Iijumaa, Januari 16, 2026
Leo ni Ijumaa tarehe 26 Rajab 1447 Hijria sawa na tarehe 16 Januari 2027.
Leo ni Ijumaa tarehe 26 Rajab 1447 Hijria sawa na tarehe 16 Januari 2027.
Mkuu wa vuguvugu la Mshikamano wa Kimataifa wa chama tawala cha African National Congress (ANC) katika jimbo la Western Cape nchini Afrika Kusini ameonya kwamba, machafuko ya hivi karibuni nchini…
Vikosi vya Somalia, Uganda na Umoja wa Afrika (AU) jana Alhamisi viliwaangamiza zaidi ya wanamgambo 30 wa al-Shabaab, na kujeruhi wengine kadhaa wakati wa operesheni ya pamoja huko kusini mwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Badr Abdelatty amesema, nchi yake itachukua hatua zote zinazohitajika ili kuhifadhi umoja wa ardhi ya Sudan, wakati nchi hiyo jirani inakaribia kuingia mwaka…
Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kwamba, watu wa Iran wataendelea kusimama imara kulinda na kutetea nchi yao, akisisitiza kuwa, njama yoyote ya Marekani dhidi ya…
Shughuli za kuhesabu kura zimeanza katika vituo mbalimbali vya kupigia kura kote Kampala na sehemu zingine za Uganda, baada ya kumalizika kwa zoezi la upigaji kura.
Ikiwa ni katika fremu ya uingiliaji wake katika masuala ya ndani ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amezindua sarakasi mpya ya takwimu kuhusu Iran.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai zilizofanywa na magaidi mamluki katika machafuko na uvurugaji…
Mipango inaendelea kupangwa kuhakikisha wajumbe wa kamati ya wateknokrati iliyoteuliwa kuendesha masuala ya Ghaza kusafiri hadi Misri kwa mkutano wake wa kwanza, uliotarajiwa kufanyika leo Alkhamisi au kesho Ijumaa. Hayo…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amesema, badala ya viongozi wa Umoja wa Ulaya, EU kutoa matamshi ya kuzungumzia hali ya Iran, ingekuwa bora kama…
Rais wa Marekani Donald Trump ameonekana kwenye mkanda wa video akimtukana tusi la nguoni mfanyakazi mmoja wa kampuni ya magari ya Ford Motor aliyemkosoa kiuchokozi wakati alipotembelea kiwanda kimoja cha…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amezionya Marekani, Israel na mamluki wao wenye mienendo ya Daesh kwamba kosa lolote la kimahesabu litakabiliwa na…
Wabunge wapatao ishirini wa Bunge la Uingereza wamelitaka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuiondoa Marekani katika fainali za Kombe la Dunia 2026, licha ya kuwa mwenyeji mkuu, kwa sababu ya…
Maafisa wa serikali na wakazi wa kaskazini magharibi mwa Nigeria wamesema kwamba maelfu ya watu wamekimbia makazi yao wiki hii baada ya kiongozi wa genge lenye silaha kuwaamuru waondoke kwenye…
Mshauri mkuu wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ameonya kwamba shambulio la makombora la Juni mwaka jana kwenye Kituo cha Anga cha jeshi la Marekani cha Al-Udeid huko…
Ripoti kutoka Kenya zinasema umaskini pamoja na hatua ya serikali kudhibiti uteuzi wa shule, umeibuka kuwa sababu kuu inayofanya zaidi ya wanafunzi 800,000 wa Gredi ya 10 kushindwa kuripoti katika…
Kufuatia kifo cha raia wa Marekani aliyepigwa risasi na maafisa wa uhamiaji, maandamano yamekuwa yakiendelea katika majimbo mengi ya Marekani.
Wananchi wa Uganda waliotimiza masharti ya kupiga kura, leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura kuamua hatiam ya uongozi wa nchi hiyo kwa miaka mingine mitano.
Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imesema inaendelea kuwatambua na kuwakamata vinara wa mashambulizi ya kigaidi hivi karibuni jijini Tehran kwa ushirikiano madhubuti wa wananchi.
Iran imewasilisha malalamiko rasmi kwa Umoja wa Mataifa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump, ikimkemea kwa kutoa vitisho vya kijeshi na kuwachochea waandamanaji kuteka taasisi za serikali.
Baada ya kufariki kwa idadi ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza kutokana na baridi kali, Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombzoi wa Palestina, Hamas, imeonya kuhusu kuzidi kuzorota…
Mahakama ya rufaa nchini Tunisia siku ya Jumatano imethibitisha kifungo cha miaka 22 jela dhidi ya Rached Ghannouchi, kiongozi wa Harakati ya Ennahda na aliyekuwa Spika wa Bunge, katika kesi…
Leo ni Alkhamisi tarehe 25 ya mwezi Rajab 1447 Hijria mwafaka na tarehe 15 Januari 2026.
