Wapinzani Zimbabwe waapa kupinga azma ya kurekebisha katiba
Viongozi wa upinzani nchini Zimbabwe wameapa kupinga ndani na nje ya nchi marekebisho ya katiba yanayomruhusu Rais Emmerson Mnangagwa kuongeza muda wa utawala kwa miaka miwili na kufuta uchaguzi wa…
Ukiwa kama ndugu abiria ni ujumbe gani umewahi kukutana nao katika Daladala
Ukiwa kama ndugu abiria ni ujumbe gani umewahi kukutana nao katika Daladala (Feed generated with FetchRSS)
Ukiwa kama ndugu abiria ni ujumbe gani umewahi kukutana nao katika Daladala
Ukiwa kama ndugu abiria ni ujumbe gani umewahi kukutana nao katika Daladala (Feed generated with FetchRSS)
Mchumi, Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA ) Bi
Mchumi, Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA ) Bi. Amina Nkinga akifafanua jambo kwa Afisa Habari kutoka Wizara ya Habari ,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Shaminu Nyaki aliyetembelea banda…
IOC, ANOCA zamthibitisha Anthony Mtaka kuwa Rais wa TOC
Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) na Chama cha Kamati za Kitaifa za Olimpiki Afrika (ANOCA), zimeidhinisha rasmi matokeo ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC)…
Why Tanzania is poised for its next chapter
DODOMA: TANZANIA is entering what the government describes as a decisive phase in its development journey, with the 2026/27 budget laying the groundwork for implementation of Vision 2050, the country’s…
Nkasi yapata kituo cha afya cha bil 1.8/-
RUKWA: Serikali imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu ya kisasa, ambapo Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Juma Zuberi Homera, amezindua Kituo…
Chadema yawachukulia hatua viongozi waliomtuhumu Heche
Viongozi hao pia wametakiwa kuwasilisha uthibitisho wa tuhuma walizozitoa dhidi ya Heche ndani...
Mudavadi Atangaza Azma ya Urais, Asema Hataki Kuwa Naibu wa William Ruto
Musalia Mudavadi ametangaza azma ya kuwania urais 2032, akisema hataki tena kuwa naibu wa rais huku akiwataka Wakenya kumuunga mkono Ruto 2027.....
Mudavadi awaambia uinzani kushinda urais si rahisi kama wanavyofikiria: “Ni ngumu”
Waziri Mkuu Musalia Mudavadi anasisitiza changamoto za kumshinda Rais Ruto katika uchaguzi wa 2027 wakati wa uzinduzi wa madarasa katika Shule ya Upili ya Sikhendu.
Dar kujengwa kituo maalumu kuimarisha uwezo wa walimu
DAR ES SALAAM: HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imetenga Sh bilioni 432 kwa ajili ya ujenzi wa kituo maalumu cha umahiri kitakacholenga kuinua ubora wa elimu cha Edward…
Outer ring road cuts travel time, boosts business
DODOMA: DODOMA’S outer ring road has nearly halved travel time for heavy trucks, easing traffic congestion in the city centre while opening up new business opportunities for communities along the…
TFS yapongezwa kurejesha hekta milioni 3.3 za misitu
MOROGORO: OFISI ya Makamu wa Rais imewapongeza wadau wa mazingira ukiwemo Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Mradi wa Urejeshaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bayoanuai nchini…
Police arrest 130 over alleged criminal plot
TANZANIA: THE Police Force has arrested 130 suspects across the country over alleged involvement in planning and inciting criminal activities through social media and private meetings, police said yesterday. Police…
Njombe launches dialysis services for public
NJOMBE: NJOMBE Regional Referral Hospital has officially launched kidney dialysis services, becoming the first regional referral hospital in the country to offer the specialised treatment under the government’s drive to…
Machozi Bomet: Watoto 3 wa Familia Moja Wazikwa Pamoja Baada ya Moto wa Kutisha
Moto wa usiku wa manane Kimatisio, kaunti ya Bomet uliua ndugu watatu, Elisha, Joy na Emmanuel Kiptoo, ukiacha familia na jamii katika majonzi makubwa.
