🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 07, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 07, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 07, 2026
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera, amemualika Rais wa Urusi Vladimir Putin kutembelea nchi yake, shirika la habari la serikali la Urusi TASS liliripoti siku ya Jumatano.
Raia wawili wa China, Weisi Wang na Yao Licong wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na fedha taslimu…
Upepo unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi yanayofikia mita mbili umesababisha kudorora kwa shughuli za uvuvi na kuathiri shughuli za usafirishaji katika mikoa mitano ya Dar es Salaam, Tanga,…
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) imeendelea leo zikipigwa mechi tano ikiwemo ya Yanga Princess dhidi ya Mashujaa ambapo Wananchi hao waliondoka na ushindi wa mabao 4-1 Uwanja wa Azam Complex…
Matukio ya majanga ya moto nchini yameendelea kutishia usalama wa maisha ya watu na mali zao huku idadi ya matukio hayo ikiendela kuwa juu katika kipindi cha mwaka 2025. Miongoni…
#HABARI: Vilio vya wananchi na wakulima mkoani Pwani, vinaendelea kuibuka kufuatia kero ya majitaka yanayotiririshwa kutoka kwa baadhi ya viwanda, hali inayosababisha uharibifu wa mazao, kuchafua mazingira na kuhatarisha usalama…
Hakan Fidan ameeleza kuwa Uturuki "itachukua jukumu la kuimarisha ulinzi wa eneo la baharini pale amani itakapopatikana".
#HABARI: Wakulima wa zao la Pamba mkoani Singida, msimu huu wa kilimo wanatarajia kuongeza uzalishaji wa zao hilo tofauti na awali, kufuatia kutolewa matrekta 20 ambayo yana walimia kwa bei…
Uvumilivu umemshinda Jemo, kaamua akiwashe😆
Amesema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati mpana wa kuhakikisha vyuo vya Veta vinaendana na kasi...
Je, una Elimu ya kutosha ya kukabiliana na majanga ya moto? Takwimu za mwaka 2025 pekee zinaonesha ajili za moto zilifikia idadi ya zaidi ya 3,000 na kusababisha maafa ya…
Iran inazidi kukabiliwa na shinikizo la kimataifa huku maandamano yakiongezeka. Kauli kali za Trump zatishia nguvu za kijeshi na kuongeza mvutano.
Mkazi wa Sinza Kijiweni, jijini Dar es Salaam, Cuthbert Kalokola (34) na wenzake sita...
MOROGORO: HALMASHAURI ya Wilaya ya Morogoro inatarajia kutoa vyandarua bila malipo kwa kila kaya ili kukabiliana na ugonjwa wa malaria. Hatua hiyo ni mwanzo wa kuhamasisha kampeni ya utokomezaji wa…
Mchunguze Mussa...Kazi anayopewa Kachoi
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU..JANUARI 07, 2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 07/01/2026
#HABARI: Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Ng’wasi Kamani, ametoa agizo kwa Maafisa Mifugo na Uvuvi nchini kuhakikisha wanawafuata wafugaji na wavuvi katika maeneo yao ili kuwapatia huduma, badala…
#MICHEZO: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, ametoa maelekezo kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Soko la Mwanga, Manispaa ya Kigoma Ujiji, kuhakikisha mradi huo unakamilika kabla…
Dk Seif amebainisha kuwa kutokana na unyeti na mahitaji ya kipekee ya huduma katika hospitali...
#HABARI: Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo, Azim Dewji, amesisitiza kuwa maridhiano ya kitaifa ni nyenzo muhimu inayojenga misingi imara ya haki na utulivu, mambo ambayo ni kichocheo kikuu cha maendeleo…
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani amewaonya maofisa mifugo na uvuvi nchini wanaohudumia wafugaji na wavuvi ofisini badala ywa kwenda kwenye maeneo ya uzalishaji kuwa hatua kali dhidi…
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amemuagiza Katibu Tawala wa mkoa huo, Kiseo Nzowa, kuchukua hatua dhidi ya watumishi waliochelewesha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa madarasa mawili katika…
Waendesha mashtaka wanasema Abubakar Malami alitakatisha fedha za umma kati ya 2015 na 2023 kupitia washirika wake.
Kutokana na hali hiyo, JAB imetoa onyo kwa watu wote wanaofanya kazi za kihabari bila kuwa na...
Hifadhi ya Taifa ya Virunga imetangaza kwamba Sokwe wa milimani anayeitwa Mafuko amezaa mapacha wawili wa kiume katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, eneo ambalo limekumbwa…
Kitu gani kinaweza kukufanya usiweze kulala usiku kucha Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow…
Papa Leo anaongoza kikao chake cha kwanza cha baraza la maaskofu tangu achaguliwe kwenye nafasi hiyo mwaka jana kufuatia kifo cha mtangulizi wake Papa Francis
Mataifa ya Umoja wa Ulaya yamekuwa yakihangaika kuisadia Ukraine kusimama imara dhidi ya Urusi,huku juhudi za kusaka usitishaji vita zikikabiliwa na vigingi
#HABARI: Raia wawili (2) wa China ambao ni Weisi Wang (41) na Yao Licong wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya Uhujumu uchumi…
Baadhi ya watu wanasema kwa sasa, mitandao ya kijamii si chombo tena cha mawasiliano au...
Denmark na Greenland zazidi kuingiwa na wasiwasi baada ya rais Trump kurudia tena kauli yake ya kutaka kuichukuwa Greenland akidai ni kwa faida za kiusalama
DAR ES SALAAM: 72 participants have today, January 7, 2026. completed the Long Course at the Tanzania National Defense College (NDC-TZ) through a special lecture highlighting the contribution of the…
Mashambulizi ya Saudi ni baada ya Kiongozi wa baraza la mpito kukataa kushiriki mazungumzo ya nchini Saudi Arabia na hivyo kufukuzwa kwenye wadhifa wake na kukabiliwa na tuhuma za uhaini
Umoja wa Mataifa umesema kuwa miongo kadhaa ya vitendo vya ubaguzi dhidi ya Wapalestina vinavyofanywa na Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu, vinazidi kuongezeka.
Amesema waliokamatwa ni Yao Licong na Wang Weisi ambao ni wakazi wa Oysterbay Phonex Apartments...
SIMBA katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayofanyika Zanzibar, ilianza hatua ya makundi na clean sheet ikishinda 1-0 dhidi ya Muembe Makumbi City, lakini ikajikuta ikishindwa kulinda lango lake…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KATAVI- JANUARI 07, 2026
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has invested over 280bn/- in various electricity projects to ensure a reliable power supply in Dar es Salaam region. This was disclosed today, January…
Josep Borrell, mwanadiplomasia mkuu wa zamani wa Umoja wa Ulaya (EU) amesema, kambi hiyo inapaswa iache kuichukulia Marekani kama mshirika wake mkuu, huku Washington na Brussels zikiwa zinazozana hivi sasa…
Trump, ameendelea kuzua mjadala wa kimataifa baada ya kudokeza uwezekano wa kuendeleza sera ya...
UMEPITA mwezi mmoja tu tangu ilipopigiwa Dabi ya Mzizima Ligi Kuu Bara, ambapo ilishuhudiwa Simba ikipasuliwa kwa mabao 2-0 na Azam FC.
UONGOZI wa JKT Tanzania uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji nyota Said Zanda ‘Ronaldo’ kutoka Bigman inayoshiriki Ligi ya Championship baada ya pande mbili kufikia makubaliano.