Uchaguzi wa urais: Uganda: Yoweri Museveni anaongoza kwa 61.7%
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais yanaonyesha Yoweri Museveni akiongoza kwa kura 14,232 (61.7%); Bobi Wine anashika nafasi ya pili kwa kura 7,753 (33.64%), kulingana na Tume ya Uchaguzi…