Leo usiku kwenye #MrsGarcia, usikose uhondo wa tamthiliya hii kuanzia saa 3:00 usiku kupitia #AzamONE
Leo usiku kwenye #MrsGarcia, usikose uhondo wa tamthiliya hii kuanzia saa 3:00 usiku kupitia #AzamONE #WeSpeakSeries
Leo usiku kwenye #MrsGarcia, usikose uhondo wa tamthiliya hii kuanzia saa 3:00 usiku kupitia #AzamONE #WeSpeakSeries
Mjema amesema utafiti wa upatikanaji wa huduma za fedha umefanyika kwa awamu mbalimbali kuanzia...
Wananchi wanaosafiri kati ya Kigamboni na maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wamesema kuwa huduma za Azam Sea Taxi zimewarahisishia maisha kwa kupunguza muda mrefu waliokuwa wakiutumia kusubiri vivuko. Wamesema…
Dar es Salaam. Upelelezi kesi ya kusafirisha dawa za kulevya inayowakabili Abdallah Mwita (38)...
#MEZAHURU".....elimu ya fedha ni ya msingi sana kwa mtu yeyote yule ambaye anatamani kufanikiwa kifedha, jambo la kwanza anatakiwa afahamu namna ya kupata pesa, kwa sababu mara nyingi tunapozungumzia elimu…
Amesema hakuna mtu anayeweza kusema Chadema ni CCM B, washirika wa ACT Wazalendo au Chama cha...
Kilimanjaro 9 — engineered for performance, reliability, and offshore excellence. ⚓ Azam Marine delivering strength at sea. #DragonOfTheSea
BBC Africa Eye yaungana na kitengo cha polisi cha kupambana na biashara haramu nchini Sierra Leone kumsaidia mwanaume mmoja kuwatafuta watoto wake waliopotea.
Katibu wa NEC ,Itikadi ,Uenezi na Mafunzo Ndugu Kenani Labani Kihongosi @kenanikihongosi anaendela na ziara yake ya Kichama yenye lengo la Kufuatilia Utekelezaji wa Ilani na ahadi za Chama ambapo…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hali ya kisiasa bado ni tete huko Kinshasa, ambapo kukamatwa kwa watu walio karibu na rais wa zamani Joseph Kabila kunaendelea. Siku ya Jumamosi…
Huyu Sophia kuna anachokitafuta, Bala akutana na mwanae. Usikose kutazama OTTOMAN leo usiku saa 4:00 #AzamTWO
Shuhudia namna polisi wa Guatemala ‘walivyomchomoa gerezani’ anayedaiwa kuwa kiongozi wa genge la kihalifu la Barrio 18, ajulikanaye kwa jina na Aldo Dupie, maarufu kwa jina la Mbwa Mwitu. Aldo…
🔴MEZA HURU: ....JANUARI 19, 2026
Utaratibu wa kuibua vipaji vipya kwenye show tamu ya Tv #TheSpark bado unaendelea.Leo tupo na @its_bossgia Una lipi la kumuuliza au kumshauri?Drop your comment kwasababu @neypova_ atahusika kumuuliza swali kwa…
Takriban watu milioni moja kila mwezi sasa wanafikiwa na misaada muhimu ya kuokoa maisha kufuatia Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kupanua operesheni zake katika Ukanda wa Gaza, siku…
Licha ya upungufu mkubwa wa ufadhili uliobana shughuli za kibinadamu duniani kote, Shirika la Umoja wa Matafa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani UNHCR, lilichukua hatua dhidi ya ongezeko la dharura mpya…
Hali ya usalama huko El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, imezorota kwa kasi, huku uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu ukifanyika kufuatia mji…
Wakati viongozi wa kisiasa, teknolojia na biashara wakikutana katika Jukwaa la Uchumi Duniani huko Davos Uswisi, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa…
Kuhusu upelelezi, amedai bado haujakamilika na kuiomba mahakama ipange tarehe nyingine ya kutajwa.
