🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….JANUARI 27, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
Halligen, ni mkusanyiko wa visiwa vilivyo karibu na pwani ya kaskazini mwa Ujerumani, visiwa hivi ni muhimu kwa Ujerumani kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Aliyekuwa Kocha wa Yanga msimu uliopita, Miloud Hamdi jana, Jumatatu, Januari 26, 2026 ametangza kujiuzulu kibarua chake katika klabu ya Ismaily ya Misri.
#HABARI: Mtu mmoja ambaye ni dereva wa lori la mizigo amepoteza maisha katika ajali iliyotokea asubuhi ya leo Januari 27, 2026 majira ya saa 12:00 asubuhi, katika eneo la Mnadani…
".....suala la marekebisho ya katiba ambalo ni mojawapo ya ahadi ya Chama Cha Mapinduzi.....Mheshimiwa Rais alisisitiza kuwa Serikali itafanyia kazi suala hili, kwa kuanza kwanza na kuunda Tume Huru ya…
Unafahamu kuwa namba tano ina nafasi kubwa kwenye maisha ya nyota wa muziki nchini, Abigail Chams
Miloud amechukua uamuzi huo akiwa ameitumikia timu hiyo kwa miezi sita tu tangu alivyojiunga...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
Kipa na Kocha wa zamani wa makipa wa Yanga na timu ya taifa 'Taifa Stars', Peter Manyika anatarajiwa kuzikwa kesho, Jumatano, Januari 28, 2026 katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es…
WAZIRI wa Afya, Mohammed Mchengerwa amepiga marufuku madaktari wa hospitali za umma kuwaelekeza wagonjwa kununua dawa nje ya hospitali. Ametolea mfano daktari mmoja wa Hospitali ya Temeke mkoani Dar es…
Serikali imeagiza kila Mtanzania kuweka nadhiri ya kupanda walau mti mmoja kwani, baada ya...
Dar es Salaam. Kipa na Kocha wa zamani wa makipa wa Yanga na timu ya taifa 'Taifa Stars', Peter...
#HABARI: Ajali imetokea asubuhi ya leo Januari 27, 2026 majira ya saa 12:00 asubuhi, katika eneo la Mnadani, Kata ya Tinde, Halmashauri ya Shinyanga mkoani Shinyanga. Ajali hiyo imehusisha basi…
"....nitoe maelekezo kwa mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kuwa katika upimaji wa maeneo mapya wanazingatia kutenga maeneo ya kijani na nafasi ya upandaji miti katika…
“Mh. Spika nilikuwa naomba majibu kutoka kwa Serikali kuhusiana na barabara ya Kasulu road barabara ambayo itakwenda kuwasaidia wananchi wa kata kama machinjioni, Lubuga Kagera pamoja na Kata ya Majengo,…
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kwa kusema: "Imam Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni Faqihi wetu Mtawala na sisi hatutabaki kuwa watazamaji mbele…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kwamba nidhamu ya dunia inazidi kumomonyoka huku utawala wa sheria ukifutwa, na nafasi yake kuchukuliwa na kile alichokiita "sheria ya msituni."
Kijana wa kike wa kiisraeli aitwaye Noya Zion ameshtuka baada ya kuona picha yake inaonyeshwa kwenye televisheni ya taifa ya Israel kama mmoja wa watu waliouawa katika maandamano nchini Iran,…
Jeshi la Mali (FAMa) limetangaza kuwa limewaua zaidi ya magaidi 100 katika mashambulizi ya anga liliyofanya kwenye eneo la msitu katikati mwa nchi siku ya Jumapili, na kuyataja mashambulio hayo…
MEZAHURU: Kipi kifanyike kuhakikisha WATENGENEZA MAUDHUI NA WAHAMASISHAJI (kwenye mitandao ya kijamii) wanapeleka maudhui sahihi kwa jamii lakini pia wanafaidika na kazi zao..? -MezaHuru -Weka maoni yako -Saa Tisa Alasiri
Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte amesema, Umoja wa Ulaya, EU bali hata Ulaya yote haina uwezo wa kujilinda bila ya Marekani na kusisitiza kuwa, nchi wanachama zitalazimika kutumia hadi…
Vikosi vya Jeshi la DRC (FARDC), tangu siku ya Jumapili, Januari 25, vimerejesha udhibiti wa maeneo kadhaa yaliyokuwa yanakaliwa kwa wiki chache na wanamgambo wa Wazalendo katika maeneo ya Kasenga…
Rais wa Brazil Lula amemwomba mwenzake wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Januari 26, kuliwekea kikomo “Baraza lake la Amani” kuhusu suala la Gaza, wakati wa mazungumzo ya simu…
Donald Trump anataka Greenland iwe sehemu ya Marekani na hata amewahi kupendekeza uwezekano wa kuinunua kutoka kwa Ufalme wa Denmark, ambao kisiwa hicho ni mali yake.
