IEBC yatishia kufuta uchaguzi mdogo Ol Kalou kisa vurugu na madai ya rushwa: “Kuregesha utulivu”
IEBC imeonya kwamba uchaguzi mdogo Ol Kalou uliopangwa kufanyika Julai 16 unaweza kufutwa kutokana na kuongezeka kwa vurugu na ripoti za rushwa kwa wapiga kura.