#StoryTime
#StoryTime ULIPOKUWA NA UMRI WA MIAKA 21, ULIKUWA UNAJISHUGHULISHA NA NINI? đź‘€ (Feed generated with FetchRSS)
#StoryTime ULIPOKUWA NA UMRI WA MIAKA 21, ULIKUWA UNAJISHUGHULISHA NA NINI? đź‘€ (Feed generated with FetchRSS)
Klabu ya Simba Sports Club imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Inno Jospin Loemba kutoka klabu ya Colombe Sportive du Dja et Lobo inayoshiriki Ligi ya Cameroon. Loemba, raia wa…
Naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani, kamanda wa vikosi vya AFRICOM wamekamilisha ziara yao nchini Ethiopia kwa kuangazia usalama katika kanda, ushirikiano wa kijeshi
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya amesema atahakikisha anasimamia kila mwananchi mwenye uhalali wa kupata hati milki ya eneo lake analomiliki anapata hati. Akizungumza…
Maafisa watatu wa polisi wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya washukiwa wa ujambazi kuwashambulia wakiwa kwenye doria yao katika jimbo la kaskazini magharibi la Katsina nchini Nigeria siku ya…
#HABARI: Mti mkubwa umeanguka katikati ya Barabara Kuu ya Morogoro–Dar es Salaam katika eneo la Mzambarauni karibu na stendi ya Msamvu, hali iliyosababisha barabara hiyo kutopitika kwa muda na kuzua…
#HABARI: Kesi ya Uhujumu Uchumi namba 31523 ya mwaka 2024, inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya, pamoja na mwenzake Rweyemamu Rwezaura John, imeendelea leo katika Mahakama…
#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto, amesema kuwa Serikali yake itaendelea kuheshimu na kutekeleza maamuzi ya mahakama, hata pale ambapo baadhi ya maamuzi hayo yanapingana na sera za Serikali yake.…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kivule lililopo Mkoani Dar es Salaam, Ojambi Massaburi, amesema Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri iliyoleta mageuzi makubwa nchini, ikiwemo kuvuna…
Mbunge wa Tunduru Kaskazini (ACT-Wazalendo), Ado Shaibu ametilia shaka ukamilishaji wa Katiba...
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 28, 2026 - WATU WAWILI WAUAWA KWA TUHUMA ZA WIZI WA NG'OMBE SONGWE
DODOMA: PUBLIC servants have been urged to stop using personal email accounts for government-related communications, as this practice has been identified as a source of leaks and loss of sensitive…
GOA: THE Deputy Minister of Energy, Salome Makamba, has stated that Tanzania continues to create an enabling environment for investment by leveraging the various opportunities in the oil and gas…
Soma zaidi hapa...
DAR ES SALAAM: IN today’s digital age, the line between productivity and distraction has become dangerously thin and our modern generation glued in this must be told the reality. Mobile…
#HABARI: Watu wawili wameuawa na wananchi wenye hasira kali katika Kijiji cha Isalalo, wilayani Mbozi, kwa tuhuma za wizi wa ng'ombe nane wanaodaiwa kuibiwa wilayani Momba. Katika tukio hilo, wananchi…
Serikali imekabidhi vitendea kazi vyenye thamani ya Sh23.4 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa...
#HABARI: Wananchi wa vitongoji 175 mkoani Mtwara wameipokea kwa shangwe hatua ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa kusambaza umeme utakaogharimu zaidi ya shilingi…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, serikali na jumuiya ya kibinadamu, leo Jumatano, Januari 28, wamewasilisha mpango wa kukabiliana na hali ya kibinadamu mwaka 2026. Mahitaji yanayokadiriwa ni dola bilioni…
Kabidhi Wasii Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Frank Frank, kupitia...
