Mashambulizi dhidi ya vituo vya afya “ni mwiko” lazima yakome: Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani vikali shambulio la droni lililolenga Hospitali ya mafunzo ya El-Daein huko Darfur Mashariki nchini Sudan tarehe 20 Machi, na kusababisha vifo…