đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 20, 2026
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 20, 2026
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 20, 2026
#DAKIKA45: "Tunatoa adhabu lakini tunaona unampiga mtu adhabu ya shilingi Elfu 50 kwenye Bajaji wakati leseni yake elfu 30 labda, Pikipiki labda Elfu 20, halafu unampiga faini Elfu 50, sisi…
#HABARI: Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imezindua ujenzi wa kituo cha "Msichana Center" mjini Bagamoyo, mkoani Pwani, kikiwa ni kituo cha tano cha aina hiyo kuanzishwa nchini. Kituo…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 19, 2026
đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 19, 2026
#DAKIKA45: "Kwenye hizi Bodaboda, Bajaji ni kweli wanaingilia utaratibu wa Daladala wengine wanavunja sheria, bali tunaona ni usafiri muhimu mjini tunachotakiwa ni kuuboresha, kwanza watii sheria, hivi ninavyozungumza kwa Mwaka…
#DAKIKA45: "Kwenye hili eneo la udhibiti wa nauli tunayo kanuni ambayo inaeleza utaratibu wa kufanya maamuzi ya nauli "CPA Dkt.Habibu Suluo - Mkurugenzi Mkuu LATRA. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
#HABARI: Serikali imetakiwa kuhakikisha mamlaka husika zinaweka matumizi bora ya ardhi nchini ili kuchochea maendeleo na kumaliza migogoro ya muda mrefu. Mpango huo unalenga kutatua changamoto kati ya wakulima na…
đź”´DAKIKA 45 NA CPA DKT HABIBU SULUO KUTOKA LATRA....JANUARI 19, 2026
#MICHEZO:Katika jitihada za kupunguza changamoto za ajira miongoni mwa vijana, wadau wa sanaa nchini wameanzisha Shindano la Smart Gin Street Dancers lenye lengo la kubaini, kukuza na kuinua vipaji vya…
#HABARI: Mwanamke mmoja asiyejulikana ametelekeza kichanga cha siku tatu katika nyumba ya wageni wilayani Nzega, mkoani Tabora, na kutoweka kusikojulikana. Tukio hilo limemlazimu Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Bi. Naitapwaki…
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 19, 2026 - UPEPO WAEZUA NYUMBA NA KUJERUHI WATOTO RUKWA
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, amewaelekeza wasimamizi wa miradi mikoani kuimarisha ushirikiano na viongozi wa maeneo husika ili kurahisisha usambazaji wa umeme. Maelekezo…
#HABARI: Hadija Jumaa, mama wa watoto wanne mkazi wa mtaa wa Mji Mpya mjini Handeni, ameuawa usiku wa kuamkia juzi baada ya kutokea ugomvi na mwanaume aliyekuwa akiishi naye. Tukio…
#HABARI: Upepo mkali umeezua na kubomoa nyumba 12 katika vijiji vya Matai B na Kateka wilayani Kalambo, mkoa wa Rukwa. Maafa hayo yamesababisha watoto saba kujeruhiwa na kuacha familia kadhaa…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA TABORA - JANUARI 19, 2026
#MEZAHURU"....tengeneza mpango wa ulaji, chakula kinamaliza hela nyingi za watu wenye mapato ya chini, na kwa sababu hatuna mipangilio ya kula ndio tatizo kubwa liko hapo....familia nyingi zinakula kulingana na…
#MEZAHURU"....watu wengi tuna shida kwenye kujifunza makubaliano ya kibiashara....mtu yeyote asiyefanya biashara hawezi kuishi....hata ikiwa ajira hiyo ni biashara ndio maana unalipwa, hakuna kitu ambacho sio biashara duniani...." Cosmas Maduhu…
#MEZAHURU".....elimu ya fedha ni ya msingi sana kwa mtu yeyote yule ambaye anatamani kufanikiwa kifedha, jambo la kwanza anatakiwa afahamu namna ya kupata pesa, kwa sababu mara nyingi tunapozungumzia elimu…
đź”´MEZA HURU: ....JANUARI 19, 2026
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
đź”´HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Victoria Mwanziva, Januari 18, 2026, amefanya ukaguzi wa mradi wa uchimbaji wa kisima kirefu katika eneo la chanzo cha maji Sinde, Manispaa ya…
#HABARI: Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) imeleta mabasi mengine 49 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika barabara ya Kimara, Dar es Salaam. Mabasi hayo kwa sasa yapo katika karakana…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
#MEZAHURU: Je ni kweli vijana wanayo ELIMU YA FEDHA kabla ya kupatiwa mikopo wanayohitaji.?
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
đź”´AFCON 2025: SENEGAL WATWAA UBINGWA AFCON 2025....JANUARI 19, 2026
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe Ndg. Jabiri Makame amesema kuongezeka kwa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam, kumeongeza kiwango cha mzigo unaopita katika lango la Tunduma kwa mwaka,…
#HABARI: Rais wa Chile, Gabriel Boric, ametangaza hali ya janga katika mikoa miwili ambako moto mkubwa wa misituni umesababisha vifo vya takribani watu18. Zaidi ya watu 50,000 wamehamishwa kutoka kwenye…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
đź”´KUMEKUCHA KISHINDO: ...JANUARI 19, 2025
đź”´HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
đź”´#KUMEKUCHA MICHEZO: JANUARI 19, 2026
#KUMEKUCHA"....shida tuliyonayo sisi Tanzania ni kwamba viwanda hatunavyo vingi na kwa kuona hali hiyo sisi kama chama kikuu cha ushirika cha TANECU tumethubutu kupitia maelekezo ya Mheshimiwa Rais....kwamba ifikapo 2030…
đź”´KUMEKUCHA : MAENDELEO ZAO LA KOROSHO NA UFUTA......JANUARI 19, 2026
đź”´ #MAGAZETI: MISHAHARA MIPYA YAIBUA KASHESHE / BARKER AANZA LIGI KWA SARE....JANUARI 19, 2026
#KIPIMAJOTO: Kuendelea kwa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. Je, wachezaji wazawa watumie fursa hiyo kuonesha vipaji vyao ili wajiuze Kimataifa
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 19, 2026
#HABARI: Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la James Francis mwenye umri wa miaka 28 anayeishi wilayani Babati mkoani Manyara ameuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kutokana na…
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 19, 2026 - AJALI DARAJA LA KIKAVU YAKWAMISHA SAFARI
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA - JANUARI 18, 2026
#HABARI: Watu wasiojulikana wamemvamia msaidizi wa shambani Bw. Joseph Madaha usiku wa jana akiwa kwenye makazi yake katika kijiji na Kata ya Tumbi Wilaya ya Tabora na kumpiga kikatili sehemu…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetenga shilingi bilioni 6.4 kwa ajili ya kuboresha miundombinu na kununua vifaa vya kisasa katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam…
#HABARI: Mvua kubwa na upepo mkali mkoani Ruvuma, umebomoa bweni la dharura katika Shule ya Sekondari Mateteleka, Halmashauri ya Madaba. Jengo hilo, ambalo awali lilijengwa na wananchi kama bwalo la…
#HABARI: Mwili wa Marehemu Mheshimiwa Halima Idd Nassor umefikishwa nyumbani kwake Kibada, Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya dua maalumu ya nyumbani, kabla ya kuzikwa leo…
#HABARI: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt. Jafar Seif, amesema anakusudia kuzunguka nchi nzima kuzungumza na watumishi wa…
‎#HABARI: Wajumbe wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati sintofahamu iliyojitokeza kufuatia agizo la serikali…