boti ya kuvulia samaki ili aweze kufanya…
Ukraine yafanya mashambulizi makubwa ya droni dhidi ya Urusi
Jeshi la Ukraine limesema Jumatatu kuwa limefanya mashambulizi makubwa ya droni ndani ya Urusi.
Viongozi wa dini wataka vijana, wanawake kulinda amani
Viongozi wa dini mkoani Mwanza wamewataka vijana na wanawake kuhakikisha wanalinda amani kabla...
Wanachama wa ACT Wazalendo Konde wajiunga na CCM
Wanachama hao wamerejesha kadi zao na kujiunga na CCM leo Oktoba 6, 2025 katika mkutano wa...
Wanaharakati 171 wa msafara wa Flotilla wafurushwa Israel
Israel imetangaza kuwafurusha wanaharakati wengine 171 ambao walikuwa wamezuiliwa baada ya kushiriki kwenye msafara wa kundi la misaada la Global Sumud Flotilla lililokuwa likielekea Gaza kutoa msaada wa kibinaadamu.
#HABARI: Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inayounguruma Mahakama Kuu Mas…
#HABARI: Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inayounguruma Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa mpaka kesho ambapo Lissu ataendelea kumuuliza maswali…
#HABARI: Taasisi ya Utafiti wa Wanyapori Tanzania (TAWIRI), imeanza kutumia vifaa vipya vya kurushia mabomu baridi, ili kuwadhib…
#HABARI: Taasisi ya Utafiti wa Wanyapori Tanzania (TAWIRI), imeanza kutumia vifaa vipya vya kurushia mabomu baridi, ili kuwadhibiti Tembo, wanaovamia makazi ya watu na kusababisha uharibifu wa mazao pamoja na…
ICC yamkuta na hatia Mkuu wa wanamgambo Janjaweed wa Sudan
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumatatu imemtia hatiani mkuu wa wanamgambo wa Janjaweed wa Sudan kutokana na vitendo vya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Hatima ya Mpina kugombea urais kujulikana Oktoba 10
Hukumu ya mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina ya kutaka arudishwe kuwa mgombea...
Uchaguzi huenda ni suluhisho la mkwamo wa kisiasa Ufaransa
Waziri anayeondoka wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Bruno Retailleau amesema ikiwa hali ya kisiasa nchini humo itaendelea kuwa kwenye mkwamo, itakuwa muhimu kufanya uchaguzi mpya.
Polisi Tanzania yaanza kuchunguza madai ya kutekwa Polepole
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limeanza kuchunguza taarifa za kutekwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na mwanasiasa Humphrey Polepole.
CRDB yakumbuka mapito yake ikiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema kuwa hakuna lisilowezekana na...
Polisi Ujerumani yahimiza kukomesha kwa vivutio vya uhamiaji
Mkuu wa Polisi ya Ujerumani, Dieter Romann, amesema uhamiaji haramu unaweza kudhibitiwa tu endapo serikali itapunguza vivutio vinavyowafanya wahamiaji kukimbilia nchini humo na kuimarisha ulinzi wa mipaka na urejeshaji.
DRC kupiga marufuku wauzaji wa kobalti wanaokiuka utaratibu wake mpya
DRC ambayo inachangia takriban 70% ya pato la kobalti duniani, ilisimamisha mauzo ya nje mwezi Februari baada ya bei ya madini hayo muhimu ya betri ya umeme kushuka kwa kiasi…
Tanzania: Polisi yaanzisha uchunguzi kufuatia ripoti za kutekwa kwa Polepole
Jeshi la polisi nchini Tanzania katika taarifa limesema limeanzisha uchunguzi kufuatia ripoti kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa wanafamilia wa Humphrey Polepole- aliyekuwa balozi wa taifa hilo la Afrika Mashariki…
NMB yaahidi kuendeleza ubunifu kwa wateja
Benki ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuwa kinara wa huduma bunifu, jumuishi, na...
Vodacom yajivunia huduma bunifu, jumuishi kwa wateja
Wakati dunia ikiadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Vodacom Tanzania PLC inajivunia miaka 25...
Israel yaendelea kuishambulia Gaza, 7 wauwawa
Watu 7 wameripotiwa kuuwawa katika shambulizi la Israel Ukanda wa Gaza huku majadiliano yakiendelea Misri ya namna ya kuutekeleza mpango wa amani wa rais wa Marekani Donald Trump wa usitishaji…
Mahakama ya ICC yampata na hatia kiongozi wa kwanza wa wapiganaji Darfur
Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman, ambaye pia anajulikana kwa jina la Ali Kushayb, anakabiliwa na makosa 31 ya uhalifu ikiwa ni pamoja na ubakaji, mauaji na mateso yanayodaiwa kutekelezwa huko Darfur…
Wadau wapata mwarobaini kuhifadhi matumbawe
Katika kukabiliana na changamoto za uharibifu wa matumbawe, wadau wameandaa mradi maalumu wa...
