Rais Samia amuomboleza Edwin Mtei
RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbiliewi Mtei,, kilichotokea usiku wa Januari 19, 2026, jijini Arusha akisema amepokea taarifa hiyo kwa masikitiko…
RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbiliewi Mtei,, kilichotokea usiku wa Januari 19, 2026, jijini Arusha akisema amepokea taarifa hiyo kwa masikitiko…
Taasisi ya Sayansi za Bahari ilianzishwa Oktoba 17, 1978 baada ya kuvunjika kwa Jumuiya ya...
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea kwa masikitiko makubwa, taarifa za kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbiliewi Mtei, kilichotokea usiku wa Januari…
Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 94. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Chama hicho,…
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesikitika kutangaza kifo cha muasisi wa Chama na Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho, Mzee Edwin Mtei. Mzee Mtei amefariki usiku wa kuamkia…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..JANUARI 20, 2025
Emmanuel Macron anawasili leo Jumanne, Januari 20, huko Davos, nchini Uswis, kushiriki katika mkutano wa kila mwaka unaotarajiwa sana wa Jukwaa la Uchumi Duniani. Rais wa Ufaransa anakuja kukuza mvuto…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 20, 2026
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, John Heche, imeeleza...
Hii inaashiria sura mpya katika jaribio la mapinduzi nchini Burkina Faso mnamo Januari 3. Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba amekamatwa na kufukuzwa kutoka Lome, nchini Togo, ambapo alikuwa akiishi uhamishoni…
#HABARI: Shirika la Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) limetangaza kurejea kwa safari za treni za abiria kutoka Dar es Salaam kwenda New Kapiri Mposhi nchini Zambia kuanzia Februari 10, mwaka…
Nazhat Shameem Khan, Naibu Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), amelituhumu kundi la Rapid Support Forces (RSF) kuwa limechimba makaburi ya halaiki ili kuficha "uhalifu wa kivita…
Mbunge mmoja wa Marekani ameutaja uvamizi wa nchi hiyo dhidi ya Greenland kuwa utakuwa "vita dhidi ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi, NATO."
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelikosoa Kongamano la Uchumi la Dunia kwa kufuta mwaliko wake wa kuhudhuria Mkutano wa Davos.
Rais wa DRC, Félix-Antoine Tshisekedi Tshilombo, yuko Davos, Uswisi, kushiriki katika mkutano wa 56 wa kila mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF), ambao unafanyika kuanzia Januari 19 hadi 23,…
Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 20, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
🔴#KUMEKUCHA: MICHEZO. . JANUARI 20, 2026
Viongozi wa Ulaya wamelaani tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kutoza ushuru nchi zinazopinga azma yake ya kuichukua Greenland, wakionya kwamba hatua hiyo inahatarisha kuzorota kwa uhusiano wa…
Mjumbe wa Tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, mwaka jana, Balozi Ombeni Sefue amesema idadi kubwa ya wananchi waliojitokeza kutoa maoni katika…
Majambazi wenye silaha wamewateka nyara waumini kadhaa kutoka makanisa mawili katika Jimbo la Kaduna, nchini Nigeria, polisi imetangaza siku ya Jumatatu. Kiongozi wa kidini anasema zaidi ya watu 160 wametekwa…
Rais Masoud Pezeshkian amesema kuwa, matukio ya hivi karibuni nchini Iran yalikuwa mwendelezo wa njama zilizofeli za Marekani na utawala wa Kizayuni katika vita vya siku 12 dhidi ya taifa…
Kiongozi wa chama cha Yisrael Beiteinu, Avigdor Lieberman, ameonya kuhusu tishio linaloongezeka la Iran, akidai kwamba, makombora ya Iran yamebadilisha kanuni za vita na kutoa wito wa maandalizi ya kuhamisha…
Soma zaidi hapa...
Soma zaidi hapa...
Wamarekani wenye asili ya Afrika wameguswa kuona upendo na heshima ikionyeshwa kwa mwenzao, ambaye atatimiza miaka 21 wakati wa ziara yake ya "Speed Does Africa."
