Kitisho cha kuigawa Gaza maeneo mawili chaongezeka
Uwezakano wa kuigawa Gaza katika maeneo mawili unazidi kuongezeka, eneo moja likitajwa kudhibitiwa na Israel na jingine kutawaliwa na Hamas kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali.
Mussa Zungu: Spika mpya wa Bunge la Tanzania
Bunge la nchi hiyo limempata Spika wake mpya atakayeongoza muhimili huo kwa kipindi cha miaka mitano, baada ya zoezi la uchaguzi lililofanyika hii leo bungeni jijini Dodoma.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Luzila John amesema mtindo mbaya wa ulaji wa chakula umechangia ongezeko la magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayosababisha vifo vya…
Watanzania wawili washinda tuzo watafiti chipukizi Marekani
Watanzania wawili wanasayansi kutoka Taasisi ya Afya ya Ifakara Health (IHI), Paul Mrosso na...
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Novemba 25, mwaka huu inatarajia kutoa uamuzi mapingamizi mawili y…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Novemba 25, mwaka huu inatarajia kutoa uamuzi mapingamizi mawili yaliyowasilishwa na mawakili wa upande wa utetezi kwa watuhumiwa 22 waliopanga…
Wadau wa kilimo wamezitaka serikali za Tanzania, Kenya na Uganda kutimiza malengo ya sera za kilimo misitu ili kuwasaidia wananc…
Wadau wa kilimo wamezitaka serikali za Tanzania, Kenya na Uganda kutimiza malengo ya sera za kilimo misitu ili kuwasaidia wananchi wa nchi hizo kuondokana na umaskini na kukabiliana na athari…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA TANGA: 11 NOVEMBA, 2025 – WAKULIMA WATUMIA MKOJO WA SUNGURA KUTIBU MNYAUKO
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA TANGA: 11 NOVEMBA, 2025 - WAKULIMA WATUMIA MKOJO WA SUNGURA KUTIBU MNYAUKO
Bei ya tumbaku yazidi kupaa mahitaji yakiongezeka
Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita bei ya tumbaku katika Soko la Dunia imeongezeka kwa...
Kilio cha Malale kwa washambuliaji, mabeki Mbeya City
LICHA ya kukusanya pointi nane kwenye mechi sita walizocheza wakishinda mbili, sare mbili na vipigo viwili, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amelia na washambuliaji na walinzi wa timu…
Kilio cha Malale kwa washambuliaji, mabeki
LICHA ya kukusanya pointi nane kwenye mechi sita walizocheza wakishinda mbili, sare mbili na vipigo viwili, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amelia na washambuliaji na walinzi wa timu…
Nahodha Mtibwa Sugar atoa siku 14
NAHODHA wa Mtibwa Sugar, Erick Kyaruzi amesema licha ya kutoruhusu mabao mengi katika mechi tano walizocheza, lakini kuna uhaba wa mabao ya kufunga akieleza kuwa siku 14 walizonazo kabla ya…
Fountain Gate yatawala Ligi Kuu Oktoba
Fountain Gate FC imetawala Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mwezi Oktoba mwaka huu baada ya kunyakua...
Mchakamchaka wa Ligi Kuu Zanzibar, New Stone ikijitafuta
WAKATI New Stone Town ikishikilia rekodi ya kupoteza mechi zote saba ilizocheza katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Chipukizi imepata ushindi wa kwanza msimu huu.
Kocha 15 de Agosto achimba mkwara Ligi ya Mabingwa Wanawake
KOCHA wa 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta, Sinforosa Eyang Nchama amesema anatamani kuandika historia ya kubeba ubingwa akiwa na kikosi hicho kinachoshiriki kwa mara ya kwanza kwenye mashindano…
Mzimu wa majeraha wavamia kambi England
Bundi wa majeraha ameanza kulia katika Kambi ya Timu ya Taifa ya England inayojiandaa na mechi...