Samia, Mwinyi to grace Kizimkazi festival
ZANZIBAR: THE Presidents Dr Samia Suluhu Hassan and Dr Hussein Ali Mwinyi, are expected to officiate at the 2026 Kizimkazi Festival scheduled for next month in South Unguja Region. Speaking…
What accord entails
ZANZIBAR: THE Joint Declaration and Action Agenda signed by Chama Cha Mapinduzi (CCM) and ACT Wazalendo sets out an ambitious programme of political, constitutional and governance reforms aimed at strengthening…
Wasio na nidhamu ya usingizi hatarini kuugua magonjwa haya
Utafiti mpya umebaini kuwa tabia ya kulala bila ratiba maalum pamoja na kupata usingizi wa...
Samia urges parties to uphold reconciliation pact
ZANZIBAR: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan yesterday urged Chama Cha Mapinduzi (CCM) and ACT-Wazalendo to honour the commitments made under their Joint Political Declaration, calling for continued dialogue, openness and mutual…
Wagonjwa wa kisukari, shinikizo la damu wanavyokosa uelewa wa lishe
Utafiti umebaini kuwa zaidi ya nusu ya wagonjwa wanaoishi na kisukari, shinikizo la damu au...
GNU accord ushers in hope
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Dr Hussein Mwinyi and ACT Wazalendo National Chairman Othman Masoud Othman have expressed confidence that a reconciliation accord signed by Chama Cha Mapinduzi (CCM) and ACT Wazalendo…
Majengo 10 marefu zaidi Afrika Mashariki 2026
Mandhari ya anga ya Afrika Mashariki inabadilika kwa kasi huku majengo marefu ya Nairobi, Dar es Salaam, na Kigali yakichukua nafasi ya juu, jambo linaloakisi ukuaji wa uchumi na azma…
Epuka kuanza siku kwa vyakula, vinywaji hivi
Asubuhi ni mwanzo wa siku mpya, muda muhimu ambao mwili na akili hujiandaa kwa majukumu ya siku...
Msumbiji: Sergey Lavrov apendekeza msaada wa Urusi katika mapambano dhidi ya ugaidi
Baada ya Addis Ababa na Niamey, Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi ameendelea na ziara yake barani wakati huu akiwa nchini Msumbiji. Siku ya Alhamisi, Julai 9, alikutana na…
Taiwan yajiandaa kuwasili kwa Kimbunga Bavi, chenye nguvu zaidi tangu 1995
Kisiwa hiki kiko macho dhidi ya Kimbunga Bavi, kinachotarajiwa kutua katika pwani zake za kaskazini na mashariki usiku wa Ijumaa, Julai 10 kuamkia Jumamosi, Julai 11. Kwa mvua kubwa na…
Zimbabwe: Upinzani, mashirika ya kiraia, na makanisa kupambana dhidi ya marekebisho ya Katiba
Kufuatia kutangazwa kwa marekebisho mapya ya katiba ambayo, miongoni mwa mambo mengine, yatamruhusu rais kuongeza muhula wake kwa miaka miwili na kuondoa haki ya kupiga kura ya moja kwa moja…
Wawekezaji sasa kufurahia michezo yote ya kasino mtandaoni kupitia Helabet
Mwekezaji anahitaji kutumia akaunti yake ileile ya Helabet kuingia na kucheza michezo yote...
EU inataka kuzuia uagizaji wa bidhaa kutoka maeneo yanayokaliwa na walowezi wa Israel
Mabalozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya, EU) huko Brussels wanajadili leo Ijumaa, Julai 10, uwezekano wa kuzuia uagizaji wa bidhaa kutoka maeneo yanayokaliwa na walowezi wa Israel…
BMH, JKCI save Burundian children in landmark heart surgery
DODOMA: BENJAMIN Mkapa Hospital (BMH), in collaboration with the Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), has successfully performed life-saving heart surgery on three children from Burundi in a landmark achievement that…
DRC: Nizi, eneo lililokumbwa na ukosefu wa usalama ambapo Ebola inaenea kwa kasi zaidi
Kulingana na hesabu ya hivi karibuni, mlipuko wa Ebola umesababisha vifo vya watu 625 kati ya wagonjwa 1,792 walioothibitishwa. Ugonjwa huo pia linaenea kwa kasi zaidi kuliko mlipuko ulopita, kulingana…
Magazeti ya Kenya: Linda Mwananchi yaweka tarehe ya kuzinduliwa kwa safari ya Sifuna kwenda Ikulu
Edwin Sifuna anatarajiwa kuzindua rasmi kampeni yake ya kusaka urais 2027 baadaye mwezi huu hii ni baada ya Linda Mwananchi kutangaza tarehe ya tangazo hilo.
Sudan: Jeshi lapata mafanikio makubwa Blue Nile na Darfur
Jeshi la kawaida limepata ushindi mkubwa katika Blue Nile, na pia huko Kordofan na haswa huko Darfur, ngome ya SRF. Mnamo Julai 9, jeshi la serikali ya Sudan lilitangaza rasmi…
Mbappe, Dembele walivyoipeleka Ufaransa nusu fainali
Ufaransa imeendelea kuwa mwiba kwa Morocco, ikifanikiwa kurudia ushindi wa mabao 2-0 na...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kukutana na Emmanuel Macron katika Ikulu ya Élysée
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa anaanza ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Ufaransa. Atakutana na Emmanuel Macron mjini Paris, fursa ya kujenga upya uhusiano wa kirafiki baada ya…
Vita vya Ukraine vilivyobadili uhusiano kati ya Putin na matajiri wa Urusi
Kuondoka kwa makampuni mengi ya kigeni baada ya uvamizi wa Ukraine kuliacha nafasi kubwa katika soko la Urusi. Nafasi hiyo ilijazwa haraka na wafanyabiashara wenye uhusiano wa karibu na Kremlin,…
DRC: Muungano wa upinzani wa C64 waweka masharti yake kabla ya mazungumzo yoyote na Kinshasa
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, muungano wa upinzani wa C64 umeweka masharti yake kabla ya mazungumzo yoyote na serikali. Wajumbe wa upinzani walifanya mkutano na waandishi wa habari mjini…
Mbappé azamisha meli ya Morocco na kuipeleka Ufaransa katika nusu fainali ya Kombe la Dunia
Kylian Mbappé aling'aa wakati Ufaransa ilipoishinda Morocco, akifunga bao na kumsaidia Dembélé kufunga la pili, kuipeleka Ufaransa nusu fainali ya Kombe la Dunia.
Nigeria: Rais Tinubu ataka kufanyika uchunguzi kuhusu kashfa ya shirika “bandia” la serikali
Nchini Nigeria, Rais Bola Tinubu ameagiza kufunguliwa haraka kwa uchunguzi kuhusu kashfa ya Baraza la Rais bandia la Kukuza Uwekezaji wa Kigeni. Imechapishwa: 10/07/2026 – 06:10Imehaririwa: 10/07/2026 – 06:11 Dakika…
Hali iko vipi katika miji mitano yenye ubora wa juu wa maisha 2026?
Mji mkuu wa Denmark, Copenhagen, unasalia kuwa jiji bora zaidi kuishi duniani kwa mwaka wa pili mfululizo kwa mujibu wa Ripoti ya Global Livability Index ya 2026.
KONA YA MSTAAFU: Haki ya mstaafu kulipwa pensheni ya Sh500,00 kwa mwezi
Mstaafu anamshukuru sana Mungu kwa kumfanya kuwa miongoni mwa waliokuwa wakiitwa 'Matineja'...
Wakaazi wa Johannesburg wawakamata wageni na kuwakabidhi kwa polisi
Baadhi ya waandamanaji nchini Afrika Kusini wanaopinga uwepo wa wageni wasio na vibali nchini humo, Alhamisi Julai 2026 walipita nyumba kwa nyumba kwenye baadhi ya vitongoji vya jiji la Johannesburg…
Marekani na Iran zashambuliana wakati Khamenei akizikwa
Marekani na Iran zimeendelea kushambuliana kwa mashambulizi yaliyodumu hadi Alhamisi, wakati Ayatollah Ali Khamenei alipokuwa akizikwa baada ya siku sita za shughuli za maombolezo.
Raia wa Zambia wajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwezi ujao
Nchini Zambia wakati huu raia wakijiandaa kwa uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao, Rais Hakainde Hichilema licha ya kupewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huo kwa muhula mwengine, anatarajiwa kupimwa kutokana…
Ufaransa yafuzu nusu fainali ya kombe la dunia, yaiondoa Morocco
Wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe na Ousmane Dembele, usiku wa kuamkia leo walifunga magoli muhimu yaliyotamatisha safari ya wawakilishi pekee wa Afrika waliokuwa wamesalia kwenye fainali…