Mawakala watano wa mabasi ya mikoani wanaohudumia katika kituo cha mabasi ya mikoani na nje ya nchi cha Magufuli kilichopo Mbezi…
Mawakala watano wa mabasi ya mikoani wanaohudumia katika kituo cha mabasi ya mikoani na nje ya nchi cha Magufuli kilichopo Mbezi, Dar es Salaam wamekamatwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri…
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kurekebisha mishipa ya inayopeleka damu kweny…
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kurekebisha mishipa ya inayopeleka damu kwenye figo kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na shinikizo la juu la damu. Mkurugenzi…
#HABARI: Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Africa Global Logistics…
#HABARI: Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd, kampuni tanzu ya MSC yenye makao yake nchini…
JKCI yaanza tiba kupunguza msisimko shinikizo la damu
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeweka historia mpya nchini Tanzania, Afrika Mashariki na Kati baada ya kuanza kutoa matibabu mapya ya kibingwa ya kupunguza msisimko wa…
#HABARI: Zoezi la kuzima moto mkubwa unaodaiwa kusababishwa na shughuli za kibinadamu linaendelea katika Hifadhi ya Mlima Hanang…
#HABARI: Zoezi la kuzima moto mkubwa unaodaiwa kusababishwa na shughuli za kibinadamu linaendelea katika Hifadhi ya Mlima Hanang, mkoani Manyara, ambapo moto huo umeendelea kuwaka kwa siku tatu mfululizo. Juhudi…
Watano wakamatwa ulanguzi wa tiketi Magufuli
Watu watano wamekamatwa wakituhumiwa kulangua tiketi katika ukaguzi uliofanyika na Mamlaka ya...
Upungufu wa maji wamuibua Malima Morogoro
MOROGORO: MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA), na Bonde la Wami Ruvu kushirikiana na viongozi wengine wa serikali ya…
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 06, 2025 – ZOEZI LA KUZIMA MOTO MLIMA HANANG LINAENDELEA
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 06, 2025 - ZOEZI LA KUZIMA MOTO MLIMA HANANG LINAENDELEA
Pointi moja yamliza kipa Prisons, Baraza achekelea Sokoine akitaja usajili
Pamoja na kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mechi, Kipa wa Tanzania Prisons, Mussa Mbisa amesema haikuwa bahati kwao kushinda dhidi ya Pamba Jiji, huku akimuachia jukumu Kocha Mkuu, Zedekia…
Mfaransa kuwekeza ujenzi Bandari ya Bagamoyo
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imesaini hati ya Makubaliano na Kampuni ya...
Kihongosi: Â CCM msikae kimya, kemeeni upotoshwaji mtandaoni
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amewataka wanachama na viongozi wa...
CCM: Vijana msitumike
DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka vijana kutokubali kutumika kwa maslahi ya watu wengine wasiokuwa na nia njema na nchi badala yake waelewe jukumu lao kubwa katika kulinda…
Askari wa usalama barabarani kwa kushirikiana na wataalamu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS sambamba na TARURA wametakiwa k…
Askari wa usalama barabarani kwa kushirikiana na wataalamu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS sambamba na TARURA wametakiwa kufanya kazi kwa pamoja katika maeneo yenye msongamano jijini Dar es Salaam…
Serikali kuwekeza zaidi kwenye michezo, Geay apongezwa
NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini mkoani Manyara, Daniel Sillo amesema serikali itaendelea kuwekeza katika sekta ya…
KMC yaachana na Maximo baada ya siku 131
SIKU 131 zimetosha kwa Marcio Maximo kuwa Kocha wa KMC, baada ya klabu hiyo leo Desemba 6, 2025 kutangaza kusitisha mkataba wake.
Ligi ya Vijana Magharibi A yarejea baada ya kusimama miaka miwiliÂ
TIMU 20 zimejitokeza kushiriki Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 na 15 katika Wilaya ya Magharibi A baada ya ligi hiyo kusimama kwa kipindi cha miaka miwili.
