DRC: Uchafuzi wa mazingira Kolwezi na tishio la uchafuzi wa mionzi
Serikali ya DRC inasema iko macho kutokana na hatari ya uchafuzi wa mionzi katika maeneo ya migodi huko Lualaba (kusini-mashariki). Suala lilitawala kikao cha baraza la mawaziri lililokutana siku ya…