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 27, 2026
Rais wa Jamhuri ya Kongo, Denis Sassou-Nguesso, na wasaidizi wake wanadaiwa kuhusishwa na rushwa ya kiasi “cha juu zaidi” kuhusiana na utoaji wa vibali vya mafuta, kulingana na taarifa iliyotolewa…
Nchini Kenya kumekuwa na mabadiliko katika kesi ya kundi la kiimani la Shakahola. Paul Mackenzie, mchungaji aliyejitangaza, atashtakiwa kwa vifo vipya 52. Mchungaji huyo aliyejitangaza yuko kizuizini kabla ya kesi…
Katika kuelekea mabadiliko makubwa ya kimaendeleo nchini hasa wakati huu wa utekelezaji wa Dira...
Mkutano wa Kimataifa wa Nishati nchini Libya umefikia kikomo. Siku tatu za majadiliano huko Tripoli ziliwaleta pamoja maafisa na wawekezaji wa Libya, pamoja na wawakilishi kutoka Marekani, Ufaransa, Uingereza, na…
#HABARI: Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa ataongeza ushuru wa bidhaa zinazoingizwa kutoka Korea Kusini hadi kufikia asilimia 25. Hatua hiyo imekuja baada ya kumshutumu Rais wa taifa hilo…
DRC imekanusha madai yaliyochapishwa katika ripoti ya Human Rights Watch kuhusu usalama wa eneo la Uvira kwa kusema kuwa madai yao hayakuwa ya kweli, na yamechukuliwa nje ya muktadha wa…
Pande zote mbili zimekuwa zikionya mara kwa mara kuhusu madhara ya shambulio lolote.
🔴#KUMEKUCHA: MICHEZO. . JANUARI 27, 2026
Nigeria itawahukumu wanajeshi walioshtakiwa kwa jaribio la mapinduzi. Tangazo hilo limetolewa siku ya Jumatatu, Januari 26, na jeshi la Nigeria. Mnamo mwezi Oktoba mwaka uliyopita, wanajeshi 16 walikamatwa, rasmi kwa…
Serikali imesema itaendelea kuwakumbatia na kuwaendeleza vijana wenye vipaji katika Teknolojia...
Serikali imesema itaendelea kuwakumbatia na kuwaendeleza vijana wenye vipaji katika Teknolojia...
Soma zaidi hapa...
Je, ni wakati wa maridhiano kati ya Ufaransa na Chad? Rais wa Chad Mahamat Idriss Déby amempokea balozi wa Ufaransa huko N’Djamena siku ya Jumatatu, Januari 26, na kukubali mwaliko…
Nchini Uganda, vita mpya ya maneno imezuka kwenye mitandao ya kijamii kati ya mkuu wa jeshi na kiongozi wa upinzani Bobi Wine. Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa rais Yoweri Museveni, anakanusha…
🔴KUMEKUCHA: SIKU YA FARAGHA NA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI-- JANUARI 27, 2026
Bila afya, hakuna ufaulu; na bila ufaulu, maendeleo ya taifa hubaki kuwa ndoto.
Mlowe amesema kaya hizo zitaunganishwa na vituo vya kutolea huduma za afya vilivyoteuliwa na...
🔴 #MAGAZETI: ..JANUARI 27, 2026
Serikali inaona maridhiano kama mchakato unaohitaji utulivu na utaratibu. Upinzani unaona kama haki iliyochelewa kutendeka. Katikati ya mitazamo hiyo miwili, Watanzania wanasalia wakijiuliza maridhiano haya ni ya nani, kwa ajili…
Wananchi wa Nyampindi, kijiji cha Ipumbuli, Kata ya Kizengi wilayani Uyui mkoani Tabora kumshinikiza Mwenyekiti kujiuzulu kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake. Je, waigwe na wengine wanaopitia machungu kama hayo badala…
Mshambuliaji wa Everton na Guinea-Bissau Beto, 27, ni mojawapo ya chaguo la Juventus wanapotafuta kumsajili mshambuliaji wakati wa dirisha la uhamisho la majira ya baridi
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 27, 2026
Wanamgambo wanaohusishwa na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) wamewaua raia wasiopungua 22 katika kijiji kimoja katika mkoa wa Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa…
Serikali ya Russia imeionya Marekani kuhusiana na kuanzisha chokochoko yoyote ya kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Rwanda imekiri kwa mara ya kwanza kwamba, inashirikiana na kundi la waasi wa AFC/M23 katika harakati za kiusalama huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.