🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….JANUARI 28, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
Kila ninapofuatilia mijadala na maelezo ya wananchi wanapotembelewa na viongozi au waandishi wa...
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, amemuagiza Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) kuwaweka ndani Mkandarasi na Mhandisi Mshauri wa mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Nguzo…
Nimekuwa nikifuatilia katika mitandao ya kijamii hasa kunapokuwa na taarifa za kifo kiongozi wa...
Iran ilifanikiwa kuvuruga na hatimaye kuvunja mtandao wa mawasiliano wa makundi ya kigaidi na washirika wao wa nje kwa hatua ya kukata intaneti wakati wa machafuko ya Januari 2026.
Tangu akiwa na kundi la Hard Blasters Crew (HBC) hadi aliposimama peke yake, Professor Jay...
Mzunguko wa nane na wa mwisho wa hatua ya ligi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya unatarajiwa kutoa...
Waziri wa Usalama wa Iran amesema kuwa taifa la Iran halitaruhusu umoja wa kitaifa wa nchi hii udhoofishwe akisisitiza kuwa umoja wa taifa la Iran ndiyo nguzo kuu ya kukabiliana…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetangaza kukamata watuhumiwa mbalimbali 55 katika kipindi cha mwezi Januari, 2026 wakiwemo vijana wanaopora simu kwa kutumia bodaboda maarufu kama Vishandu. Kamanda wa…
Serikali ya Sudan jana ilitangaza kuwa haiko vitani licha ya mapigano makali yanayoendelea dhidi ya waasi katika siku za karibuni.
Kwa muda mrefu, dunia imekuwa ikiyumba kati ya nguvu za watawala binafsi wenye nguvu za...
#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili, ambao ni Steve Stephano Elias (27) na Moses Joseph maarufu kama Kisoko (26) kwa tuhuma za kumteka Haiti Ramadhani na…
Rwanda imeishtaki serikali ya Uingereza kuhusu makubaliano ya wahamiaji ambayo London imeyatelekeza yapata miaka miwili iliyopita.
#HABARI: Polisi huko Mlolongo nchini Kenya, wamemkamata mwanamke kwa tuhuma za kuwapa sumu watoto wake watatu kufuatia mgogoro kati yake na mumewe. Mtuhumiwa huyo aliyefahamika kwa jina la Linet Mubaba,…
Harakati ya muqawama ya Palestina, Hamas, imelaani jinai mpya ya utawala mhalifu wa Israel, ikisema kuwa wanajeshi wa Israel wamefukua mamia ya makaburi katika eneo la mashariki la Ukanda wa…
Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) kimeripoti kuwa kimewarejesha nyumbani Wanyarwanda 34, wakiwemo wapiganaji 15 wa zamani wa kundi la waasi…
#HABARI: Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ambaye pia ni mtoto wa kike wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Winnie Odinga, amekataa vikali madai ya mfanyabiashara Oketch Salah kwamba…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..JANUARI 28, 2025
#HABARi: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linachunguza tukio la Mtoto Shaban Muebo (12) Mkazi wa Kijiji cha Masyalele Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara kwa kosa la kujaribu kumuua…
Dar es Salaam. Sweet Fella ambaye ni mke wa meneja wa wasanii, Mkubwa Fella, amesema hali ya...
Hatifungani hiyo inalenga kuhamasisha mtaji wa ndani kwa ajili ya kugharamia mikopo ya nyumba...
#HABARi: Wananchi mkoani Lindi, wameishukuru Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kumtambulisha Mkandarasi, ambae atatekeleza mradi kwenye vitongoji 159 vya Wilaya za Liwale, Nachingwea, Ruangwa pamoja na Kilwa,…
Wixon alimpa mwathiriwa chakula kidogo na hakumruhusu kutoka nje ya nyumba na alilazimika kuoga kwa siri usiku.
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 28, 2026
Yanga na Al Ahly zimepata ushindi unaofanana katika mechi za Ligi kwenye nchi zao leo Jumanne...
