Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge leo, tarehe 28 Januari, 2026 wakati wa hafla ya kuwatambulisha wakandarasi wa kampuni ya Nakuroi Ltd; kampuni iliyoshinda zabuni ya mradi wa…
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge leo, tarehe 28 Januari, 2026 wakati wa hafla ya kuwatambulisha wakandarasi wa kampuni ya Nakuroi Ltd; kampuni iliyoshinda zabuni ya mradi wa…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mbeya, Bw. Justice Kijazi, amewapiga marufuku watumishi wa halmashauri hiyo kufunga maduka ya wafanyabiashara wanapochelewa au kukiuka taratibu za ulipaji kodi. Badala yake, amewaagiza…
DAR ES SALAAM: IN today’s interconnected world, language is no longer a luxury, it is a necessity. It shapes careers, fuels businesses, strengthens diplomacy and connects cultures across continents. Few…
Benki ya NMB imezindua mpango mkakati wa miaka mitano kuanzia 2026 hadi 2030, unaojulikana kama...
Taasisi mbalimbali kutoka sekta binafsi na sekta ya umma zimehimizwa kufanya uwekezaji katika kampuni zinazoorodheshwa katika masoko ya hisa ili kupata mitaji ya kutekeleza miradi yao kwa kuzingatia kampuni zinazofanya…
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga (Mwawaza), Dk Jonathan...
Chama lako lipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa @ligikuu mpaka sasa? (Feed generated with FetchRSS)
Jeshi la Niger limesema kwamba, zaidi ya magaidi 70 "waliangamizwa" kote nchini kati ya Januari 19 na 25, wakiwemo zaidi ya 50 waliouawa katika mashambulizi ya anga yaliyolenga "mikusanyiko ya…
Wakazi wa Kitongoji cha Lupunga, Kata ya Kikongo, Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, wamemuomba...
Serikali imeendelea kuboresha huduma za watoto wachanga wanaozaliwa kabla ya wakati (watoto njiti) katika vituo vya afya nchini, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha afya ya mama na mtoto.…
Jakutay yamemkuta...Kalumanzila amkera Altuga 😆 Maskini Halim hajui anachokifanya 🥹 Wakwe wa Osman wameambiwa ukweli...Usikose kutazama uhondo wa OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Katika juhudi za kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafiri wa anga barani Afrika, Shirika la...
#MEZAHURU: “…..kwanza utaifa, uzalendo vilevile kuondoa yale makapi ya ubaguzi, hisia za kujifanya mimi ni bora halafu tuthamini hutu kama tunavyosema kazi na utu..”-Kanali Mstaafu- Haroun Kondo. Powered by #MCHEZOSUPA…
Diwani wa Kata ya Chanika, Dkt. Habibu Mbota, amekutana na viongozi wa kada ya elimu ya msingi na sekondari katika kata hiyo kwa lengo la kuongoza zoezi la upandaji miti…
#MEZAHURU: “…..Ni neno utaliona fupi lakini linabeba taswira kubwa sana hasa unapozungumzia nchi, ni kujitoa kwa nchi yako na kutanguliza maslahi ya nchi mbele kabla yako wewe binafsi...” Powered by…
Taasisi ya Mama Asemewe imesema Tanzania nzima imepanda Miti Jana Januari 27, 2026 kumuunga Mkono Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyekuwa akisherehekea kumbukizi ya kuzaliwa kwake, kama ishara…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amebainisha mikakati ya muda mfupi inayotekelezwa na Serikali ili kupunguza changamoto ya foleni katika barabara ya Kibaha–Chalinze hadi Morogoro. Ulega amesema hayo leo tarehe 28,…
🔴MEZA HURU: UMUHIMU WA UZALENDO KWENYE TAIFA ...JANUARI 28, 2026
Gaza iko katika hali tete, usitishaji vita ukitoa matumaini lakini mahitaji ni makubwa. UN yasisitiza utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishaji vita kama msingi wa utulivu wa kudumu. Mgogoro…
Takriban watoto milioni 2 wenye umri wa miezi 6 hadi 59 nchini Chad wamekumbwa au wameingia kwenye hatari ya kukumbwa na utapiamlo mkali kati ya Oktoba 2025 na Septemba 2026.…
Ufinyu wa ufadhili umelazimisha Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya kibinadamu, OCHA kupunguza idadi ya wanaopatiwa misaada DR Congo Mafunzo ya kukabili uhalifu Ziwa Viktoria yafanikisha uvuvi salama…
Imeripotiwa kwamba Mshindi wa Tuzo ya Ballon d'Or 2025, Ousmane Dembélé, hana mipango ya...
Tangu akiwa na kundi la Hard Blasters Crew (HBC) hadi aliposimama peke yake, Professor Jay...