Umuhimu wa ufikishaji wa huduma za bima karibu na wananchi
Huduma za bima ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi, zikiwa na mchango...
Je, kuna kitisho cha kuvurugika hali ya usalama Zanzibar?
Wagombea urais Visiwani Zanzibar Hussein Ali Mwinyi (CCM) na mpinzani wake mkubwa Othman Masoud Othman wa chama cha ACT-Wazalendo wamelaumiana juu ya uwezekano wa kuvurugika usalama kuelekea uchaguzi mkuu.
Rwanda yaikosoa DRC kwa kukataa kusaini mkataba wa biashara
Serikali ya Rwanda imeitupia lawama kali Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kukataa kusaini mkataba wa kibiashara baina ya nchi hizo jirani.
Dk Nchimbi ahitimisha kampeni Tabora akiahidi viwanda
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amehitimisha siku...
Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mariam Mwinyi, amewataka wanawake wa Kisiwa cha Pemba kuhaki…
Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mariam Mwinyi, amewataka wanawake wa Kisiwa cha Pemba kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa dhati kwa kumpa Dkt. Hussein Ali Mwinyi…
Mshangao Argentina ikimuita kikosini ‘Mmachinga’
Kocha Mkuu wa Argentina, Lionel Scaloni ameibua mijadala nchini humo baada ya kumjumuisha...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MWANZA: OKTOBA 06, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MWANZA: OKTOBA 06, 2025
Jumanne ya Oktoba 7, 2025 kwenye kipindi cha Morning Trumpet, tutakuwa na mahojiano maalum na viongozi wa Shirika la Umeme Tanza…
Jumanne ya Oktoba 7, 2025 kwenye kipindi cha Morning Trumpet, tutakuwa na mahojiano maalum na viongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) watakaozungumzia mambo mahususi kuhusu shirika hilo na huduma…
“Hali ilikuwa mbaya zaidi” Bajana asimulia alivyopigana na majeraha, mwaka mmoja nje ya uwanja Azam!
PRIME Hersi, Arafat waachiwa msala hatima ya Folz Yanga PRESHA iliyopo ndani ya Yanga hivi sasa, inamfanya kocha mkuu wa kikosi hicho, Romain Folz kusikilizia hatima yake ndani ya timu…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema uongozi wa Serikali ya…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan…
Ewura kutoa vibali, leseni bila kufika ofisini
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza huduma yake mpya ya...
#HABARI: Makundi tofauti tofauti ya viongozi na baadhi ya watu wenye ulemavu mkoani Singida, wamejengewa uwezo wa kuwaelimisha …
#HABARI: Makundi tofauti tofauti ya viongozi na baadhi ya watu wenye ulemavu mkoani Singida, wamejengewa uwezo wa kuwaelimisha watu wenye ulemavu vijijini, jinsi ya uelewa masuala ya uchaguzi ili na…
Ukuaji wa sekta ya kilimo nchini umechangia asilimia 29 ya pato la taifa na kutoa ajira kwa takribani asilimia 60 ya Watanzania….
Ukuaji wa sekta ya kilimo nchini umechangia asilimia 29 ya pato la taifa na kutoa ajira kwa takribani asilimia 60 ya Watanzania...hali inayotajwa kuwa fursa muhimu kwa taasisi za kifedha…
DC Rombo: Watafiti chunguzeni uhusiano wa kahawa, maisha marefu
Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Raymond Mwangwala ametoa wito kwa watafiti nchini...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Dkt
Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa katika kipindi cha awamu ya pili ya serikali yake, itapunguza gharama za chakula kupitia mpango wa kununua mpunga…
Kikosi cha Nane cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TANBAT 08) kinacholinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR…
Kikosi cha Nane cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TANBAT 08) kinacholinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) chini ya mwavuli wa MINUSCA, kimetunukiwa nishani za…
ACT Wazalendo inavyosafiria nyota ya Maalim Seif Pemba
Nyota ya Maalim Seif Sharif Hamad, imeendelea kuwa turufu ya kisiasa kwa Chama cha ACT...
Anko Nzala awataja Diarra, Sowah
MSANII wa vichekesho nchini, Aman Nzala maarufu kama ‘Anko Nzala’ amesema japo ni shabiki wa Simba lialia, anafurahi kuonA video zake zinafuatiliwa hadi na watu wa upande wa pili akiwamo…
Kocha JKT aitoa tuzo kwa wachezaji
BODI ya Ligi imemtangaza Ahmad Ally wa JKT Tanzania kuwa kocha bora wa Ligi Kuu Bara mwezi uliopita, lakini kocha huyo ameitoa tuzo hiyo kwa wachezaji wa kikosi hicho akisema…