Israel: Rais wa Somaliland akaribisha kufunguliwa kwa ‘ukurasa mpya’ kati ya nchi hizo mbili
Rais wa Somaliland, Abdirahman Mohamed Abdullahi, amepokelewa siku ya Jumapili, Juni 14, 2026, mjini Jerusalemu, na mwenzake wa Israel, Isaac Herzog. Hii ilikuwa ziara ya kwanza rasmi ya kiserikali ya…