🔴 #MAGAZETI: AINA YA MISWAKI HATARI KIAFYA / PANDE MBILI WINGA MPYA SIMBA ..JANUARI 28, 2026
🔴 #MAGAZETI: AINA YA MISWAKI HATARI KIAFYA / PANDE MBILI WINGA MPYA SIMBA ..JANUARI 28, 2026
Tetesi za soka Ulaya: Chelsea yagoma kumuuza Cole Palmer
Brighton wamekataa ombi la Nottingham Forest la kumsajili Lewis Dunk, Chelsea wanamchukulia Cole Palmer kama mchezaji “asiyeuzwa”, na Raheem Sterling anatarajiwa kuondoka Stamford Bridge.
Polisi 10 wauawa katika shambulio kwenye kituo cha polisi Niger
Askari polisi wasiopungua 10 wa Niger wameuawa wakati watu wenye silaha waliposhambulia kituo cha polisi kaskazini mwa nchi hiyo. Eneo la kaskazini mwa Niger limekumbwa na machafuko ya magenge ya…
Altuga kaja na moto 🙌
Altuga kaja na moto 🙌 (Feed generated with FetchRSS)
Msangani Two yaweka mikakati ya kupanda Miti 20,000 Kila Mwaka
Shule ya Sekondari Msangani Two iliyopo Manispaa ya Kibaha, Mkoa wa Pwani, imeweka mkakati wa...
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 27, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 27, 2026
#HABARI: Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya, imesema inakabiliwa na uhaba wa zaidi ya shilingi Bilioni 22 zinaz…
#HABARI: Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya, imesema inakabiliwa na uhaba wa zaidi ya shilingi Bilioni 22 zinazohitajika kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka…
#HABARI: Umoja wa Madereva Bodaboda jijini Dar es Salaam umejitokeza kushiriki zoezi la upandaji miti, katika maeneo mbalimbali …
#HABARI: Umoja wa Madereva Bodaboda jijini Dar es Salaam umejitokeza kushiriki zoezi la upandaji miti, katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea mafanikio ya Rais wa…
Bi mkubwa huwa anakula za uso ila hakomi tu 😅
Bi mkubwa huwa anakula za uso ila hakomi tu 😅 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 27, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 27, 2026
#HABARI: Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) mkoani Songwe umeanza rasmi kazi ya upanuzi wa miundombinu ya barabara katika mpak…
#HABARI: Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) mkoani Songwe umeanza rasmi kazi ya upanuzi wa miundombinu ya barabara katika mpaka wa Tunduma unaounganisha Tanzania na Zambia. Zoezi hilo limehusisha uvunjaji wa…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mtwara, kwa kushirikiana na Askari wa Wanyamapori, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili kwa…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mtwara, kwa kushirikiana na Askari wa Wanyamapori, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kupatikana na nyara za Serikali, ikiwa ni pamoja na meno ya…
Rais Samia achangia vifaa vya kigitali kuboresha elimu maalum Mbeya vijijini, akisherehekea siku ya kuzaliwa
Vifaa hivyo ni pamoja na nukta nundu, kompyuta hususani cha sauti kwa ajili ya kuongeza usikivu...
TanTrade kuendeleza masoko na uwekezaji Katoro
Mji wa Katoro mkoani Geita unaendelea kujijenga kama kitovu kipya cha biashara nchini...
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 27, 2026 – RAIS SAMIA AHAMASISHA WATANZANIA KUTUNZA MAZINGIRA
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 27, 2026 - RAIS SAMIA AHAMASISHA WATANZANIA KUTUNZA MAZINGIRA
Tanzania, India use IEW 2026 to deepen ties in the energy sector
DELHI: THE Deputy Minister for Energy, Salome Makamba, has participated in the opening of the India Energy Week (IEW 2026), an event aimed at discussing and formulating joint strategies to…
Wananchi Monduli wahimizwa kuvuna maji ya mvua
Wakazi wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha wamehimizwa kuchukua hatua za dharura kwa kuwekeza...
Tanzania allocates 6.02bn/- for residents involved in the Ludewa power project
DODOMA: THE Tanzanian government has set aside a total of 6.02bn/- to pay off residents of Lifua, liungai and Masimavalafu villages in Ludewa district, Njombe region, who facilitated the implementation…
Wabunge wagusia yaliyotokea Oktoba 29 kwa mtindo wa sitaki nataka
Katika mjadala huo, baadhi ya wabunge walihoji undani wa yaliyotokea, huku wengine wakiishia...
RC Kilimanjaro awataka kila anayepewa hati ya kiwanja apande miti mitano
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amewaagiza maofisa ardhi kuhakikisha kila anayepata...
