Pasaka inawakumbusha kuishi kwa upendo
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa pasaka ni kipindi muhimu kinachowakumbusha Watanzania kuishi kwa upendo, mshikamano na kudumisha amani katika jamii. Dk Mwigulu amesema hayo kwenye Tamasha la Pasaka…