Katibu Mkuu wa UN alaani vikali hatua ya Israel ya kubomoa majengo ya UNRWA Quds Mashariki
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani kitendo cha vikosi vya utawala wa kizayuni wa Israel cha kubomoa majengo yaliyomo ndani ya eneo la makao makuu ya Shirika…