JKT, Kagera zavuka maji kumsaka Pina
TAARIFA kutokea visiwani hapa zinabainisha kwamba, kuna timu mbili kutokea Tanzania Bara, zimevuka maji kumfuata mshambuliaji Abdallah Iddi 'Pina' kwa ajili ya kutaka huduma yake kuelekea msimu ujao.
Masalanga, Kalambo wawekeza nguvu kuinua vipaji
MAKIPA Hussein Masalanga wa Yanga na Aaron Kalambo wa Transit Camp FC wameamua kuweka nguvu zao katika kuendeleza makipa chipukizi kufikia ndoto zao.
Azam kushusha vyuma viwili kutoka DR Congo
AZAM FC imewaleta nchini nyota wawili kutoka DR Congo ni beki Jeancy Mpindi Mukuene na winga Henoc Molia kwa lengo la kukamilisha usajili wao kuelekea msimu mpya.
PCCB moves to address project management gaps in Singida
SINGIDA: As the Central Government releases funds for the implementation of various development projects in councils across the country, the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in Singida Region,…
Barker alivyogeuka ‘mbogo’ kwenye vyumba vya kubadilishia nguo
KOCHA wa Simba, Steve Barker amewapongeza wachezaji wa timu yake kwa kuonyesha juhudi, nidhamu na ari ya kupambana baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ambao umeifanya…
Simba, Azam zapelekwa Pemba fainali Shirikisho
MECHI ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Simba dhidi ya Azam, imepangwa kuchezwa Julai 4, 2026 kwenye Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti haijakubaliana na mapendekezo ya Serikali ya kufanya mabadiliko katika Benki Kuu, ikieleza k…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti haijakubaliana na mapendekezo ya Serikali ya kufanya mabadiliko katika Benki Kuu, ikieleza kuwa miongoni mwa sababu ni hatua hiyo kuondoa sharti la Benki…
Nairobi: Mwanamke Aliyetoweka Baada ya Kuabiri Teksi Kutoka Kazini Utawala Apatikana Amefariki
Ninaomboleza dadangu Ann, aliyepoteza maisha baada ya kuagiza teksi ya Bolt. Maswali mengi bado yanaibuka kuhusu kilichotokea na uzembe unaodaiwa kufanywa na polisi.
Wadau wa elimu nchini wamekuwa wakihoji muda wa kukamilika kwa ujenzi wa vyuo 65 vipya vya mafunzo ya ufundi stadi vinavyojengwa…
Wadau wa elimu nchini wamekuwa wakihoji muda wa kukamilika kwa ujenzi wa vyuo 65 vipya vya mafunzo ya ufundi stadi vinavyojengwa nchini kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 100,…
Wakati wengi wakiwakwepa ndege wa porini, Rodgers Oloo Magutha wa nchini Kenya ameigeuza hofu hiyo kuwa dhamira ya kuokoa maisha…
Wakati wengi wakiwakwepa ndege wa porini, Rodgers Oloo Magutha wa nchini Kenya ameigeuza hofu hiyo kuwa dhamira ya kuokoa maisha ya ndege waliotelekezwa na kujeruhiwa. Kutoka maisha ya mtaani hadi…
Hanlink Mobility Tanzania has announced the official unveiling of its new showroom and the launch of the SINOTRUK brand in Tanza…
Hanlink Mobility Tanzania has announced the official unveiling of its new showroom and the launch of the SINOTRUK brand in Tanzania. The event, scheduled for 26th June 2026 in Dar…
Urusi imeituhumu Marekani kwa kupoteza sifa ya kuwa mpatanishi asiye na upendeleo katika mzozo wa Ukraine, ikionya kuwa mataifa …
Urusi imeituhumu Marekani kwa kupoteza sifa ya kuwa mpatanishi asiye na upendeleo katika mzozo wa Ukraine, ikionya kuwa mataifa ya Magharibi yanajiandaa kwa vita vya wazi dhidi yake. Kauli hiyo…
Chipsi soda Sh83,800 Kombe la Dunia
Unaweza kuwaona mashabiki wa soka wakiwa na raha katika Fainali za Kombe la Dunia 2026...
