Mauaji na ukiukaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi Tanzania lazima vichunguzwe: Türk
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametaka uchunguzi wa kina, uwazi na uwajibikaji kufuatia ripoti za mauaji na watu kupotea nchini Tanzania.