JWTZ latoa chakula, tiba kuimarisha uhusiano na wananchi
Mkuu wa Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),...
Mkuu wa Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),...
Wazazi na walezi ambao hawajapeleka watoto wao kujiunga na kidato cha kwanza katika muhula mpya...
Zoezi la kuhesabu kura nchini Uganda kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika Alkhamisi ya jana linaendelea huku matokeo ya awali yakionyesha kuwa, Yoweri Museveni rais wa sasa anaongoza kwa wingi wa kura.
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na China wamesisitiza umuhimu wa kudumisha utulivu, kuheshimu uhuru wa nchi, na nafasi muhimu ya kidiplomasia katika kuzuia kuongezeka mizozo na mivutano.
#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo. Endelea kutufuatilia…
Serikali ya Pakistan imetangaza kuwa, katu haitataruhusu anga yake itumiwe kwa ajili ya kuishambulia kijeshi Iran.
Kenya imesaini makubaliano ya awali ya biashara na China ambayo yanaipa 98% ya mauzo yake ya nje ufikiaji usiotozwa ushuru katika soko kubwa la China. Hayo yameelezwa na serikali ya…
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba anatarajia kunogesha tamasha litakalowakutanisha watumishi wa Bunge na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wanaoshabikia klabu za Yanga na Simba akiwa mgeni rasmi.
#HABARI: Moto umezuka katika ghorofa la National Social Security House lililopo karibu na Mnara wa Askari, Posta jijini Dar es Salaam. Endelea kutufuatilia kwa habari kamili. Powered by #MCHEZOSUPA …
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 16, 2026
Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani, limewataka madereva waliokosa sifa za kupata leseni kurudia mitihani ya udereva inayotolewa na jeshi hilo ili waweze kukidhi vigezo vya kisheria…
Jengo la National Social Security House lililopo Posta Jijini Dar es Salaam limeshika moto muda huu na chanzo chake bado hakijajulikana. #kilichoborakabisa
Zaidi ya wananchi 200 wa kijiji cha Kihangaiko, kata ya Msata, wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani, wamepata elimu ya tiba, huduma za matibabu, pamoja na msaada wa vyakula kutoka…
Kada wa chama cha National Unity Platform (NUP), Alex Mufumbiro ametangazwa mshindi wa uchaguzi...
Mchambuzi wa uchumi, Ally Mkimo, amesema mabadiliko ya kiwango cha riba cha Benki Kuu (CBR) yana mchango mkubwa katika kuleta athari chanya na hasi kwa jamii, kutegemea mwelekeo wa riba…
Mkuu wa mkoa wa Mara kanali Evans Mtambia ameonesha kutoridhishwa na kasi ya Ujenzi wa chuo cha Ufundi Stadi Veta Mara kilichopo wilayani Rorya Mkoani Mara ambacho ujenzi wake ulianza…
Afisa Uhusiano wa Watumishi Housing Investment, Maryjane Makiwa, ameelezea mchakato wa kupata nyumba kupitia mradi wa watumishi housing investment ni rahisi, ikiwepo mtajea kujaza fomu ya maombi na kulipa kianzio,…
Bora wakubali tu Aziza na Devran waishi pamoja, Yusuf na Jemo bado mikakati yao haijafanikiwa. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku. #AzamTWO
Soma zaidi hapa...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 16/01/2026
Juma Suleiman Juma (51) mkazi wa Pujini Kibaridi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 16, 2026
Matokeo ya awali ya uchaguzi Uganda 2026, yalitolewa muda mfupi kabla ya saa tano usiku yanaonyesha Rais Yoweri Museveni wa NRM aliyemadarakani anaongoza kwa asilimia zaidi ya 60 ya kura…
Juhudi hizo zimeifanya Vodacom kutajwa kama mwajiri anayejali na kuthamini mchango wa kila...
Soma zaidi hapa...
Jumla ya Waganda 21,649,067 walijiandikisha kupiga kura katika vituo 50,739 nchini huko katika...