Mamilioni ya Iran leo wamejitokeza katika mazishi na shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran na miji mingine ya Iran.
Mkurugenzi wa utafiti na maendeleo wa kampuni inayotegemea maarifa nchini Iran ametangaza uzalishaji wa dawa ya Ofenib kwa mara ya kwanza hapa nchini, ambayo hutumika kwa wagonjwa wenye magonjwa ya…
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, jamii ya imewasahau watoto wa Gaza ambao wanataabika na kuteteseka kutokana na kukabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu na ukatili…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza azma ya taifa hili ya kutetea mamlaka yake ya kitaifa dhidi ya uingiliaji wa kigeni.
Serikali ya Uganda imezima mtandao wa intaneti siku moja kabla ya kuelekea uchaguzi mkuu wa hapo kesho, uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni anataka kuchaguliwa kwa muhula wa saba.
Pakistan imekosoa msimamo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu machafuko yanayochochewa na nchi za Magharibi nchini Iran.
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amelaani vitisho vya Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya taifa hili, akimtaja mwanasiasa huyo kama mmoja wa wauaji…
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Mahmoud Ali Youssouf ametoa wito wa kuimarishwa mifumo ya pande nyingi ili kushughulikia changamoto za kimataifa, siku chache baada ya Marekani kuchukua…
Akthari ya wakazi wa eneo la Greenland wamesema wanahofia kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump atatekeleza kivitendo tishio lake la kulitwaa eneo hilo, wakisisitiza kuwa katu hawataki kuwa raia wa…
Wizara ya Ulinzi wa Somalia imesema kwamba, Jeshi la Kitaifa la nchi hiyo limewaua magaidi 17 wa al-Shabaab katika operesheni ya anga iliiyofanyika kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya…
Serikali ya Misri imepongeza hatua ya Marekani ya kuitambua rasmi Harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni shirika la kigaidi.
Takriban watu 13 wamepoteza maisha kufuatia maporomoko ya udongo yaliyotokea mashariki mwa Kongo mapema jana Jumanne. Watu wengien zaidi ya 30 hawajulikani waliko hadi sasa.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar ametangaza kuwa, Doha inafanya mawasiliano na pande mbalimbali ili kutuliza hali katika eneo hili na kutatua tofauti kati ya Iran na…
Wanasiasa mbalimbali wa Pakistan wamesisitiza kuwa, ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuwa upande wa Iran katika mazingira ya sasa ambapo taifa hili la Kiislamu linaandamwa kwa njama mbalimbali.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia ameitaja hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kulitambua eneo la Somaliland kuwa ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya nchi yake.
Katika matamshi yake mapya ya vitisho, Rais wa Marekani amezililenga nchi zinazofanya biashara na Iran.
Leo ni Jumatano tarehe 24 Rajab 1447 Hijria sawa na Januari 14 mwaka 2026.
Katika ujumbe wa pongezi aliotoa kwa mnasaba wa kazi kubwa iliyofanywa na taifa kubwa la Iran katika kuandaa mikusanyiko mikubwa ya tarehe 12 Januari, na siku ya kihistoria iliyobuniwa kwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameionya Marekani kwamba, Tehran "iko tayari kwa machaguo yote" baada ya Rais wa Marekani Donald Trump…
Serikali ya China imetangaza kuwa inapinga vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Rais wa Marekani dhidi ya nchi zinazoshirikiana kibiashara na Iran.
Seneta wa Marekani Mark Warner amesema, nchi hiyo inakabiliwa na ongezeko la ubaguzi wa kidini na misimamo ya kufurutu mpaka inayochochewa na chuki, akiishutumu serikali ya Trump kwa kuchangia kuongezeka…
Maandamano yaliyoikumba Iran yamechochewa na mbinyo mkubwa wa kiuchumi; na kutokana na Wairani kuona jinai zilizofanywa na Israel na kile ambacho Marekani imekifanya nchini Venezuela, madai hasa ya wananchi hao…
Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia Dmitry Medvedev amesema, Wagreenland wanaweza kupiga kura ya maoni ya kujiunga na Russia ikiwa Rais wa Marekani Donald Trump hatachukua hatua haraka…
Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh, amemuonya yeyote anayewatishia watu wa Iran kwa shambulio la kijeshi, akisema kwamba Tehran ina "mastaajabu ya kukabiliana na vitisho hivyo, na…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kujitokeza tena kwa Wairani uwanjani kumebatilisha uchawi wa uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran,…
Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina amesisitiza katika taarifa yake kwamba Muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina ni sehemu muhimu ya taifa la Palestina…
Somalia imeamua kufuta makubaliano yote yaliyosainiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu, ili kukabiliana na hatua za Abu Dhabi zinazodhoofisha mamlaka, umoja na uhuru wa nchi hiyo. Hayo ni kwa…