Haya hapa mambo manne Ligi Kuu ikibakiza mechi mbili
Wakati nyota wa Namungo, Fabrice Ngoy akiwa mchezaji wa tatu kufunga mabao matatu (hat trick) katika mchezo mmoja wa Ligi Kuu Bara, mambo manne yamebadilika ghafla.
Uchunguzi Wabadilisha Mwelekeo wa Kesi ya Utumishi Academy, Mwanafunzi Mmoja Aachiwa Huru
Mahakama imemwachilia huru mshukiwa mmoja aliyehusishwa na mkasa wa moto katika Shule ya Upili ya Wasichana ya Utumishi baada ya uchunguzi kubaini hakuhusika.
Yanga, Simba zafuzu Ligi ya Mabingwa, ubingwa bado
Yanga na Simba zimekata rasmi tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao baada ya kila moja kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mechi zilizocheza dhidi ya timu…
Yanga, Simba zafuzu Ligi ya Mabingwa
Yanga na Simba zimekata rasmi tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao baada ya kila moja kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mechi zilizocheza dhidi ya timu…
Maambukizi fiche yakwamisha vita dhidi ya malaria
Licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kupunguza maambukizi na vifo vinavyotokana na malaria...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MH. DK. SAMIA SULUH HASSAN amewaagiza wataalamu wa tafiti za magonjwa ya saratani nchini kushirikiana na wataalamu wengine kuhakikisha wanafanya uchunguzi wa kina…
Junguni yaweka rekodi kufungwa
LIGI Kuu ya Zanzibar msimu wa 2025-2026 imemalizika Juni 12, 2026 kwa timu ya KVZ kutwaa ubingwa huo huku Junguni ikiweka rekodi ya kufungwa mabao 106 kwenye michezo 30.
Ruto afichua kilichovunja maridhiano yake na Gideon Moi baada ya miezi minane ya usuhuba
Muungano wa kisiasa wa Rais Ruto na Gideon Moi unakabiliwa na msukosuko huku shutuma za tamaa zikiibuka, na kufichua mvutano baada ya mapatano yao ya Oktoba.
Ngoy apiga tatu, Nduwumwe amfikia Fei Toto
Mshambuliaji nyota wa Namungo FC, Mkongomani Fabrice Ngoy akifunga Hat Trick ya tatu katika Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya kuifungia timu hiyo mabao matatu kwenye ushindi wa 3-2,…
Yanga yaichaka Azam yakomaa kileleni
Safari ya Yanga kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu imebakisha vituo viwili baada ya kuifunga Azam mabao 3-0 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Yanga yaichakaza Azam yakomaa kileleni
Safari ya Yanga kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu imebakisha vituo viwili baada ya kuifunga Azam mabao 3-0 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
ACT wataka tume ya uchunguzi mfumo wa utoaji ZAN ID
Mjadala kuhusu haki za Wazanzibari, ulinzi wa utambulisho wao na mustakabali wa Muungano...
Simba yaichakaza Mtibwa, ila mhh…
Mashabiki wa Simba pamoja na kushuhudia timu yao ikitoa kipigo kizito mbele ya Mtibwa Sugar walitoka kwenye Uwanja wa Jamhuri wakiwa hawana furaha baada ya kupata taarifa ya kilichotokea Zanzibar.
Kigogo KVZ afichua siri ya ubingwa
MKUU wa Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ), Kanali Said Juma Shamhuna, amesema kutwaa ubingwa wa kwanza wa Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) ni juhudi za uwekezaji wa miaka 22.
Takukuru yamnasa mtuhumiwa aliyekwepa hukumu ya miaka 20 jela
Mlay alikuwa akikabiliwa na Shauri la Jinai Na. 000011512/2024 katika Mahakama ya Wilaya ya...
Wiki ya utumishi wa umma ilivyogusa maisha ya watu
Ndani ya siku nane wananchi wa Dodoma na mikoa ya jirani wamenufaika na huduma mbalimbali...