Jaji Mkuu awataka wahitimu wapya kudumisha haki
DODOMA: JAJI Mkuu wa Tanzania, George Masaju, amewataka mawakili nchini kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uaminifu na kwa kuzingatia Katiba, sheria na maadili ya taaluma ya uwakili. Amesisitiza kuwa mawakili…
Watahiniwa 50,769 wafaulu darasa la saba Zanzibar
Watahiniwa 50,769 sawa na asilimia 96.94 wamefaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka 2025.
Arsenal hali tete ikichapwa na Aston Villa
Aston Villa imetibua rekodi ya Arsenal kutopoteza mechi baada ya leo Jumamosi, Desemba 6, 2025...
Mwanamitandao maarufu Suzy Bale amepatwa na msiba mkubwa baada ya kufiwa na mtoto wake wa kwanza, Mwanaisha Saimon Emly, taarifa…
Mwanamitandao maarufu Suzy Bale amepatwa na msiba mkubwa baada ya kufiwa na mtoto wake wa kwanza, Mwanaisha Saimon Emly, taarifa ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu na familia. Kwa mujibu…
Wakulima wa mazao ya chakula na biashara nchini wametakiwa kujisajili kwenye kanzi-data ya mtanadaoni inayosimamiwa na Mamlaka y…
Wakulima wa mazao ya chakula na biashara nchini wametakiwa kujisajili kwenye kanzi-data ya mtanadaoni inayosimamiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea nchini (TFRA) ili kupata uhakika wa kupata pembejeo zenye…
#HABARI: Madiwani 27 wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, wamemchagua tena Ndugu Twalib Lubandamo ‘Takus’ kuwa Mwen…
#HABARI: Madiwani 27 wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, wamemchagua tena Ndugu Twalib Lubandamo 'Takus' kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, baada ya kupata kura zote 27, sawa na…
Polisi yapiga marufuku maandamano Desemba 9
Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku maandamano yanayodaiwa kupangwa Desemba 9,2025 nchi...
Ujumbe wa Nape Nnauye – Mbunge wa Jimbo la Mtama kwa vijana wanataka nini Tanzania amewataka Vijana kutojaribu kuitoa serikali m…
Ujumbe wa Nape Nnauye - Mbunge wa Jimbo la Mtama kwa vijana wanataka nini Tanzania amewataka Vijana kutojaribu kuitoa serikali madarakani kwani kufanya au kujaribu kufanya hivyo ni kosa kubwa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MWANZA – DESEMBA 06, 2025 – WANANCHI WAOMBA KUTANULIWA KINGO ZA MTO
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MWANZA - DESEMBA 06, 2025 - WANANCHI WAOMBA KUTANULIWA KINGO ZA MTO
Watu 11 wauawa kwa kupigwa risasi katika baa Afrika Kusini
Takribani watu 11, wakiwemo watoto watatu, wameuawa kwa kupigwa risasi leo kwenye baa moja katika kitongoji kimoja mjini Pretoria nchini Afrika Kusini.
Katibu Mkuu ujenzi aagiza Tanroads kupunguza msongamano Dar
DAR ES SALAAM: Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour, ameuelekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kufungua kwa muda barabara zote za makutano katika maeneo yanayotekelezwa miradi ya…
Katibu Mkuu ujenzi aagiza Tanroads kupunguza msongamano Dar
DAR ES SALAAM: Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour, ameuelekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kufungua kwa muda barabara zote za makutano katika maeneo yanayotekelezwa miradi ya…
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mhe.Joel Nanauka, amewasihi vijana katika ngazi ya vyuo vikuu nchini,…
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mhe.Joel Nanauka, amewasihi vijana katika ngazi ya vyuo vikuu nchini, kutumia mijadala na masomo ili kuwa na uwezo wa kujenga…
Mapigano yaibuka DRC siku moja baada ya usuluhishi wa Trump
Mapigano yametokea tena Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kuanzia jana Ijumaa...