“…lakini Mheshimiwa Mwenyekiti nakisi ambayo sisi tunaiona hauwezi kuwa na mchakato bora wa Katiba Mpya kwa kutaja ahadi ya Katiba mpya peke yake sisi tunaona kwamba Katiba mpya inashughulikiwa kwa…
“…Mheshimiwa Mwenyekiti nukta moja ambayo imeachwa katika mijadala yetu na mimi nitaisema ni juu ya umuhimu wa haki ili kupata amani ya kweli…”- Ado Shaibu, Mbunge wa Tunduru Kaskazini. Powered…
MANDERA: ETHIOPIAN nationals living in Mandera County in northeastern Kenya have reported receiving death threats if they fail to leave the area by February 5, 2026. The migrants say the…
DODOMA: THE Tanzanian government has announced plans to increase surveyed and designated land for livestock grazing from 3.49 million hectares to 6 million hectares over the next five years. The…
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imeanza operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya...
LINDI: THE Tanzanian government, through the Rural Energy Agency (REA), has begun implementing a project to supply electricity to 159 sub-villages across all districts of the Lindi Region, for 25.8bn/-.…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi wa kitaalamu katika maeneo ya Tabata na Kimara jijini Dar es Salaam, kufuatia malalamiko ya wateja mitandaoni kuhusu umeme kuisha haraka. Kaimu…
Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (Tiseza) imeanza kampeni ya kitaifa...
#HABARI: Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa…
ARUSHA: THE launch of a new toll free digital platform by the Ministry of Health marks a significant shift in how health services are governed and delivered in Tanzania, placing…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imelikataa ombi la upande wa Jamhuri la kutaka kuifanyia...
Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman amesisitiza kuwa ardhi ya nchi yake...
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora inakabiliwa na upungufu wa madawati 6,290 kwa shule za msingi...
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO - JANUARI 28, 2026
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania imeipatia tuzo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika kutatua migogoro ya wananchi kwa njia ya usuluhishi nje ya…
DAR ES SALAAM: THE Commissioner General of the Tanzania Revenue Authority (TRA), Yusuph Mwenda, has met and held discussions with officers of the Customs and Excise Department from various parts…
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imezindua mfumo wa huduma kidijitali kwa...
UONGOZI wa Coastal Union uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa straika wa TP Mazembe ya DR Congo, Thomas Ulimwengu baada ya mazungumzo chanya kati ya kikosi…
January 28, 2026 imekuwa siku ya huzuni kwa wadau na wapenzi wa soka Tanzania baada ya kuagwa na kuzikwa kwa mwili wa nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars,…
Ni swali gani ambalo mpenzi wako akikuuliza huwezi kulijibu kwa jibu la “ndiyo”? A. Umelala B. Umeamka C. Una njaa 📸Pinterest ✍John Mbalamwezi (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imekamata KG 52.2 za Bangi na 38.9 za Mirungi na kuziteketeza katika Dampo la Serikali la Muriet lililopo jijini…
Kesi ya uhaini ya Jenerali PhilĂ©mon Yav Irung, kamanda wa zamani wa kanda ya 3 ya Ulinzi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), imeingia katika awamu muhimu siku…
VAIBU la Azam FC baada ya kushinda kwa mara ya kwanza hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika, limemfanya kocha wa kikosi hicho, Florente Ibenge kusema kwa sasa anaiona…
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S national airline, Air Tanzania Corporation Limited (ATCL) has officially launched a direct flight route from Dar es Salaam to Accra, Ghana, operating three times a week…
Katika kuchochea uchumi wa mtu mmojammoja na Taifa kupitia uwekezaji, Mamlaka ya Masoko ya...
Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili (Chalufakita) kimempa tuzo Profesa Rwekaza Mukandala...
#HABARI: Serikali imeweka wazi kuwa haina mpango wa kuweka sheria kali inayowalazimisha watoto kuwahudumia wazazi wao wasiojiweza, badala yake inategemea misingi ya kifamilia na kijamii. Kauli hiyo imetolewa bungeni na…