Fedha za SGR zaipa tuzo Tanzania
SERIKALI ya Tanzania imeibuka mshindi wa tuzo ya kimataifa ya fedha za miundombinu kwa mwaka 2026, kufuatia mafanikio yake katika kupata mkopo wa masharti nafuu kwa ajili ya ujenzi wa…
SERIKALI ya Tanzania imeibuka mshindi wa tuzo ya kimataifa ya fedha za miundombinu kwa mwaka 2026, kufuatia mafanikio yake katika kupata mkopo wa masharti nafuu kwa ajili ya ujenzi wa…
MIKOA ya Kagera, Singida na Dodoma imeibuka vinara wa matukio ya mauaji nchini kwa mwaka 2025, kwa mujibu wa takwimu mpya za Jeshi la Polisi. The post Ugomvi nyumbani, ugoni…
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema imefanikiwa kuokoa shilingi bilioni 14.5 kupitia operesheni mbalimbali za uchunguzi. Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Crispin Chalamila, ameeleza hayo Ikulu, Dar es…
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema kuwa mwenendo wa hati za ukaguzi kwa mashirika na taasisi za serikali umeendelea kuimarika, ambapo hati 1,326 kati…
DODOMA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum, amesema Tanzania ina utajiri wa rasilimali za madini ya chuma aina ya vanadiamu na titaniamu, ambayo yatachimbwa na…
SERIKALI imeongeza kasi ya uwekezaji katika miundombinu ya barabara na madaraja nchini, ikiwekeza zaidi ya Shilingi trilioni 6 katika miradi mikubwa 79 inayoendelea kutekelezwa, hatua inayolenga kuchochea ukuaji wa uchumi,…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea na mikakati mbalimbali ya kuhakikisha zao la mwani linaongezewa thamani ili kuwanufaisha wakulima wake. The…
SHULE 19 za msingi na sekondari katika mikoa tisa nchini zimepokea vifaa vya TEHAMA vyenye thamani ya Shilingi milioni 769, hatua inayotarajiwa kuboresha ufundishaji wa masomo ya sayansi na teknolojia…
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais; Muungano na Mazingira, Hamad Yusuf Masauni, amesema Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linatakiwa kupatiwa…
KATIBUMkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inaendelea kuimarisha sekta ya elimu nchini kupitia matumizi ya teknolojia…
DAR ES SALAAM: Mshindi wa hundi ya Sh milioni 10 Umriya Omari amesema fedha hizo atazielekeza katika ujenzi wa kujenga Msikiti. Amesema msikitini ambao alishaanza kujenga na sasa anaenda kukamilisha…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kusisitiza uzingatiaji wa sheria katika shughuli zake ili kudhibiti mianya ya ubadhirifu wa fedha za umma.…
DAR ES SALAAM: Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Italia ( Sant’Anna School of Advanced Studies -Scuola) wanatoa mafunzo ya siku tatu kwa…
DAR ES SALAAM: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya Dough Works Ltd umesaidia kuiunga mkono serikali kwa kuwapa vijana ajira zaidi ya 800…
MANYARA: WATU zaidi ya 1,163 walioathirika na mafuriko baada ya nyumba zao kusombwa na maji katika Tarafa ya Moipo Wilaya ya Simanjiro mkoani Arusha, wamepatiwa msaada wa vyakula vya Sh…
JESHI la Polisi mkoani Geita limethibitisha kuwa hakuna madhara ya binadamu yaliyotokana na ajali ya kutitia kwa maduara manne ya uchimbaji madini katika mgodi wa Msasa, wilayani Bukombe mkoani humo.…
MOSHI: Moshi ilichangamka kwa mara nyingine tena huku maelfu ya wakimbiaji, mashabiki, na watazamaji wakikusanyika kushuhudia toleo la mwaka 2026 la Kilimanjaro Marathon. Mbio hizo zimekuwa moja ya majukwaa yenye…
DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imemkaribisha rasmi Mkurugenzi Mtendaji mpya, CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi, ambaye ameingia kwenye nafasi baada ya…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongozi wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) uliofika Ikulu, Zanzibar, leo Machi 30, 2026.…
BAADHI ya wanasiasa wameeleza imani yao kuwa majibu sahihi kuhusu chanzo cha vurugu zilizotokea Oktoba 29 mwaka jana yatapatikana kupitia Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais, Dk. Samia Suluhu…
MONASTIR: TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls), imeanza vyema kambi yake ya mazoezi kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tunisia…
DAR ES SALAAM: Utaratibu mpya wa kutoa mafuta kwenye vituo vya kuhifadhia mafuta ya dizeli na petroli kwenda sokoni uliowekwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), umetajwa kuharakisha utoaji wa…
ARUSHA: Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Yannick ameanzisha mpango maalumu wa kuanzisha mfuko wa elimu utakaowanufaisha wanafunzi 280 kutoka wilayani Ngorongoro wanaotoka katika familia zisizo na uwezo wa…
DAR ES SALAAM: Tanzania imeandika ukurasa mpya katika historia ya elimu ya ufundi kwa kupeleka walimu 150 wa Amali za Kihandisi nchini India. Hatua hii kubwa ya kimkakati siyo tu…
DAR ES SALAAM: Serikali imeeleza kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta nchini bado ni shwari, huku bei zikiwa himilivu, ambapo mafuta yaliyopo yanatosheleza kwa kipindi cha miezi miwili hadi mitatu.…
