JKT Tanzania wana jambo lao Ligi Kuu
JKT Tanzania imesema bado inahitaji kuongeza kasi na kujituma kusaka pointi tatu kila mechi ili kumaliza nafasi nne za juu katika Ligi Kuu Bara msimu huu.
JKT Tanzania imesema bado inahitaji kuongeza kasi na kujituma kusaka pointi tatu kila mechi ili kumaliza nafasi nne za juu katika Ligi Kuu Bara msimu huu.
Kufuatia malalamiko ya wateja wa umeme wa Luku kuisha haraka katika matumizi, Shirika la Umeme...
CHAMA cha Netiboli Mkoa wa Mbeya (Chanembe) kinatarajia kufanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wake watakaokitumikia kwa miaka minne ijayo, huku wadau wa mchezo huo wakiombwa kujitokeza kuchukua fomu.
#MEZAHURU "....mwaka 2023 tukasema sasa tuje na muongozo ambao sasa utawataka hawa watu wote ikiwemo watengeneza maudhui kuzingatia....hiyo kazi ya sanaa inataliwa isimdhalilishe yeye msanii au mtazamaji...."-Abel Ndaga - Afisa…
BOUSMAIL: TANZANIA and Algeria have agreed to establish collaborative research initiatives involving the Algerian National Center for Fisheries Research and Aquaculture Development and Tanzanian institutions focusing on fisheries and aquaculture…
MWANZA: MWANZA Region, in collaboration with the Tanzania Forest Services (TFS), has planted 12,758 trees to support President Samia Suluhu Hassan’s decision to celebrate her birthday by planting trees. The…
Leo Usiku, Jumanne Januari 27, 2026. katika kipindi cha #twendepamoja tutakuwa na Dkt. Emmanuel Lameck Mkilia, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kuzungumzia mafanikio ya Tume…
Yanga inaikaribisha Dodoma Jiji FC katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam katika mchezo wa...
Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo Pamoja na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Elihuruma Mabelya wameongoza zoezi la Upandaji miti katika Shule ya jagwani ikiwa ni sehemu…
#MEZAHURU"....kisheria sasa tunaongelea umetengeza kitu halafu umekituma au umekisambaza kiwafikie watu flani, lakini mimi ninaweza kutengeneza content yangu hapa nikabaki nayo sidhani kama tutaita maudhui nafikiri hiyo nitaiita video, tutayapa…
Serikali imesema imeshaanza mazungumzo na Qatar kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa ajili ya kusaini makubaliano ya kuongeza fursa za ajira kwa vijana wa Kitanzania.…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran mapema leo ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa X, akionyesha video iliyorushwa hewani na Channel 12 ya Israel ambapo mwanamke…
Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema nchi yake inapanga kuondoa wanajeshi wake huko Somalia baada ya kuwepo huko kwa kipindi cha miaka 19.
Katika kuboresha mfumo wa ukusanyaji kodi kwa wafanyabiashara kuendana na kasi ya maendeleo ya...
#MEZAHURU”….kuna mtu anatengeneza maudhui ambayo hayana maana....maudhui ambayo hayana maana, ukimuuliza mtu kwa nini umetengeneza hiki hana sababu za kukupa, lengo lako lilikuwa ni nini basi tu mimi niliona watu…
Wafanyakazi wanaopata ajali au magonjwa yatokanayo na kazi zao wataanza kunufaika na Fao la...
Imeelezwa kuwa marehemu aliingia katika nyumba hiyo ya kulala wageni Januari 26,2025 saa moja...
WAKATI wachezaji wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2026, nyota wa mchezo nchini, Jimmy Brown, ametaja sababu zilizomfanya asicheze michuano hiyo…
Mtaalamu wa lishe kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Zurubia Kinyogo amesema maziwa ya mama yanafaida nyingi kwa mtoto mchanga katika kumsaidia kupata virutubisho vyote, hasa kwa mtoto chini ya miezi…
Jumamosi hii Januari 31 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki patakuwa hapatoshi ngumi, vitasa zitapigwa ni katika Bongo Fighting Championship Zaidi ya mapambano 10 ndani ya ulingo mmoja, Dulla…
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema kiasi cha Sh. Bilioni 6,02 kinatarajiwa kuwalipwa na serikali kwa wananchi 347 wa Vijiji vya Lifua, Liugai na Masimavalafu wilayani Ludewa, Mkoa wa…
Mdau wa lishe Nusura Salum amesema kwa mama ambaye anayonyesha anapaswa kuzingatia makundi sita ya vyakula ambayo yatasaidia kuongeza nguvu mwilini ili kuweza kuzalisha maziwa ya kutosha, pia makundi hayo…
Licha ya kuwapo sheria zinazoelekeza wazi, ni wajibu wa Serikali katika ujenzi na usimamizi wa...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umekiri kuwepo kwa gharama za malipo kwa wanafunzi...
Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lazima lieleze ukiukwaji uliofanywa na Marekani kwa uwazi na kwa…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa kifo cha Gidion Mbwambo (34), kilichotokea Januari 27, 2026 katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Kisanga, Mtaa wa Nguzo, Kata…
Katika hotuba yake hiyo, amesema mabadiliko ya tabianchi si hadithi wala maneno ya nadharia kwa...
MEZA HURU- WATENGENEZA MAUDHUI
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Ndugu Faris Buruhan, ameungana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Omumwani iliyopo Manispaa ya Bukoba…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa mwongozo mpya wa kimataifa unaozitaka shule kote duniani kukuza mazingira ya ulaji wa chakula bora ili kuwasaidia watoto kujenga tabia nzuri za lishe maishani…
Katika siku ya kimataifa ya kukumbuka mauaji ya kimbari ya holokosti, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameonya kuwa hali ya kukanusha na kupotosha mauaji ya Holocaust kunaongezeka,…
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa (UN) leo wameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto wahamiaji wasioandamana na wazazi nchini Marekani, katika taarifa iliyotolewa nchini Geneva, Uswisi. Wasiwasi huo…
Nchi ya Botswana imechukua hatua kubwa katika kuimarisha ushirikiano wa rasilimali za maji baada ya kujiunga rasmi na mikataba miwili ya kimataifa ya maji ya Umoja wa Mataifa.
Umoja wa Mataifa Jumatatu umezindua Mpango wa Mahitaji na Hatua za Kibinadamu wa dola milioni 852 kwa ajili ya Somalia, huku ukionya kuwa ukosefu mkubwa wa ufadhili utaacha mamilioni ya…
Ushirikishwaji wa vijana katika kupanga na kuboresha elimu Utekelezaji wa kauli mbiu ya UNESCO kuhusu elimu jumuishi nchini Tanzania Uundaji wa mitaala inayozingatia mahitaji ya vijana na soko la ajira
Umuhimu wa uwepo wa Ujumbe wa Kulinda Amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) unadhihirika kupitia kisa cha "Nafeesa," (Si jina lake halisi) mama aliyelazimika kukimbia nchi ya Sudan…
"Kwa pamoja, tuna fursa ya kukomesha miongo kadhaa ya mateso, kukomesha vizazi vya chuki na umwagaji damu, na kujenga amani nzuri, ya kudumu na tukufu kwa eneo hilo na kwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha...
Waziri wa Afya wa Sudan, Dkt. Haitham Mohamed Ibrahim, ameeleza hali ya kiafya nchini Sudan baada ya miaka mitatu ya vita, akisisitiza kuwa hali imeboreka kiasi katika baadhi ya majimbo…
#HABARI: Mwanamazingira kutoka Kenya, Truphena Muthoni, amepokea uthibitisho rasmi kutoka rekodi ya dunia ya Guinness (GWR) kwa kukumbatia mti kwa saa 72, zaidi ya mwezi mmoja baada ya kufanikisha rekodi…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, ametunukiwa...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Bukoba, imefuta uamuzi wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya...
Jina la Pedro Porro, 26, si geni tena katika ulimwengu wa soka la kimataifa, beki huyo wa...
Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, siku hii imepewa mwelekeo wa vitendo kwa kusisitiza upandaji wa miti kama…
Marais wa zamani wa Marekani, Barack Obama na Bill Clinton, wamewahimiza Wamarekani kusimama na kutetea kile walichokiita "maadili ya msingi ya Marekani" baada mawakala wa uhamiaji wa Shirikisho huko Minneapolis…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo na Naibu wake Mhe. Kaspar Mmuya leo Januari 27, 2026 wamewaongoza watumishi wa Wizara katika zoezi la upandaji…
Rais wa zamani wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) amewataka watazamaji wa Kombe la Dunia wasisafiri kwenda Marekani kutokana na wasiwasi wa kiusalama.
Kuanzia mwaka 2010 wasanii maarufu kutoka Marekani na Canada walikuja na mtindo wa kipekee...