Zaidi ya raia 500 waliuawa Kordofan Sudan kati ya mwezi Januari na machi
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya raia 500 waliuawa nchini Sudan kati ya mwezi Januari na Machi, wakiwa kutoka eneo la Kordofan, kutokana na vita vinavyoendelea nchini humo. Imechapishwa: 24/03/2026…