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM – Mlimani) wamemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana…
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM - Mlimani) wamemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka kufanyia kazi mchakato wa uanzishwaji…
Serikali ya Tanzania yashangazwa na taarifa ya nchi za kigeni juu ya matukio ya Oktoba 29
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kuwa serikali imepokea kwa mshangao malalamiko ya kimataifa juu ya matukio ya Oktoba 29 licha ya mazungumzo…
RSF yadai vikosi vya SAF vimeshambulia kivuko muhimu cha mpaka nchini Sudan karibu na Chad
Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vimeshutumu jeshi la Sudan kwa shambulio hilo kwenye eneo muhimu lililotengwa kwa ajili ya misaada na Wasudan wanakimbia vita. Imechapishwa: 06/12/2025 – 15:18 Dakika…
Wananchi Visiwa vya Ziwa Victoria kunufaika huduma nafuu ya umeme
Wananchi wa visiwa vya Juma, Kasalazi, Ziragula na Bezi, vilivyoko ndani ya Ziwa Victoria...
#HABARI: Zaidi ya Ng’ombe kumi mali ya mfugaji Mussa Saluni, mkazi wa Kijiji cha Kang’ata wilayani Handeni mkoani Tanga, zimekut…
#HABARI: Zaidi ya Ng’ombe kumi mali ya mfugaji Mussa Saluni, mkazi wa Kijiji cha Kang’ata wilayani Handeni mkoani Tanga, zimekutwa zimekufa katika eneo la vyanzo vya maji Kijijini hapo, tukio…
Anaandika Askofu Bagonza
Anaandika Askofu Bagonza TUMEISHAANDAMANA; GEN-Z TUPE NAFASI TUJUTE KWANZA. Leo tarehe 6 Desemba, ni siku yangu ya kuzaliwa. Sina furaha kama ninavyokuwaga na furaha katika siku hii. Hii ni kwa…
The Avengers
The Avengers Ndio mzigo wa leo saa 4:00 usiku katika movie ya wikiendi kupitia AzamTWO. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #TheAvengers #AzamTWO
Mwendesha Mashtaka wa ICC aikosoa Marekani kwa kuwafananisha majaji wa mahakama hiyo na magaidi, walanguzi wa dawa za kulevya
Naibu mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ameikosoa vikali serikali ya Marekani kwa kuwawekea vikwazo majaji wa mahakama hiyo ya kimataifa, hatua ambayo amesema inaakisi jinsi Washington…
Guinea: Ofisi ya Mwendesha mashtaka mkuu yapaza sauti dhidi ya mashtaka ya utekaji nyara
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Alhamisi jioni, Desemba 4, Mwanasheria Mkuu wa Mahakama ya Rufaa ya Conakry alisisitiza kwamba mtu yeyote anayetambua utawala wa kijeshi na serikali kama wanaohusika na…
Jumuiya ya Wafungwa wa Palestina: Israel ina mpango wa kumuua Marwan Barghouthi
Kundi la kutetea wafungwa wa Kipalestina, The Palestinian Prisoners’ Society (PPS), limeonya juu ya njama hatari ndani ya magareza ya Israel ya kumuua kiongozi mtajika wa Palestina, Marwan Barghouthi, aliyetekwa…
Misri yahimiza kupelekwa kwa kikosi cha ulinzi wa amani Gaza
usitishaji wa mapigano kwa muongozo wa awamu ya pili ya makubaliano ya amani kwa Ukanda wa Gaza.
Polisi Tanzania yapiga marufuku Maandamano ya Desemba 9
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyopendekezwa kufanyika wiki ijayo, kufuatia msako mkali unaofanywa na vikosi vya usalama dhidi ya walioandamana wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba…
Sudan yawatuhumu wanamgambo wa RSF kwa kuuwa raia 79 huko Kordofan Kusini
Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imewatuhumu wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) kuwa wameua raia 79 wakiwemo watoto 43 katika mauaji ya halaiki kwenye mji wa…