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Kenya William Ruto, amesema Serikali inatumia teknolojia katika utoaji huduma ili kupambana na rushwa, huku Tume ya Kupambana na Ufisadi Kenya ikisema inaaminika kuwa nchi…
UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena usiku wa leo kwa kupigwa mechi moja ya kiporo kati ya wanafainali wa Kombe la Mapinduzi 2026, Azam FC na Wagosi wa Kaya,…
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars kupangwa kundi B ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), Nahodha wa kikosi hicho, Anastazia Katunzi amesema wanafahamu ugumu na wanakwenda…
Idadi hiyo ya kihistoria imevunja rekodi ya awali ya mabao 102 iliyowekwa kwenye mashindano ya...
KMC inaendelea na maboresho katika dirisha hili dogo la usajili ambapo kikosi hicho cha Kinondoni jijini Dar es Salaam kiko kwenye hatua za mwisho za kumsajili kiungo Omary Chibada.
LINDI: TANZANIA has continued to demonstrate its status as A land of peace and a major global tourism destination following the arrival of the cruise ship Island Sky Nassau at…
BEKI wa kulia wa Pamba Jiji ya Mwanza, Yunus Lema ameshindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo kumrejesha kikosini katika dirisha dogo licha ya kuwa na takwimu nzuri katika…
Maadhimisho ya wiki ya huduma za fedha kitaifa yanatarajiwa kufanyika jijini Tanga Januari 19 hadi 26, 2026. Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha, kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni ”…
SIKU chache tu tangu winga wa Simba, Edwin Balua kuondoka Enosis Neon Paralimniou inayoshiriki Ligi Kuu Cyprus ikiwa na maskani katika Jiji la Paralimni aliyoitumikia kwa mkopo, kwa nyota huyo…
#KondaSmart ametupa changamoto ambazo anakutana nazo kwa baadhi ya abiria! 🤔 • #NyooshaMtaa
SHINYANGA: MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita ametoa zawadi ya Sh milioni 1.5 kwa walimu tisa na kombe la ushindi kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyabusalu kata ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 16, 2026
DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga, ameongoza watumishi wa wizara hiyo kumpokea Naibu Waziri mpya, Denis Londo, huku akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa karibu katika kutekeleza majukumu ya…
LISBON: TANZANIA continues to strengthen its diplomatic and economic relations with Portugal through efforts to enhance economic diplomacy. In this regard, Tanzania’s Ambassador, Ali Mwadini, paid an official visit to…
SHINYANGA: SERIKALI haitataka kuona mwanafunzi yeyote anakaa chini wala kusomea nje sababu imetoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa kwenye upungufu wa vyumba hivyo na wanafunzi wanaoishi mbali…
TOKYO: TANZANIA and Japan International Cooperation Agency (JICA) have affirmed to strengthen their long- existing cooperation in economic and social development projects, as the cooperation hits its six decades today.…
''Zamani nilikuwa nacheza kama jambazi'' Mtanga, Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Unalikumbuka kundi la TMK Wanaume Family ambalo lilitamba kwa staili yao ya uchezaji wa...
Uchaguzi mkuu wa Uganda umeendelea kuibua mjadala na malalamiko huku matokeo ya awali...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetoa shilingi bilioni 1.7 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuzalisha hewa tiba (oxygen) katika Hospitali ya Wilaya ya Mji Mafinga, iliyopo Halmashauri ya…
KINARA wa mabao wa Geita Gold, Maulid Shaaban amesema lengo alilonalo msimu huu ni kufunga mabao mengi katika mechi za timu hiyo ili mwisho wa msimu awe mfungaji bora katika…
DURU la kwanza wa Ligi ya Championship, unahitimishwa rasmi wikiendi hii na baada ya jana kuchezwa mechi mbili, nyingine tatu zitachezwa leo Jumamosi na kesho Jumapili, huku vita kali ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 16, 2026