Pentagon kutuma wanajeshi 1,500 kukabiliana na waandamanaji Minnesota
Wizara ya Vita ya Marekani (Pentagon) imewaamuru wanajeshi wapatao 1,500 walio kazini wawe tayari kutumwa kwenda kukandamiza maandamano huko Minnesota.
Wizara ya Vita ya Marekani (Pentagon) imewaamuru wanajeshi wapatao 1,500 walio kazini wawe tayari kutumwa kwenda kukandamiza maandamano huko Minnesota.
Rais wa uongozi wa muda wa Venezuela, Delcy Rodriguez, amethibitisha tena kwamba Caracas ina haki ya kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na China, Cuba, Iran na Russia na kupinga uingiliaji wa…
Mahakama ya Iran imesema itawafikisha mahakamani watu wote waliohusika katika kusababisha vifo vya watu wakati wa machafuko ya hivi karibuni nchini kote, ikiahidi adhabu kali kwa watakaopatikana na hatia.
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amewatolea wito maafisa wa Somaliland kushiriki katika mazungumzo na serikali yake; akisema kuwa yuko tayari kuafikiana katika masuala yote isipokuwa "umoja wa nchi."
Machafuko ya hivi karibuni nchini Iran na tishio la Trump kuishambulia kijeshi Iran ikiwa ni katika madai ya kuwaunga mkono wanaojiita waandamanaji vimezifanya nchi za eneo kuwa na wasiwasi mkubwa.
Kiongozi wa upinzani na mshindani mkuu wa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni nchini Uganda, Robert Kyangulani maarufu kama Bobi Wine amesema hakubaliani na matokeo ya uchaguzi…
Wakazi wa Greenland walifanya maandamano jana Jumamosi kupinga azma ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kutaka kisiwa hicho cha Aktiki kikabidhiwe Washington, wakisisitiza kuwa wakazi wa eneo hilo wanapasa…
Rais wa Marekani, Donald Trump amezitaka nchi mbali mbali duniani zilipe angalau dola bilioni 1 ili kusalia katika "Bodi ya Amani" ya Gaza, baada ya kumalizika muhula ulioanishwa wa miaka…
Msemaji wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Iran amesema: Mabalozi wa nchi kama vile Ujerumani, Uingereza na Ufaransa ndio waliochochea ghasia na kusimamia…
Wananchi katika nchi za Pakistani na Iraq wamefanya maandamano kuiunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mbele ya vitendo…
Shirika la Taifa la Gesi la Iran limetangaza kuwa, limeweka rekodi mpya ya uzalishaji wa kila siku wa gesi asilia, sambamba na kuongezeka mahitaji ya familia, mitambo ya umeme na…
Waziri Mkuu wa Iraq amekosoa vikali unyama na mauaji ya kigaidi huko Ghaza na Lebanon, mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel nchini Syria, pamoja na tishio dhidi ya Iran ambayo ni…
Taarifa za awali zinasema kuwa watu wasiopungua wanane wamepoteza maisha na wengine zaidi ya ishirini wamejeruhiwa baada ya moto mkubwa kuzuka katika eneo la Makina la makazi duni ya watu…
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa…
Shirika la ujasusi la Iran limetangaza kuwa limemkamata mmoja wa maajenti wa ngazi ya juu aliyepewa mafunzo na mashirika ya ujasusi ya Marekani na Israel.
Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ametoa indhari kali kwa Saudi Arabia na Misri kuhusiana na hatua zinazochukuliwa na utawala wa kizayuni wa Israel na akasema:…
Mamady Doumbouya, jenerali aliyeongoza jeshi la Guinea kuchukua madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi mnamo mwaka 2021, ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Ikulu ya White House imetangaza majina ya wajumbe wa linaloitwa baraza la amani litakaloongozwa na Rais wa Marekani Donald Trump na kusimamia utawala wa eneo la Palestina la Ukanda wa…
Muungano wa mashirika yasiyo ya kiserikali ya Uingereza (NGOs) umeitaka serikali ya nchi hiyo kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Israel, na kuonya kuwa silaha zinazotengenezwa Uingereza ziko hatarini…
Tehran imemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kukariri uzoefu uliofeli wakati wa vita vya siku 12 vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.
Leo ni Jumapili 28 Rajab 1447 Hijria sawa na 18 Januari 2026 Miladia.
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Yoweri Kaguta Museveni kama mshindi wa Uchaguzi wa Rais uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura 7,946,772 ambayo ni asilimia 71.65% ya…
Kufuatia kuongezeka vitisho vya Rais Donald Trump dhidi ya Mexico, maafisa wa Wizara ya Vita ya Marekani wametangaza kuwa uwezekano wa kufanyika operesheni za kijeshi nchini Mexico umeongezeka.
