UN yakumbana na hali mbaya El Fasher katika ziara yake ya kwanza tangu mji huo udhibitiwe na RSF
Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa mji wa El- Fasher huko Darfur Magharibi nchini Sudan unapitia hali ya kutisha kwa binadamu.
Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa mji wa El- Fasher huko Darfur Magharibi nchini Sudan unapitia hali ya kutisha kwa binadamu.
#HABARI: Wakulima wa Korosho wilayani Manyoni, mkoani Singida, wamepongeza Serikali kwa kuuza mazao kwa mfumo wa kieletroniki wa stakabadhi ghani TMX, unaomshirikisha mkulima moja kwa moja, pia kuwajumuisha wanunuzi nchi…
Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappe anaripotiwa atakuwa nje ya uwanja kwa walau wiki...
Jeshi la Marekani limeanzisha mashambulizi mapya dhidi ya boti zinazodaiwa kuwa zimehusika na magendo ya dawa za kulevya, huku mvutano kati ya Wahington na Venezuela ukipamba moto.
Moto mkubwa umeteketeza kanisa la karne ya 19 huko Amsterdam siku ya Alhamisi, Januari 1, huku Uholanzi ikisheherekea mkesha wa Mwaka Mpya. Watu wawili wamefarik. Vifo hivyo vinahusishwa na fataki…
#HABARI: Licha ya jitihada za Serikali kuondoa ada katika elimu ya msingi na sekondari, bado kumejitokeza changamoto ya baadhi ya wazazi kutowapeleka watoto wao shule kwa wakati. Kasumba hiyo inatokana…
DAR ES SALAAM: WE are often told that January is a time for ‘New Year, New You’, a high-pressure race to fix everything at once. But what if we stopped…
“Watu kadhaa” wamefariki na kujeruhiwa katika baa iliyojaa watu katika hoteli ya kifahari nchini Uswisi ya Crans-Montana wakati moto ulipozuka huku wahudhuriaji wakisherehekea Mwaka Mpya, polisi imetangaza leo Alhamisi, Januari…
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amewatakia Watanzania heri ya Mwaka mpya 2026, akiwataka...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amekosoa vikali vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, na kusema jamii ya kimataifa inapinga sera hizo za…
Katika safari ndefu ya soka la Tanzania, yapo mabao mengi yaliyofungwa na Taifa Stars lakini...
Michuano ya Kombe la Dunia, kurudi kwa watu Mwezini, uchaguzi muhimu katika mabara yote… RFI imechagua matukio ya mwaka ambayo yatakuwa na athari kubwa duniani. Imechapishwa: 01/01/2026 – 11:02 Dakika…
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuhimiza kuanzishwa na...
Kipa, Luca Zidane anaendelea kuwa gumzo na chaguo pendwa kwa timu ya taifa ya Algeria, wakati...
Taasisi ya Kiislamu ya Al-Azhar nchini Misri imeonya kuhusu mashaka yanayowapata wanawake Waislamu barani Ulaya kutokana na ubaguzi.
Unai Emery ametoweka kwenye benchi lake baada ya filimbi ya mwisho ya mchezo ambao kikosi chake...
Mwaka mpya wa 2026 tayari umeanza. Je, kuna tabia fulani ambazo ungependa kuziacha na kuanza ukurasa mpya wa maisha Msikilize George Chacha, msosholojia anayeeleza kwa kina namna bora ya kuachana…
Manchester United imeduwazwa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na timu inayoburuza...
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda amewaomba wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali...
Katika Afrika ya Kati, salamu za Mwaka Mpya wa 2026 ni fursa ya kujadili uchaguzi. Nchini Gabon na Cameroon, Brice Clotaire Oligui Nguema na Paul Biya wamesisitiza uhalalishaji wa mamlaka…
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema bado anaendelea kukataa...
Hivi ndivyo baadhi ya wadau na wafanyabiashara wa Soko la Tandika, Dar es Salaam walivyoupokea mwaka mpya 2026 na kueleza matarajio yao kama walivyozungumza na #Farasi wa #morningtrumpet . ✍Juliana…
#HABARI: Mamia ya wananchi wa Jimbo la Mbeya Mjini wamefururika katika eneo la Soko la Uhindi kwa lengo la kuuaga mwaka 2025 na kuupokea mwaka mpya wa 2026. Mkusanyiko huo…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake ya kuuaga mwaka 2025 na kukaribisha 2026, amewataka Watanzania Watanzania wanapoendelea kujenga taifa lao wasikubali kugawanyika kiitikadi au kimtazamo, akirejeleamatukio yaliyotokea…
Ni wakati wa wakuu wa nchi za Afrika Magharibi kutoa tathmini zao. Katika salamu zao za Mwaka Mpya, Rais wa Côte d’Ivoire Alassane Ouattara na Rais wa Togo Faure Gnassingbé…
Zohran Mamdani leo amekuwa Meya wa kwanza wa Jiji kubwa zaidi la Marekani la New York baada ya kuula kiapo akitumia kitabu cha Qur'ani.