Dr Mpango calls for the active implementation of environmental greening
DODOMA: RETIRED Tanzanian Vice President, Dr. Phillip Mpango, has urged Tanzanians to actively implement the “Greening the Environment” initiative to build a healthy and environmentally friendly Tanzania. That was revealed…
Mavazi ya kila aina yahanikiza Carnival inapoanza Ujerumani
Mji wa Cologne umeanza msimu wa sherehe za Carnival siku ya Jumanne, huku malefu ya watu wakikusanyika kwenye mji huo ambao ni kitovu cha sherehe hizo.
Chenge apania namba JKT Queens
Mchezaji wa JKT Queens, Elizabeth Chenge amesema msimu huu amepanga kufanya vizuri ili kujihakikishia nafasi ya kucheza kwenye kikosi hicho kilichojaa nyota wakali.
Dakika 90 jasho na damu kwa JKT Queens
BAADA ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye mechi ya kwanza wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake, JKT Queens sasa wana…
Zungu: From aircraft engineering to Assembly Speaker
DODOMA: TANZANIA, has today revealed a new Speaker for the National Assembly, Mussa Azzan Zungu, who was elected by about 378 lawmakers in Dodoma. The veteran politician of the ruling…
Straika Yanga autamani ubingwa
MSHAMBULIAJI wa Yanga Princess, Jeaninne Mukandayisenga amesema kama wachezaji wana kiu ya kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake na kuandika historia kwa mara ya kwanza.
Makamu wa Rais mstaafu, Dkt
Makamu wa Rais mstaafu, Dkt. Philip Mpango, ameonya kuwa Tanzania inakabiliwa na vitisho vikubwa vinavyotokana na mabadiliko ya tabianchi, ambavyo vinaendelea kuhatarisha maisha ya wananchi na ustawi wa Taifa. Akizungumza…
Mshambuliaji wa kujitoa muhanga aua watu 12 Islamabad
Mshambuliaji wa kujitoa muhanga amewaua karibu watu 21 nje ya jengo la mahakama katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad siku ya Jumanne, Waziri Mkuu Mohsin Naqvi amesema.
Zungu awa Spika wa nane akiahidi kutenda haki kwa makundi yote
Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Zungu amechaguliwa kuwa Spika wa nane wa Bunge la Tanzania huku...
3000 road runners head to light up Cashew Marathon
MTWARA: The CASHEWNUT Board of Tanzania, in collaboration with Rhino Sports Talents Promotion, has launched sporting gear for the fourth season of the Cashew Marathon to be flagged later this…
#HABARI: Wanafunzi 8 wa Shule ya Sekondari Mwembesongo iliyopo Manispaa ya Morogoro, wamekamatwa na Sungungusungu kwa kushirikia…
#HABARI: Wanafunzi 8 wa Shule ya Sekondari Mwembesongo iliyopo Manispaa ya Morogoro, wamekamatwa na Sungungusungu kwa kushirikiana walimu wa shule hiyo kwa madai ya kutoroka na kujificha katika kichaka kilichopo…
NEMC yakutana na Makamu wa Rais mstaafu Dk Mpango
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Novemba 11, 2025 limefanya ziara maalum nyumbani kwa Makamu wa Rais mstaafu Dk Philip Isdor Mpango, eneo la Mayamaya mkoani…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mh
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mh. Ado Shaibu Ado amembana Mbunge wa Ilala, Hassan Zungu juu ya nafasi ya Bunge atakaloliongoza katika kuimarisha demokrasia nchini Tanzania hasa kwa kufufua mchakato…
Wengine 48 wasomewa kesi ya uhaini Kisutu, wamo mafundi na wafanyabiashara
Mfanyabiashara Nisha Ismail (31) na wenzake 47 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Jamhuri ilivyojibu pingamizi kesi ya Niffer na wenzake
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa uhalali wa hati ya kesi ya...