DAR ES SALAAM :ZAIDI ya wanafunzi wa Kitanzania 18 wamepelekwa nchini korea kwa ajili ya masomo ikiwa ni matokeo ya uhusiano mzuri baina ya tanzania na korea ambao umedumu kwa…
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Maendeleo na Mitaji (UNCDF) limesema kuwa linaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhakikisha zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya…
DAR ES SALAAM: Madaktari 30 kutoka China wanatarajiwa kuendesha kambi maalum ya siku mbili ya kutoa huduma za afya bure kwa wananchi wa Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam.…
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Jenga Hub chini ya Miss Tanzania 2006, Nancy Sumari, imeanza maboresho ya maudhui ya mitaala ya somo la hesabu…
ARUSHA: Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Yusuph Singo, ameipongeza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa…
MOROGORO: OFISI ya Rais ,Sekretarieti ya Maasili ya viongozi wa Umma imewataka viongozi kuzingatia misingi ya maadili kwenye utumishi wao kwani huimarisha imani ya wananchi kwa Serikali na taasisi zake…
KAMPUNI za Afric Media Group na Genesis Entertainment Agency kutoka Cameroon zimefanya leo onesho la makala fupi iitwayo Universal Justice Without Universality, inayolenga kuangazia masuala ya haki za kimahakama barani…
MADAKTARI 30 kutoka China wanatarajiwa kuendesha kambi maalum ya siku mbili ya kutoa huduma za afya bure kwa wananchi wa Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, mnamo Machi 28…
MWANAUME mmoja anayefahamika kwa jina la Bunzali Jidola (30), mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Kata ya Mwamakona, Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, anadaiwa kumuua mtoto wake mchanga wa miezi miwili,…
KIPAwa Young Africans SC, Djigui Diarra, amekumbana na adhabu ya kufungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi milioni nne kutokana na utovu wa nidhamu katika mchezo dhidi ya Mtibwa…
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaonya wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 akisema muda wa kufanya hivyo bado haujawadia. The post Wasira…
SERIKALI itaanza utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Ufanisi wa Nishati, Julai Mosi mwaka huu ili kuimarisha matumizi bora ya umeme na kupunguza gharama kwa watumiaji. The post Umeme: Mkakati…
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Gilbert Edwin Mwabulesi (26), mkazi wa Kijiji cha Ibililo, Wilaya ya Rungwe, kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Edwin Mwabulesi (65), kwa…
MKUU wa Wilaya ya Tabora Upendo Wella, amepiga marufuku wakulima wa zao la korosho kuuza mazao yao nje ya mkoa huo, akiwataka kutumia mfumo wa stakabadhi ya ghala pamoja na…
RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mazingira ya biashara nchini Tanzania yameendelea kuimarika kwa kiwango kikubwa kufuatia hatua za serikali kuondoa vikwazo vya kisheria na kikodi vilivyokuwa vikiwakwamisha…
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo amesema juhudi za kuboresha mazingira ya biashara nchini Tanzania zinakabiliwa na changamoto kubwa ya kubadili mitazamo ya watendaji…
DAR ES SALAAM: Kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL) kimeweka mkakati wa kupunguza matumizi ya maji katika uzalishaji wa bia na kuhakikisha maji yote yanayotumika yanachakatwa kabla ya kurejeshwa kwenye…
SONGWE: Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, leo Machi 26, 2026 ameongoza tukio la Siku ya Afya na Lishe katika kijiji cha Isongole, likilenga kuimarisha uelewa wa jamii kuhusu…
KAMPUNI ya Coca-Cola Tanzania kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Mazingira (IUCN) na Serikali kupitia Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu imezindua mradi wa zaidi ya…
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira amewataka wanachama wa chama hicho kuwa mabalozi wa amani ndani na nje ya chama kwa kuepuka mivutano isiyo ya lazima.…
DAR CITY itaanza rasmi safari yake ya kusaka mafanikio kwenye michuano ya Basketball Africa League (BAL) Kalahari Conference kesho, itakapomenyana na Johannesburg Giants nchini Afrika Kusini. The post Atiki Ally,…
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imetoa onyo la mwisho kwa taasisi zote zinazokusanya na kuchakata taarifa binafsi kujisajili kabla ya Aprili 8, 2026 ikibainisha kuwa hatua kali za…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha sekta ya usafiri wa anga pamoja na kuendeleza mageuzi ya kidijitali ili kuvutia uwekezaji…
JOHANESBURG, AFRIKA KUSINI: Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefanya ziara katika Chuo Kikuu cha Johannesburg na uongozi wa chuo hicho kukutana na wanafunzi wa Kitanzania…
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi ripoti ya uchambuzi wa mifumo ya kidijitali ya utoaji huduma za biashara na udhibiti (CART.IS), ikiwa ni sehemu ya juhudi za…