Leo ni Jumatano 8 Sha'ban 1447 Hijria mwafaka na 28 Januari 2026.
Katika miaka ambayo Uingereza ilijiona kuwa taifa kubwa na lisilo na mpinzani duniani, ardhi moja katika Afrika Mashariki polepole ikageuka na kuwa eneo la mojawapo ya uzoefu mchungu zaidi wa…
Nchini Uganda, serikali inakataa shutuma za ukandamizaji wa kisiasa. Katika taarifa iliyotolewa Januari 27, 2026, Waziri wa Habari alitetea kukamatwa kwa watu na kuzimwa kwa huduma yaintaneti, akisema kwamba alichukua…
#SwaliLaKipimaJoto:Wakandarasi wanaosubiri ziara za viongozi kukamilisha miradi.Je, wawajibishwe kwa mujibu wa mikataba wanayoingia
Mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ameapa akisisitiza kwamba ardi ya ardhi ya nchi yake haitotumika kuishambulia Iran. Hayo alimuahikishia Rais wa Iran Masoud Pezeshkian siku ya Jumanne, wakati…
🔴#KUMEKUCHA: MICHEZO. . JANUARI 28, 2026
Wakati nguli wa Pop R Kelly akiendelea kutumikia kifungo chake katika gereza la Butner, North...
KIKOSI cha Yanga, kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumanne Januari 27, 2026 kwenye Uwanja wa KMC Complex…
Wakati wa mazungumzo ya simu na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman, Rais wa Iran Massoud Pezeshkian amesisitiza kwamba ukosefu wa utulivu wa kikanda “haufaidii mtu yeyote.” Imechapishwa: 28/01/2026…
Serikali ya Kongo imetangaza Januari 27, 2026, “siku ya kuwakumbuka waathiriwa wa ukatili uliofanywa na muungano wa jeshi la Rwanda na M23-AFC katika miji ya Bunagana na Uvira,” mashariki mwa…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ameonya kwamba harakati za kijeshi za Marekani katika Asia Magharibi ni sehemu ya juhudi zilizopangwa za kuyumbisha amani ya eneo hilo.
Makala ya uchambuzi iliyochapishwa na gazeti la Uingereza la The Guardian imefafanua ilichokielezea kuwa ni eneo la kutisha huko Minneapolis, Minnesota, nchini Marekani na kusema kwamba ni wakati muhimu unaofichua…
Jeshi la Sudan limeeleza kuwa limevunja mzingiro wa karibu miaka miwili wa wanamgambo wa RSF katika mji muhimu katika mkoa wa Kordofan, na kudhibiti njia kuu za usafirishaji.
Maelfu ya faili zilizotolewa na mtoa taarifa wa Interpol zinafichua kwa mara ya kwanza ukubwa wa unyanyasaji unaoonekana kufanywa na Urusi dhidi ya shirika la polisi la kimataifa ili kuwalenga…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 28, 2026
Serikali ya Somalia imesema kuwa msaada wa chakula uliotolewa kwenye ghala wakati wa shughuli za upanuzi wa bandari katika mji mkuu, Mogadishu, umerejeshwa kwa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani…
Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani amesema utawala wake unafikiria kupunguza operesheni za wahamiaji wasio na vibali kwenye mji wa Minneapolis baada ya maafisa wa kikosi maalum cha uhamiaji…
Soma zaidi hapa...
Hayo yanajiri huku Waziri wa masuala ya usalama Kristi Noem akikabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kufuatia mauaji ya raia wa Marekani yaliyotokea huko Minneapolis, yaliyofanywa na Mawakala wa idara ya…
Manowari ya kubeba ndege inayotumia nishati ya nyuklia ya Lincoln imekuwa ikihudumu chini ya Jeshi la Wanamaji la Marekani tangu 1989 na ni mojawapo ya meli kubwa na za kisasa…
Manowari ya kubeba ndege inayotumia nishati ya nyuklia ya Lincoln imekuwa ikihudumu chini ya Jeshi la Wanamaji la Marekani tangu 1989 na ni mojawapo ya meli kubwa na za kisasa…