Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuendelea hii leo
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, Masoud Pezeshkian wa Iran na Ahmad al-Sharaa wa Syria wamepangwa kutoa hotuba zao mchana huu katika makao makuu ya umoja huo mjini New York, Marekani.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, Masoud Pezeshkian wa Iran na Ahmad al-Sharaa wa Syria wamepangwa kutoa hotuba zao mchana huu katika makao makuu ya umoja huo mjini New York, Marekani.
Kansela Friedrich Merz amesema Ujerumani inakabiliana na moja ya vipindi vigumu kabisa katika historia ya sasa, kufuatia misukosuko ya kilimwengu. Kwa mtazamo wa Merz bajeti ni muhimu kuimarisha uchumi wa…
Israel imetangaza siku ya Jumanne, Septemba 23, kwamba Kivuko cha Allenby, ambacho kinaunganisha eneo hili la Palestina na Jordan, kitafungwa. Hii ina maana kwamba Wapalestina zaidi ya milioni tatu katika…
Merz ameyasema hayo leo wakati akitetea bajeti inayopendekezwa na serikali yake kwa mwaka wa fedha wa 2026 katika mjadala mkuu wa bunge la Ujerumani, Bundestag.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amezitaka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuutambua mzozo wa mashariki mwa nchi yake kuwa ni "mauaji ya kimbari yanayoendeshwa kimya kimya".
Katika siku yake ya tatu mjini New York, na wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambao ni muhimu hasa kwa Emmanuel Macron kufuatia tangazo lake la kutambua taifa…
Umoja wa Mataifa (AFP) – Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba siku ya Jumanne, Septemba 23, katika Umoja wa Mataifa, ametangaza kwamba Tokyo kulitambua taifa la Palestina ni suala la…
Siku moja baada ya rais wa Marekani kubadili ghafla msimamo wake wa kuishambulia Urusi na kuiunga mkono Ukraine, msemaji wa rais wa Urusi Dmitry Peskov amesema kuwa “katika mahusiano yetu…
Kiongozi Mkuu wa Iran ametupili mbali mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani siku ya Jumanne kuhusu mpango wa nyuklia wa nchi yake, uwezekano wa kufunga mlango wa jaribio la…
“Muuaji huyu hapa,” Inspekta huyo akatuambia. Siwezi kusimulia mshituko nilioupata. Raisa alikuwa ametahayari vibaya sana. Aliinua macho yake mara moja akatutazama. Macho yake yalipokutana na yangu akayarudisha chini haraka.
Kwa msaada wa polisi wa usalama barabarani pikipiki ilikamatwa mara moja. Ilikutwa katika kituo cha bodaboda cha Kwaminchi. Mwenye pikipiki ndiye huyu hapa niliyekuja naye. Sasa nataka na yeye mumsikilize.”…
Alinipeleka katika chumba kimoja ambako nilimkuta mume wangu Sufiani akiwa pamoja na askari niliyemfahamu kwa jina la Sajin Meja Robert. Polisi hao walikuwa wamepata ushahidi kuwa siku ile lilipotokea tukio...
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepinga ombi la Washington la mazungumzo ya nyuklia na kusema kwamba hakuna taifa lolote huru na lenye heshima linaloweza kukubali…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya maeneo vituo vya nyuklia vya Iran ya…
Mkutano Mkuu wa 80 wa Umoja wa Mataifa umefunguliwa rasmi kwa hotuba ya Katibu Mkuu Antonio Guterres. Katika hotuba yake hiyo Guterres amesema kuwa, hati ya Umoja wa Mataifa na…
Ismail Baqaei, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikwali kitendo cha maafisa wa Marekani kuwawekea vikwazo wanadiplomasia wa Iran mjini New York.…
Mapigano ya kijeshi yameongezeka katika siku za hivi karibuni kati ya Jeshi la Sudan (SAF) na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko El Fasher, makao makuu ya Jimbo la…
Maafisa wa Uingereza wanahofia kuwa Donald Trump atatambua udhibiti wa Israel juu ya makaazi haramu katika Ukingo wa Magharibi, kulipiza kisasi uamuzi wa Uingereza, Australia, Ufaransa na nchi nyingine kulitambua…
Umoja wa Mataifa (AFP) – Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kutambua “mauaji ya halaiki yanayotekelezwa kimya…
Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema ameshangazwa na matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump, aliposema anaamini Kiev inaweza kuitwaa tena ardhi yake yote iliyonyakuliwa na Urusi.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema nchi yake itaandaa mkutano wa dharura kuangazia hali mbaya ya kibinaadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, utakaofanyika mwezi Oktoba.
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch, limesema mpango wa Marekani kuwapeleka wahamiaji katika nchi za Afrika unakiuka sheria ya haki ya kimataifa, na lazima…
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amekataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani kuujadili mpango wa nyuklia wa Iran.
Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina, huku Marekani ikionekana kutengwa katika uungaji mkono wake mkubwa kwa mshirika wake Israel.
Leo ni Jumatano tarehe Mosi Rabiul Thani 1447 Hijria Qamaria sawa na Pili Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe 24 Septemba 2025 Miladia.
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kabla ya kuondoka kuelekea New York kwamba haiwezekani kuwa na mazungumzo na mtu yeyote ambaye ana nia ya “kulazimisha, kudhulumu, kufanya hila au kuvuruga…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametuma salamu za pongezi kwa Mfalme, Mrithi wa Kiti cha Ufalme, na wananchi wa Saudi Arabia katika maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya ufalme huo.
Mhadhiri mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Tehran ametangaza chanjo yenye akili mnemba (AI) kwa ajili ya kutibu saratani ya mapafu.
Rais wa zamani wa Malawi, Peter Mutharika, ameibuka na uongozi wa kishindo katika hesabu za kura za uchaguzi wa urais, akijikusanyia takriban asilimia 66 ya kura zilizohesabiwa hadi sasa.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, ametangaza kuwa licha ya msaada wa Marekani katika upatanisho wa migogoro, nchi yake haitauza kwa bei rahisi au kupiga mnada…
Benyamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, amekiri kwamba utawala huu unaishi katika aina fulani ya kutengwa kimataifa.
Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina//Ukraine imeelezea kushangazwa na matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kusema…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua zilizochukuliwa na mataifa ya Magharibi kulitambua taifa huru la Palestina / Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida la The…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema, amani ya kudumu huko Gaza haitawezekana kujengwa kwa kuendeleza ghasia / Kansela Friedrich Merz amesema Ujerumani…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza vuguvugu la Antifa kuwa shirika la kigaidi. Tatizo ni kwamba, si shirika kabisa — na haijulikani ni nani hasa ambaye uchunguzi uliotangazwa unaweza kuwalenga.
Rais Donald Trump ameanza hotuba yake katika UNGA-80 akitaja mafanikio ya sera za kigeni, kukosoa taasisi za kimataifa na kutetea sera yake ya America First, huku viongozi wa dunia wakimsikiliza…
Viongozi wa Afrika wanaohudhuria Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) wanapigia debe nafasi kubwa zaidi duniani, mageuzi ya Baraza la Usalama la UN, na kuungwa…
Jumuiya ya Kujihami NATO imeionya Urusi hii leo kwamba, itatumia njia zote kujilinda dhidi ya ukiukaji wowote zaidi wa anga yake baada ya matukio mawili ya urushwaji wa ndege za…
Rais wa Marekani Donald ameukosoa Umoja wa Mataifa akisema umejaa maneno matupu na kwamba taasisi hiyo haisaidii katika kuleta amani ulimwenguni.
Waziri Mkuu wa Denmark Mette Frederiksen amekitaja kitendo cha idadi kubwa ya droni zilizoruka katika uwanja wa ndege wa Copenhagen kwa masaa kadhaa kuwa ni shambulio baya zaidi kwa miundombinu…
Jeshi la Israel hii leo limeendelea kusogea zaidi katika maeneo yenye wakaazi wengi katika Jiji la Gaza siku moja baada ya mataifa kulitambua taifa la Palestina.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hii leo kwamba kupunguzwa kwa bajeti ya misaada kumesababisha uharibifu mkubwa.
Wapiga kura nchini Guinea wameunga mkono kwa kishindo kura ya maoni ya katiba mpya ambayo inaweza kuruhusu kiongozi wa kijeshi Mamady Doumbouya kuwania urais ikiwa ataamua.
Hungary mara kwa mara hutumia kura ya turufu katika siasa za Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine, na hivyo kudhoofisha msimamo wa pamoja wa kigeni. Nchi wanachama sasa zinatafuta mbinu mbadala,…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria jitihada za maadui za kuzusha hitilafu na mgawanyiko baina ya nchi za Kiislamu; na kushindwa kuasisiwa uhusiano wenye matunda katika…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amewaenzi wanafunzi 34 waliouawa shahidi katika mashambulizi ya kichokozi ya Israell dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwezi Juni mwaka…
Israel imefanya mashambulizi zaidi katika Ukanda wa Gaza, na kuwaua shahidi Wapalestina wengine kadhaa huku jamii ya kimataifa ikishindwa kukomesha mauaji ya kimbari yautawala huo yanayoungwa mkono na Marekani.
Wakati vita vya Israel dhidi ya Gaza vikiendelea, Rais wa Afrika Kusini amesisitiza kuhusu dhamira ya nchi yake ya kupatikana njia ya ufumbuzi wa mataifa mawili ili kuhitimisha mzozo uliodumu…