MSHAMBULIAJI mpya wa TRA United ya Tabora, Enock Jiah, amesema amefurahi kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kukaa kwa muda bila kucheza soka la ushindani kufuatia kuachana na Fanja FC…
Katika hatua mpya ya mgogoro wa kisiasa ulioibuka tangu uchaguzi wa urais wa Uganda uliofanyika...
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara ametoa vitabu vya kiada na ziada ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa kuboresha elimu mkoani humo. Mwenzetu John Kasembe amezungumza…
KIPIGO cha mabao 6-0 dhidi ya Yanga ugenini, bado kinaendelea kulitesa benchi la ufundi la Mashujaa FC baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga kufichua kwamba walifanya makosa…
KIKOSI cha wachezaji 21 cha Singida Black Stars, kimeelekea nchini Congo kucheza mechi ya nne hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Otoho d’Oyo itakayofanyika Februari 1,…
KIKOSI cha wachezaji 21 cha Singida Black Stars, kimeelekea nchini Congo kucheza mechi ya nne hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Otoho d’Oyo itakayofanyika Februari 1,…
BAADA ya sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Coastal Union, kocha Mkuu wa KMC, Mohammed Abdallah ‘Bares’ amesema kikosi chake bado kina hali ngumu, hivyo kinaendelea kupambana kujiondoa mkiani…
KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA Singida BS baada ya kupata ushindi nyumbani dhidi ya AS Otoho, Jumapili hii watakuwa dimba la ugenini Alphonse Massamba wakicheza mchezo wa mkondo wa pili. Je,…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema utawala wake utapunguza operesheni ya kuwasaka raia wageni “wahamiaji haramu” huko Minneapolis baada ya maafisa wa kikosi maalumu cha uhamiaji (ICE) kuwaua watu wawili…
Afisa mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, amejibu vitisho vilivyotolewa na waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel kuhusu upokonyaji silaha…
Watu wengine huwa na wakati mgumu kulala, wakati wengine hawawezi kulala kabisa. Mamilioni ya watu kote ulimwenguni wanakabiliwa na tatizo hili.
Watu wengine huwa na wakati mgumu kulala, wakati wengine hawawezi kulala kabisa. Mamilioni ya watu kote ulimwenguni wanakabiliwa na tatizo hili.
#MEZAHURU: Kipi kinachangia asilimia kubwa ya vijana wengi wa sasa wanaonekana kukosa UZALENDO? -WekaMaoni -SaaTisaKAMILI
Vijana wanaohofiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu maarufu kama vishandu wameendelea kuwa...
🔴UTOAJI WA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEKELEZAJI WA AHADI-WIZARA YA MAJI
Mtaalamu wa kijeshi wa ndege zisizo na rubani ameonya kuwa, utitiri wa ndege zisizo na rubani za Iran ni "tishio halisi" kwa vyombo vya jeshi la wanamaji la Marekani vyenye…
Rais wa Marekani Donald Trump amedai katika ujumbe unaoakisi uingiliaji wa wazi wa masuala ya ndani ya Iraq kwamba Nouri al-Maliki hapasi kuwa waziri mkuu, kwa sababu kama atachaguliwa kushika…
Harakati ya Ansarullah ya Yemen, leo imetoa indhari kwa kukumbusha shambulio lake la huko ililofanya kwa mafanikio dhidi ya meli ya mafuta ya Uingereza ya "Marlin Luanda" katika Ghuba ya…
Jeshi la Ukraine linapaswa lijikite katika kusababisha vifo vingi zaidi kwa Russia kadiri iwezekanavyo. Hayo yametamkwa na Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky na kusisitiza kwamba, idadi ya vifo 50,000 vya…
Michezo ya Ligi ya Mabingwa ya Ulaya katika hatua ya makundi inahiitimishwa usiku wa leo ukitarajiwa msisimko mkubwa, huku timu 30 zikitarajia kujua hatima zao. Timu sita kutoka Englad zinaweza…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
Utekaji wa watu katika baadhi ya maeneo nchini Pakistan umewaibua wanaharakati na kuiomba...
Serikali imeeleza haina mpango wa kubagua wanafunzi wanaotoka shule binafsi katika utoaji wa...
Katika miji mikubwa kama Shanghai, Beijing na Guangzhou, masoko hayo hufanyika kwenye bustani...
Kuhusu Tanzania kwenda kujifunza katika mataifa ambayo yanatumia sheria ya lazima kwa watoto...
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zainab Abdallah (@zainababdallah) amemuomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kuendelea kuchukua hatua stahiki kwa Viongozi na…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Patrobas Katambi, amesema Tanzania imeendelea kuwa miongoni mwa nchi salama Barani Afrika, kutokana na uimara wa Jeshi la Polisi na ushirikiano…