Tathimini mpya iliyotolewa leo na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu (OHCHR) imeonya kuhusu ongezeko kubwa la idadi ya watu walionyongwa duniani mwaka 2025, ikisema kuwa idadi…
Takriban watu 874,000, nchini Lebanon ambao ni asilimia 17 ya watu wote nchini humo, wanakabiliwa na viwango vya dharura vya uhaba wa chakula huku hali ya nchi hiyo ikiendelea kuwa…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, baada ya ziara yake ya siku tano katika Sudan inayokumbwa na vita, ametahadharisha kuhusu kuongezeka kwa hali mbaya…
Utafiti wa kutumia nyuklia kuwafanya tasa mbu dume ili kudhibiti magonjwa ya dengue, virusi vya zika na chikungunya nchini Austria umeonesha matumaini ya kupunguza mbu mwitu jike aina ya Aedes…
Kila mtu anaye rafiki, ndugu au jamaa, ambeaye ni rafiki wa kuzikana. Kwenye shida na raha, yupo naye, na ikifika kwenye suala la kutembeleana, haina haja ya kutoa taarifa.Swali niJe,…
Mashariki mwa DRC, Wazalendo, wanamgambo wanaoshirikiana na jeshi la Kongo, waliingia Uvira mnamo Januari 18, 2026, siku moja baada ya kuondoka kwa vikosi vya mwisho vya AFC/M23. Mnamo Desemba 10,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuachana na mila potofu zinazokataza ulaji wa vyakula vyenye virutubisho muhimu, hususan kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Hatua hiyo inalenga kuimarisha afya…
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimefungua kesi ya Kikatiba Mahakama Kuu ya...
Wizara ya Usalama ya Iran imetangaza kuwa imewatia nguvuni mamluki wawili wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO). Mamluki hao walikuwa wapiongozwa na kupewa maagizo la uongozi wa…
Baraza la Katiba nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, limetangaza mnamo Januari 19, 2026, kuchaguliwa tena kwa Rais Faustin-Archange Touadéra kwa muhula wa tatu. Imechapishwa: 19/01/2026 – 12:36 Dakika 1…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Muhammad Baqer Qalibaf amesema kuwa "Vita vya kigaidi vya mtindo wa Daesh" vya hivi karibuni hapa nchini vilikuwa na malengo…
Afrika Kusini imetangaza janga la kitaifa kutokana na mvua kubwa na mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya takriban watu 30 kaskazini mwa nchi hiyo, kuharibu maelfu ya nyumba na kusomba barabara…
Jeshi la Anga la Nigeria limetangaza kuwua limeuwa takriban magaidi 40 wa Boko Haram katika mashambulizi ya anga mtawalia iliyofanya mapema wiki hii katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa…
#Repost @ourafricanfooty —— Mwamuzi wa fainali ya AFCON, Jean Jacques Ndala, ndiye aliyetoa penalti nyingi zaidi katika mashindano haya ya AFCON. Alitoa penalti katika mchezo wa Morocco dhidi ya Comoros…
Rached Ghannouchi kiongozi wa chama cha Kiislamu chenye ushawishi mkubwa nchini Tunisia cha al-Nahdha na Spika wa zamani wa bunge la nchi hiyo jana Jumapili alitimiza siku 1,000 akiwa kifungoni…
Zaidi ya watu 39 wamefariki na wengine kujeruhiwa siku ya Jumapili, Januari 18, kusini mwa Uhispania, kulingana na ripoti mpya ya vifo iliyothibitishwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya…
Mji wa Kipumbwi katika Wilaya ya Pangani, Mkoa wa Tanga, unazidi kukua, hii ni kutokana na...
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa akisalimiana na Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe...
Soma zaidi hapa...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
Licha ya jitihada zinazofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa katika kupambana na vitendo vya ukatili, hasa dhidi ya watoto, imeelezwa kuwa baadhi ya wananchi wameendelea kukaidi sheria na maadili…
Makame amesema baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu, tayari zipo hatua zilizoanza kuchukuliwa...
Wananchi jijini Mwanza wamesema Daraja la Mkuyuni lililopo Wilaya ya Nyamagana litakapofunguliwa rasmi kwa matumizi litakuwa msaada mkubwa kwao, hususan wakati wa kipindi cha mvua, kwani litarahisisha usafiri na usafirishaji…
Itigi. Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi...
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Victoria Mwanziva, Januari 18, 2026, amefanya ukaguzi wa mradi wa uchimbaji wa kisima kirefu katika eneo la chanzo cha maji Sinde, Manispaa ya…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 19/01/2026
Halotel imedumisha dhamira ya kuwawezesha Watanzania kupiga hatua, kuota ndoto na kuzifikia...
#HABARI: Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) imeleta mabasi mengine 49 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika barabara ya Kimara, Dar es Salaam. Mabasi hayo kwa sasa yapo katika karakana…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026