Bunge la Marekani limepasisha muswada wa dola bilioni 3.3 kwa ajili ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao hivi sasa dunia nzima inalaani jinai zake kubwa katika maeneo tofauti hasa…
Mzigo mkubwa wa wakimbizi wanaomiminika kila leo nchini Chad umeielemea serikali ya nchi hiyo ambayo muda wote inaiomba jamii ya kimataifa na hasa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa…
Makamanda na wanajeshi wa majini ya China na Afrika Kusini wametembelea meli za kivita za kikosi cha majini cha Iran kilichotia nanga katika bandari ya Cape Town, pembeni mwa mazoezi…
Wizara ya Mambo ya Nje imelaani vikali tamko la hivi karibuni la kuingilia mambo ya ndani ya Iran lililotolewa na Kundi la Nchi Saba (G7), ikilishutumu kundi hilo la kiserikali…
Utafiti wa chanjo uliogharamiwa na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) nchini Guinea‑Bissau umekosolewa vikali na wataalamu wa afya pamoja na maafisa wa ndani ya taasisi hiyo,…
Vikosi vya usalama vya Iran vinasema vimekamata silaha 60,000 zilizokuwa zikielekezwa Tehran, na kuvunja mtandao wa kigaidi uliopata mafunzo kutoka shirika la kijasusi la Israel, Mossad. Magaidi hao walihusika katika…
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa wakimbizi na Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Barham Salih, ametoa wito wa dharura wa msaada wa kibinadamu…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa onyo kali kutokea mjini Dakar, Senegal, likieleza kuwa bila rasilimali na hatua za haraka, watu walio katika mazingira…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuhusika moja kwa moja Marekani, utawala wa Kizayuni na baadhi ya nchi za Ulaya katika matukio ya hivi karibuni ya Iran…
“Gholamhossein Darzi,” Balozi na Naibu wa Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kwamba, maandamano ya amani ya wananchi u wa Iran yalitekwa nyara na…
Waziri wa Ulinzi nwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Tuna ushahidi madhubuti unaoonesha kwamba, Marekani, utawala wa Kizayuni na baadhi ya washirika wao waliunda kituo maalumu cha kujadili na…
Mchambuzi mmoja wa masuala ya kieneo na kimataifa wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa, si Donald Trump na si Marekani yenyewe, wote hawana uthubutu wa kuanzisha vita vipya dhidi ya…
Leo ni Jumamosi 27 Rajab 1447 Hijria sawa na 17 Januari 2026 Miladia.
Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) imetangaza rasmi kupinga uingiliaji wa aina yoyote wa kigeni nchini Iran.
Utafiti mpya wa maoni unaonyesha kuwa Wamarekani wengi wanapinga vikali wazo la kuihodhi Greenland.
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa nchini Tehran amesema kuwa, njama za maadui za kuigawa Iran kupitia mamluki wao kuzusha vurugu na machafuko hapa nchini zimefeli na kugonga…
Zoezi la kuhesabu kura nchini Uganda kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika Alkhamisi ya jana linaendelea huku matokeo ya awali yakionyesha kuwa, Yoweri Museveni rais wa sasa anaongoza kwa wingi wa kura.
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na China wamesisitiza umuhimu wa kudumisha utulivu, kuheshimu uhuru wa nchi, na nafasi muhimu ya kidiplomasia katika kuzuia kuongezeka mizozo na mivutano.
Serikali ya Pakistan imetangaza kuwa, katu haitataruhusu anga yake itumiwe kwa ajili ya kuishambulia kijeshi Iran.
Kenya imesaini makubaliano ya awali ya biashara na China ambayo yanaipa 98% ya mauzo yake ya nje ufikiaji usiotozwa ushuru katika soko kubwa la China. Hayo yameelezwa na serikali ya…
Gholamhossein Darzi, Naibu Mwaklishi wa Kudumu wa Iran Umoja wa Mataifa ameikosoa vikali Marekani katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ghasia na machafuko…
Norlan Yerkembayev Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) amelaani vikali hujuma za kigaidi na uharibifu wa hivi karibuni katika mji wa Tehran na miji mingine ya Iran…
Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa Marekani na Israel ziliwaweka magaidi vibaraka wao ili kuchochea machafuko Iran kupitia kuchoma moto misikiti na kuuwa vikosi vya…
Matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda yanaonyesha kuwa Rais Museveni ameibuka na asilimia 61.7 ya kura halali zilizohesabiwa hadi sasa.
Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa kaskazini-mashariki mwa Afrika Kusini yamesababisha vifo vya watu 10 kwa usiku mmoja na kupelekea kufungwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Kruger.
Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Marekani na Israel zilipanga na kufanikisha ghasia zilizoshuhudiwa hapa nchini hivi karibuni, zikielekeza silaha na pesa taslimu kuchochea vurugu na uvunjifu wa utulivu, ikiwa…
Familia nchini Sudan zinasukumwa ukingoni huku "migogoro ya kikatili" na njaa vikiendelea. Mpango wa Chakula Duniani (WFP) pia umetahadharisha kuwa oparesheni zake za kibinadamu za kunusuru maisha ya wananchi wa…