Tanzania renews efforts to enable ATCL conquer global markets
DODOMA: THE Deputy Minister for Transport, David Kihenzile, has outlined government strategies to enable Air Tanzania Company Limited (ATCL) capture a larger share of the international aviation and air transport…
Two people perish, nine rescued from a capsized boat
KIBITI: TWO people are reported dead and nine others rescued after the boat they were travelling in capsized while en route from Mafia Island to Nyamisati in the Coast Region.…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu wakazi wa Mbinga kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya hara…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu wakazi wa Mbinga kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya haramu ya dawa za kulevya. Kamanda wa Polisi wa Mkoa, SACP…
Tanzanians assured of affordable internet bundle services
DODOMA: Deputy Minister for Communication and Information Technology, Dr Switbert Mkama, has said the Tanzanian government has taken various measures to ensure that internet data bundle prices are affordable and…
#HABARI: Watumishi wawili wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Njombe, Hadson Mwitagila (41) ambaye ni Mhasibu na Ab…
#HABARI: Watumishi wawili wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Njombe, Hadson Mwitagila (41) ambaye ni Mhasibu na Abdul Hussein (33) ambaye ni Msoma Mizani, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu…
Tanzania uses security units to protect villages against wild animals
DODOMA: THE Tanzanian government has deployed permanent security units in Bwiti and Mwakijembe wards in Mkinga District to enable wildlife officers to respond swiftly to incidents involving dangerous and destructive…
Modern scanners help TRA collect 1.2tri/- in revenue
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has said that revenue collections through the customs department have increased to 1.2tr/- per month, up from an earlier average of 800bn/-.…
Tanzania allocates 675m/- for the expansion of a hospital in Tabora
TABORA: THE Tanzanian government has allocated a total of 675m/- to implement the construction and expansion project of the Mailimoja Health Centre in Tabora Municipal Council, aimed at improving healthcare…
Mwingine kesi ya ‘Dk Manguruwe’ aeleza alivyowekeza Sh20 milioni
Washtakiwa hao wanakabiliwa na jumla ya mashitaka 28, yakiwemo ya kujipatia zaidi ya Sh90...
Wawili mbaroni Tanga kwa tuhuma za utekaji nyara
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwanasa wakazi wawili wa Mabogini Kilimanjaro na...
Kesi 19 za waliokuwa wagombea ubunge ACT- Wazalendo zakwaa kisiki
Unguja. Kesi za waliokuwa wagombea ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo kupinga matokeo katika...
Ujumbe wa Lissu gerezani kwa familia ya Mtei wazua mjadala
Kanusho la Jeshi la Magereza dhidi ya taarifa inayodaiwa kuwa ni ujumbe wa Mwenyekiti wa...
Utata familia, halmashauri zikigombea eneo Temeke
Utata umeibuka kati ya familia ya Ramadhani Chaulembo, inayoishi Dar es Salaam dhidi ya...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE – JANUARI 27, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE - JANUARI 27, 2026
Mbunge atilia shaka maandalizi ya AFCON 2027
Dodoma. Mbunge wa Korogwe Vijiji, Timotheo Mzava ameonyesha hofu kuhusu uhamasishaji wa Fainali...
Nafasi ya Arsenal kutwaa Ubingwa yashuka baada ya kipigo cha Man United
Nafasi ya Arsenal kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu imepata pigo kufuatia kipigo cha...
#HABARI: Serikali imeweka vikosi vya kudumu vya Askari katika Kata za Bwiti na Mwakijembe kwa lengo la kuwawezesha askari Wanyam…
#HABARI: Serikali imeweka vikosi vya kudumu vya Askari katika Kata za Bwiti na Mwakijembe kwa lengo la kuwawezesha askari Wanyamapori kuwahi mwitikio haraka katika matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu…
#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeungana na Watanzania wote kuadhimisha siku ya kuzaliwa k…
#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeungana na Watanzania wote kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya zoezi la kupanda…
Sehemu ya vipindi vya Katuni vitakavyoruka wiki hii kupitia Kisimbuzi cha AzamTV
Sehemu ya vipindi vya Katuni vitakavyoruka wiki hii kupitia Kisimbuzi cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unapata chaneli hizi. #Cartoon #AzamTV (Feed generated with FetchRSS)
Makocha walio kwenye hatari ya kutimuliwa Ligi Kuu England
Ikiwa zimesalia mechi 15 pekee kumaliza msimu wa Ligi Kuu England 2025/26, baadhi ya makocha...
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limeanza uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mkazi wa mkoa huo aliyefahamika kwa jina la Gidion Ebe…
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limeanza uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mkazi wa mkoa huo aliyefahamika kwa jina la Gidion Ebenezeri Mbwambo (34) ambaye amekutwa amekufa kwenye nyumba la…
Tanzania yasisitiza miundombinu udhibiti usalama wa chakula
Tanzania inahama kutoka kwenye suluhisho za muda mfupi za usalama wa chakula ili kujenga mifumo...
Kwanini wafupi ni mastaa wakicheza namba moja
KWA kawaida mchezo wa kikapu umezoeleka ili kuucheza ni lazima uwe na mwili mkubwa, hususan urefu.
AGITF seeks to enable farmers access credit by providing loans
TANGA: THE Agricultural Inputs Trust Fund (AGITF) is committed to addressing the challenges facing farmers in accessing credit, a barrier that discourages them from continuing with farming, while also creating…
Lipumba ataka umoja wa kitaifa, akemea ubaguzi
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amewataka Watanzania kudumisha...
PM fires a warning shot to irresponsible, dishonest public officials
DODOMA: THE Tanzanian government will continue implementing policy reforms that directly affect the interests and well-being of its citizens, while stressing that it will not tolerate irresponsible public officials who…