RC Makalla akutana na Balozi Mdogo wa Kenya
MKUU wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Makalla amekutana na kuzungumza na Balozi Mdogo wa Kenya mkoani humo Balozi David Maina, wakikubaliana kuendelea kuimarisha mahusiano ya pande hizo mbili kupitia…
AGRA calls for a Farmer-First Climate Breakthrough at COP30 with youth voices at the Center
BELEM, BRAZIL: November 10th, 2025: As the UN Climate Conference (COP30) also knows as the “implementation COP” and the “COP of Truth” opens in BelĂ©m, AGRA is calling for a…
ACT-Wazalendo expresses gratitude to Zanzibar voters Â
ZANZIBAR: ACT- Wazalendo Chairman, Othman Masoud Othman, has expressed his gratitude to all Zanzibaris who voted for him despite not winning the Zanzibar presidential race, saying he has no way…
Huyu ndiye Mussa Zungu
KURA 378 kati ya kura 383 zilizopigwa zimempa ushindi Mbunge wa Ilala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Azzan Zungu, kuwa Spika wa nane wa Bunge la Jamhuri…
Ifahamu bustani ya muziki inayohifadhi kumbukumbu za wasanii
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni! Nchini Denmark eneo la Aalborg wadau wa burudani...
ACT yaeleza sababu Wawakilishi wake kutohudhuria uzinduzi wa Baraza
Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza sababu za wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wanaotokana na...
UNESCO approves Kiswahili as one of the official languages in its Conferences.
SAMARKAND: THE United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization (UNESCO) has approved Kiswahili language as one of the official languages to be used in the organization’s General Conferences. This was…
Sarkozy atoka gerezani, sasa kuwa chini ya uangalizi
Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy ameachiwa gerezani, ikiwa ni wiki tatu tu katika...
Rungu lawashukia waamuzi wawili Zanzibar
WAAMUZI wawili kati ya watatu waliochezesha mechi ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), kati ya Chipukizi na New Stone, Is'haka Yona Thomas (mwamuzi wa kati) na Saleh Khalfan Mohamed (mwamuzi msaidizi…
Tanzania, Kenya agree to strengthen ties through the Namanga border
ARUSHA: ARUSHA Regional Commissioner, Amos Makalla, has met and held talks with Kenya’s Consul in Arusha, Ambassador David Maina, where the two agreed to continue strengthening bilateral relations through the…
Umaarufu wa Lady Jaydee nyuma yake kuna haya
Kwa miaka zaidi ya 25, nyimbo za Lady Jaydee zimesikika kila sehemu na kumpatia mashabiki...
Tanzania, IFC explore strategic investment partnership
DAR ES SALAAM: THE Treasury Registrar, Mr. Nehemiah Mchechu, has held discussions with the International Finance Corporation (IFC), a member of the World Bank Group, to explore areas of collaboration…
đź”´MEZA HURU- UONGO UNA FAIDA AU HASARA?
đź”´MEZA HURU- UONGO UNA FAIDA AU HASARA? / NOVEMBA 11, 2025
Zungu pledges to lead Tanzania’s 13th Parliament diligently
DODOMA: THE New Speaker of the Parliament of the United Republic of Tanzania, Mussa Zungu, has pledged to lead the 13th Parliament in accordance with parliamentary rules, laws, and the…
Maofisa wa ulinzi kutoka nchi 17 watua nchini kujifunza utalii katika usalama wa Taifa
Zaidi ya maofisa 72 wa ulinzi na usalama kutoka nchi 17, ndani na nje ya Afrika, wametua jijini...
Makusanyo ya madini Simiyu yafikia zaidi ya 103%
AFISA Madini Mkazi wa Mkoa wa Simiyu, Mayigi Makolobela, amesema mkoa huo umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato yatokanayo na Sekta ya Madini, ambapo makusanyo ya robo ya kwanza…
FAO yataka COP30 isiwasahau wakulima katika mipango yakupambana na tabianchi
Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO limetaka ujumuishwaji wa wakulima katika mazungumzo yanayoendelea katika mkutano wa 30 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa…
Mahitaji ya mifumo ya kupooza joto kuongeza mara tatu ifikapo 2050: UNEP
Mahitaji ya mifumo ya baridi wa kupooza joto au viyoyozi yatarajiwa kuongezeka mara tatu ifikapo mwaka 2050, yakiendesha mabadiliko ya tabianchi na kuzidisha mzigo kwenye mifumo ya umeme kulingana na…
UN Women: Vita nchini Sudan vimegeuka kuwa vita dhidi ya wanawake
Shirika la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Wanawake (UN Women) limetoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha ukatili na mateso yanayowakumba wanawake na wasichana nchini Sudan, likisema kuwa…