MWAKA 2025 ulianza kwa furaha kwa baadhi ya mastaa wakifunga ndoa, kupata watoto na kushuhudia mafanikio mbalimbali. Hata hivyo, furaha hiyo iligeuka kuwa majonzi makubwa baada ya tasnia ya burudani…
ZANZIBAR: The Tanzanian government has officially started the process to establish a National Reconciliation Commission, President Samia Suluhu Hassan said in her year-end speech, aiming to strengthen unity, peace, and…
Msimu wa sikukuu na mapumziko unapofikia tamati huwa ni jambo la kawaida kushuhudia wimbi kubwa...
TUNAPOUAGA mwaka 2025, dunia inatazama nyuma kwenye mfululizo wa matukio mazito yaliyobadili mwelekeo wa siasa, teknolojia, na usalama wa kimataifa. Huu umekuwa mwaka wa mabadiliko makubwa, ambapo mifumo ya zamani…
Mwaka 2025 unapofikia tamati, ni wakati mzuri wa kujitathmini. Watanzania wengi tulianza mwaka...
Wizara ya ya Iran Usalama na Intelijensia ya Iran imewatia mbaroni watu saba wanaohusishwa na makundi yenye uadui na Jamhuri ya Kiislamu ambayo yana makao yao Marekani na barani Ulaya.
Zohran Mamdani leo amekuwa Meya wa kwanza wa Jiji kubwa zaidi la Marekani la New York kuapishwa kwa kutumia Kitabu kitakatifu cha Qur'ani ya Msahafu mkongwe na wa kihistoria wa…
#Heriyamwakampya2026 | @owm_tz
#Heriyamwakampya2026 | @ofisi_ya_makamu_wa_rais
ZANZIBAR: President Samia Suluhu Hassan has called on Tanzanians to prepare for the full implementation of the National Development Vision 2050, which is set to begin in 2026, emphasizing unity,…
ZANZIBAR: Mining, agriculture, construction, and tourism were the main drivers behind Tanzania’s economic growth in 2025, with the country’s GDP expanding by 5.8percent, President Samia Suluhu Hassan announced in her…
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has allocated 900bn/- to address various challenges facing the City of Dar es Salaam, including the poor condition of roads and bridges, particularly during…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani marekebisho ya sheria yaliyopitishwa na Bunge la utawala wa kizayuni wa Israel, Knesset Desemba 29, yanayohusu kusitishwa kwa shughuli za Shirika…
ZANZIBAR: THE Minister of State in the President’s Office responsible for Regional Administration, Local Government and Special Departments, Mr Idrisa Kitwana Mustafa, has urged citizens to protect road infrastructure to…
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick...
Jeshi la Sudan SAF limetangaza kuwa siku ya Jumatano lilirejesha udhibiti wa miji ya Kazgeil na Riyadh iliyoko kwenye jimbo la Kordofan Kaskazini baada ya mapigano na kundi la RSF.
Ufaransa itachunguza katika mwezi huu wa Januari muswada unaokusudia kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 15 na uchukuaji wa simu…
Ufaransa itachunguza katika mwezi huu wa Januari muswada unaokusudia kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 15 na uchukuaji wa simu…
Raia mashariki mwa nchi ya DRC, wameukaribisha mwaka mpya 2026 huku wakiwa hawana chakusherehekea kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama kwenye baadhi ya maeneo ya mashariki ambako waasi wa…
Watu 10 wamefariki dunia huku wengine 18 wakijeruhiwa katika ajali barabarani iliyohusisha basi...
COAST REGION: THE Minister in the President’s Office (Planning and Investment) Professor Kitila Mkumbo has commended Coast Region for producing 86,621 employments through industrial and investment sectors and become a…
Msanii wa Bongo Fleva na dancer @chino_kidd7 amefunguka kuhusu mambo muhimu ambayo vijana wanapaswa kuyazingatia ili kufanikiwa kwenye fani ya dancing. Akizungumza kupitia TheSpark ya Clouds TV, Chino amesema mafanikio…
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @chino_kidd7 amesema kuwa hawezi kuacha kuwasaidia dancers, hata kama hapewi heshima anayostahili, kwa sababu bado kuna wengi wanaohitaji msaada. Kupitia TheSpark ya Clouds tv…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...JANUARI 01, 2026