🔴 #MAGAZETI: ...JANUARI 20, 2026
Donald Trump ameapa kwa '100%' kutekeleza tishio lake la kutoza ushuru kwa nchi za Ulaya zinazopinga mpango wake kuidhibiti Greenland.
Baadhi ya wazazi Simiyu kushindwa kuandikisha watoto kwa kukosa elfu 15 za cheti cha kuzaliwa. Je, walioweka utaratibu huu waadhibiwe kwa kukiuka utaratibu wa Serikali?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 20, 2026
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, ambaye amejificha kwa mara ya pili katika kipindi cha miezi saba, anajua kuwa sasa anaweza kuwa shabaha binafsi.
Ibrahima Konate anataka kulipwa zaidi, Flamengo haijakata tamaa ya kumsajili Lucas Paqueta na Chelsea huenda ikalazimika kuongeza juhudi zaidi ili kumnasa Jeremy Jacquet.
Mkuu wa idara ya habari ya Wizara ya Afya ya Palestina huko Gaza ametangaza kuwa, idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa vilema inazidi kuongezeka katika Ukanda huo unaokabiliwa na hali mbaya…
Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Sudan huku vita vya wenyewe kwa wenyewe vikiendelea nchini humo.
Baraza la Katiba nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, limetangaza mnamo Januari 19, 2026, kuchaguliwa tena Rais Faustin-Archange Touadéra kwa muhula wa tatu.
Leo ni Jumanne tarehe 30 Rajab 1447 Hijria mwafaka na tarehe 20 Januari 2026.
Tarehe 12 Januari (Dei 22) ni ukumbusho wa siku ambayo wanajeshi wa Marekani walitekwa na majeshi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.
#DAKIKA45: "Tunatoa adhabu lakini tunaona unampiga mtu adhabu ya shilingi Elfu 50 kwenye Bajaji wakati leseni yake elfu 30 labda, Pikipiki labda Elfu 20, halafu unampiga faini Elfu 50, sisi…
#HABARI: Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imezindua ujenzi wa kituo cha "Msichana Center" mjini Bagamoyo, mkoani Pwani, kikiwa ni kituo cha tano cha aina hiyo kuanzishwa nchini. Kituo…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 19, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 19, 2026
#DAKIKA45: "Kwenye hizi Bodaboda, Bajaji ni kweli wanaingilia utaratibu wa Daladala wengine wanavunja sheria, bali tunaona ni usafiri muhimu mjini tunachotakiwa ni kuuboresha, kwanza watii sheria, hivi ninavyozungumza kwa Mwaka…
Hapa kuna 'gemu' linapikwa ohoo #AzamTWO
#DAKIKA45: "Kwenye hili eneo la udhibiti wa nauli tunayo kanuni ambayo inaeleza utaratibu wa kufanya maamuzi ya nauli "CPA Dkt.Habibu Suluo - Mkurugenzi Mkuu LATRA. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
Simba imemtambulisha beki wa kushoto, Nickson Kibabage ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili. Ikumbukwe siku chache zilizopita uongozi wa Singida Black Stars alikokuwa akikipiga nyota huyo ulitoa taarifa kwa umma…
Mwekezaji wa ndani, Leonard Bugomola Kiganga, amewekeza zaidi ya shilingi bilioni 2 katika mradi wa LENNY HOTELS LIMITED uliopo Bombambili, mkoani Geita, hatua inayotarajiwa kutoa ajira zisizopungua 200 kwa Watanzania.…
Umewahi kujiuliza kwa nini watoto waliopo darasa moja, wanaofundishwa na mwalimu yule yule, hutofautiana katika uwezo wa kuelewa Makala ya Ufunguo ya Faraja Sendegeya inatupa majibu. Mhariri @moseskwindi
Wananchi wa kata ya Nanyala wilayani Mbozi wameiomba serikali kuwasaidia kukamilisha mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 800 ambao ujenzi wake umekuwa ukisuasua tangu mwaka 2024.…