Zaidi ya magaidi 470 na vinara wa ghasia wakamatwa katika mikoa kadhaa ya Iran
Maafisa wa usalama na taasisi za ujasusi za Iran zimewakamata zaidi ya watu 470 katika mikoa mitatu, waliotambuliwa kama watu muhimu na vinara wa wimbi la hivi karibuni la machafuko…