🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….JANUARI 26, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
#HABARI: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewaagiza TAKUKURU kutengeneza mazingira magumu kwa mtu yeyote anayejihusisha na rushwa ili watu wawe waoga kushiriki vitendo…
#HABARI: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Arusha Osward Mwanjegele, amesema Jeshi la Zimamoto walifika eneo la tukio majira ya saa tisa usiku baada ya kutaarifiwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
#TANZIA: Golkipa wa zamani wa Yanga SC na Taifa Stars, Peter Manyika, amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya St. Monica, jijini Dar es Salaam. . Enzi za uhai…
#HABARI: Awamu ya kwanza ya mradi wa Mabasi yanayotumia Umeme (Zan Bus), imewasili kupitia Bandari ya Malindi, Zanzibar, na kuelekea katika maegesho ya Stendi Mpya ya Kijangwani, Mkoa wa Mjini…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
#HABARI: Moto mkubwa umezuka usiku wa kuamkia leo Januari 26, 2026 katika eneo la Moshono, jijini Arusha, na kuteketeza maduka kadhaa pamoja na karakana ya mbao, tukio lililosababisha hasara kubwa…
#HABARI: Huduma ya Kitaifa ya Polisi nchini Kenya (NPS), imeanzisha uchunguzi kuhusu shambulio lililofanyika Jumapili ya Januari 25, 2026 katika Kanisa la St. Peter’s ACK lililopo Witima, Kaunti Ndogo ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 26, 2026
#HABARI: Wabunge kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba Serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya Serikali katika Kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo…
#HABARI: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Yusuph Mwenda amesisitiza kuwa mpango kazi wa mamlaka hiyo ni kuhakikisha inaongeza ufanisi juu ya namna bora za kuwawezesha Mawakala wa Forodha…
TAMASHA LA MICHEZO..JANUARI 25, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
HABARI: Makabiliano yameshudiwa katika kanisa alikokuwa anahudhuria aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ibaada ya Jumapili katika Kanisa la ACK Wairima eneo la Othaya kaunti ya Nyeri. Polisi…
#HABARI: Mke wa kinara wa chama cha upinzani cha NUP nchini Uganda Bobbi Wine, Barbie Kyagulanyi ameeleza mateso aliyoyapitia mikononi mwa watu anaodai ni maafisa wa usalama. Bi Kyalunayi ambaye…
...nakuhitaji Mheshimiwa Waziri Mkuu utambue wewe na viongozi wenzako wa serikali kwamba taifa letu bado lina maumivu makubwa sana na nitakuwa na mnafiki au mswahili nisipolisema hili....hakuna jambo la maana…
#HABARI: Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Elimu leo Januari 24, 2026, Mkuu wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUCOHAS), Dkt. Bonny Betson, amesisitiza dhamira ya chuo hicho…
#HABARI: Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa…
“…kwanza umesema kuna kufuata mkumbo hasi na kufuata mkumbo chanya, kwa kweli kufuata mkumbo ni hasi kufuata mkumbo chanya tunasema ni kujifunza " Saldin Kimangale- Mtaalamu wa Saikolojia. Powered by…
“…yani kwamba mtu anakwemda kinyume na matashi yake anapoteza uhuru wake kwa hiyo atajikuta anafanya kitu ili awe sehemu ya grupu fulani au awe sehemu ya kitu fulani kwa hiyo…
#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mheshimiwa John Heche, amefika msibani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei katika eneo la Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha. Mheshimiwa…
🔴MEZA HURU: KWA NINI WATU WENGI WANAISHI KWENYE MAISHA YA KUFUATA MKUMBO...? ....JANUARI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MEZAHURU:“..lakini kwenye kuanzishwa kwake hii ilikuwa kwanza, tulikuwa tu kwanza tunafanya maigizo maigizo lakini tulikuwa tunafanya sana sana Musical Theater na kwenye kufanya hivi vitu ilikuwa ngumu sana kuwa pamoja"-…
#HABARI: Wataalamu kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Januari 21, 2026, wamekagua mradi na wametembelea wananchi wanufaika wa Mradi…
🔴MEZA HURU: WENYE ULEMAVU NA SANAA.JANUARI 22, 2026, (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kigoma, imetoa msaada wa mahitaji mbalimbali ya wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya Msingi Kabanga Wilayani Kasulu ikiwa na lengo la…
🔴MEZA HURU: .....JANUARI 21, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 21 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 21 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 20, 2026
#TANGAZO: Wanafunzi waliosoma shule ya Salvatorian na Masasi Girls Secondary School wanatarajia kukutana Januari 31, 2026 katika ukumbi wa Police Officers Mess Oysterbay jijini Dar er Salaam kufahamiana, kubadilishana mawazo…
#HABARI: Mwanafunzi wa chuo mkoani Tabora amefariki papo hapo katika ajali ya mwendesha pikipiki (bodaboda) aliyegonga Treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Tabora kuelekea Mkoa wa Katavi. Afisa Mnadhimu wa Jeshi…
#MEZAHURU: Kitu gani unashauri Mamlaka husika juu ya MAENEO YA KUZIKIA.? na je, kuna changamoto zozote zinazojitokeza juu ya maeneno haya, unataka ziboreshwe.
#MICHEZO: Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameendelea kukisuka kikosi chao katika dirisha dogo la usajili ambapo leo Januari 20, 2026 wametangaza kumsajili Ismael Toure kutoka FC Baniyas ya Falme za…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 20, 2026
#HABARI: Mwanamitandao na shabiki maarufu wa Man City, Brydon Bent, aliyejizolea umaarufu hapa nchini miaka kadhaa kutokana na video zake akiongea Kiswahili na kuonesha anapenda sana vivutio vya utalii vya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 20, 2026
#HABARI: Maelfu ya wananchi wamejitokeza kushiriki katika ziara ya Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Ndugu Kenani L. Kihongosi, inayofanyika katika Wilaya ya Singida Mjini na Singida…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Hispania, Pedro Sánchez, ameahidi kufuatilia kwa kina sababu za treni mbili za mwendokasi kugongana kusini mwa Hispania, ajali iliyosababisha vifo vya takriban watu 40, huku waokoaji…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....JANUARI 20, 2026
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea kwa masikitiko makubwa, taarifa za kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbiliewi Mtei, kilichotokea usiku wa Januari…
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesikitika kutangaza kifo cha muasisi wa Chama na Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho, Mzee Edwin Mtei. Mzee Mtei amefariki usiku wa kuamkia…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..JANUARI 20, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 20, 2026
#HABARI: Shirika la Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) limetangaza kurejea kwa safari za treni za abiria kutoka Dar es Salaam kwenda New Kapiri Mposhi nchini Zambia kuanzia Februari 10, mwaka…
🔴#KUMEKUCHA: MICHEZO. . JANUARI 20, 2026
🔴 #MAGAZETI: ...JANUARI 20, 2026
Baadhi ya wazazi Simiyu kushindwa kuandikisha watoto kwa kukosa elfu 15 za cheti cha kuzaliwa. Je, walioweka utaratibu huu waadhibiwe kwa kukiuka utaratibu wa Serikali?