Fahamu programu ya JozaniAI, inayotumiwa Zanzibar kuboresha huduma za utalii
Programu ya JozaniAI, imeandaliwa kwa ushirikiano na shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo, UNDP nchini Tanzania ambapo Naibu Mwakilishi wake, John Rutere akizungumza na Idhaa ya Kiswahili…