Mapato yatokanayo na madini yaongezeka kwa asilimia 113.34
Kwa mujibu wa Samamba, hadi sasa utafiti wa kina wa madini umefanyika katika asilimia 16 ya...
Shirika kuwainua wajasiriamali, wafugaji Iringa
IRINGA: Shirika la Hand in Hand Eastern Africa – Tanzania (HIHEA) limezindua rasmi ofisi yake mkoani Iringa na kuanza utekelezaji wa mradi wa Inua 2, hatua inayolenga kuwainua kiuchumi wananchi…
Comesa yalenga kurahisisha biashara kupitia mfumo wa bima Kidijitali
Matumizi ya teknolojia ya kidijitali katika Mfumo wa Kadi ya Njano ya Soko la Pamoja la Nchi za...
Yaliyotikisa mjadala wa bajeti Zanzibar
Wakati Baraza la Wawakilishi likihitimisha siku 47 za mjadala wa bajeti na kupitisha makadirio...
Mwanamke apatikana amefungwa minyororo ndani ya chumba cha giza kwa zaidi ya mwaka
Ripoti za kutisha ziliibuka wakati mwanamke mwenye umri wa miaka 36 alipatikana amefungwa minyororo kwenye chumba cha giza na kakake, akifichua kutelekezwa
Migogoro, ukosefu wa masoko vyatikisa ushirika Morogoro
Wakati Mkoa wa Morogoro ukiendelea kujivunia mafanikio makubwa ya sekta ya ushirika...
Samia aagiza utafiti ongezeko magonjwa ya moyo, saratani
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watafiti nchini kufanya uchunguzi wa kina kubaini sababu za...
Wananchi wachangamkia fursa ya maandalizi ya Sabasaba
Ikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya...
Profesa Pius Mbawala afariki dunia Muhimbili
Akizungumza na Mwananchi leo, Juni 24, 2026, mtoto wa marehemu, Priscila Mbawala, amesema baba...
Tantrade yatangaza mambo mazuri maonesho ya Sabasaba
DAR ES SAlAAM :Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo Ya Biashara (TanTrade Dk,Latifa Khamis amesema maonesho ya 50 ya Sabasaba ya mwaka kwa waoneshaji wa ndani ni 3,752 ukilinganisha na…
Atupwa miaka 20 jela kwa kumdhalilisha mtoto
Mkazi wa Kata ya Chokaa, Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Almas Ramadhani (35), amehukumiwa...
Dk Mwinyi amuapisha Mansura kuwa Katibu Mkuu Kiongozi
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemuapisha Mansura Mossi Kassim kuwa Katibu wa Baraza la...
When farmers lead, agroecology delivers food security and resilience
TANZANIA: ACROSS Africa, where millions of households depend on agriculture for food, income, and livelihoods, a quiet transformation is taking place. Farmers are increasingly turning to agroecology as a sustainable…
Wananchi Kigoma wakumbushwa kutunza barabara
KIGOMA: Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kigoma imetoa rai kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa miundombinu ya barabara kushiriki kikamilifu katika kulinda na kutunza miundombinu…
Tanapa inavyokuwa mfano wa usawa wa jinsia kwa taasisi za umma
Arusha. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) limeongeza idadi ya wanawake katika...
Mchele kicheko, viazi vyang’ata tena Mbeya wakulima
Mwananchi imefika katika soko la Sido, ambapo bei ya mchele katika mashine za kusaga na kukoboa...
Wamiliki wa matatu wavunja ukimya kuhusu maandamano ya Juni 25
Chama cha Wamiliki wa Matatu (MOA) kimefafanua iwapo magari ya umma yataendelea kuhudumu wakati wa maandamano ya Juni 25 huku vyombo vya usalama vikitoa tahadhari
From liberation allies to security partners for peace, regional development
SONGEA: The enduring relationship between Tanzania and Mozambique continues to stand as one of Africa’s most compelling examples of genuine solidarity, mutual respect, and regional cooperation. Rooted in a shared…