Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya mlinzi wake wa amani huko Lebanon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amelaani vikali mauaji ya mlinda amani wa Umoja wa Mataifa aliyekuwa akihudumu katika Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon…