SUDAN: Kilichobainika El Fasher kinaashiria mauaji ya kimbari; Uchunguzi wa dharura waanza El Obeid
Tume huru ya Umoja wa Mataifa ya Kuchunguza Ukweli kuhusu mzozo unaoendelea Sudan imesema mauaji ya halaiki, ubakaji wa makundi na utekaji wa kimfumo wa wanawake na wasichana unaodaiwa kufanywa…