Dk Nchimbi aahidi miradi itakayoibadili Kibaha
Ujenzi wa vituo vya kupoza umeme, soko la kisasa, stendi ya mabasi, barabara za lami na...
Simulizi miaka 10 mhudumu ICU ya wagonjwa wa afya ya akili
Wengi wakisikia mgonjwa yupo hospitali kitengo cha uangalizi maalumu (ICU) kinachokuja akilini...
Lissu, Jamhuri sasa ni mwendo wa pingamizi
Upande wa mashtaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Wanafunzi wa sekondari waeleza umuhimu wa elimu ya kujitegemea
Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa vijana nchini, wanafunzi wa shule za sekondari...
Vigogo, Azam, Namungo na Mtibwa Sugar wapigana vikumbo Uenyekiti Bodi ya Ligi
Homa ya Uchaguzi Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imezidi kupamba moto baada ya Kamati...
Mirembe yataja maeneo kuongeza nguvu kudhibiti matatizo ya afya ya akili
Ongezeko la matukio ya ukatili wa kijinsia, ulevi uliokithiri na matumizi ya dawa za kulevya ni...
Serikali kuifanya Posta injini ya uchumi wa kidijitali
Serikali imebainisha kuwa mageuzi yanayoendelea katika sekta ya Posta ni sehemu muhimu ya...
Hukumu kesi ya Mpina yaahirishwa, sababu zatajwa
Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma imesogeza mbele hukumu ya kesi ya Luhaga Mpina dhidi ya Tume...
Dereva wa kampuni ya ujenzi afariki dunia gari ikipinduka, konda wake ajeruhiwa
Dereva wa gari la kubebe na kuchanganya zege la kampuni ya IRIS inayotengeneza barabara Pemba...
Samia: Tumetimiza ndoto za Mwalimu Nyerere
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali...
Wanawake katika mtego matumizi ya ‘vipako’
Video na picha watu maarufu na wenye ushawishi zimegeuka mwalimu mpya wa urembo, hali...
ZEC yakaribisha maombi watakaohusika upigaji kura ya mapema
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imekaribisha maombi ya wapigakura watakaohusika na upigaji kura...
Wananchi wakumbushwa kulinda amani, maisha baada ya uchaguzi
Vijana nchini wamekumbushwa kudumisha amani na utulivu kipindi cha uchaguzi na kutambua kuwa...
Upekee wa Zari kwa Diamond Platinumz
Licha ya kutengana, Zari The Bosslady na Diamond Platnumz wameendelea kudumisha uhusiano mzuri...
Kukabiliana na changamoto za lugha na nyingine: Faida za kushiriki katika programu ya Alabuga Start
Programu ya Kimataifa ya Alabuga Start imeendelea kujipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa vijana...
Kumbe Bonge la Dada hapendi anachofanya kwenye majukwaa
Dansa anayetikisa kupitia wimbo wa Mbosso Khan “Aviola”, Queen Fraison, amefunguka kuhusu kazi...
Dully Sykes amvika taji la Bongo Fleva Alikiba
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Abdul Sykes maarufu kama Dully Sykes, amethibitisha...
Aunt Ezekiel sasa ni Rahma afunga ndoa na Kusah
Nyota wa filamu za Kibongo, Aunty Ezekiel, amebadili dini kutoka Ukristo na kuwa Muislam...
Rooney amkosoa Gerrard kuhusu kizazi cha dhahabu England
Mshambuliaji wa zamani wa England, Wayne Rooney, amemkosoa Steven Gerrard kutokana na tamko...
Refa alivyotaka kuacha kazi kisa kushambuliwa na mashabiki
Mwamuzi maarufu wa Ligi Kuu England, Anthony Taylor, amefichua kuwa aliwahi kufikiria kuachana...
Kocha Bafana Bafana aitisha Zimbabwe kufuzu Kombe la Dunia 2026
Kocha wa Bafana Bafana, Hugo Broos, ameahidi kikosi chake kitapambana kama simba kitakapokutana...
Paresso: Huyu ndiye Samia wa miaka mitano ijayo
Mageuzi ya kiuchumi yaliyotokana na ubunifu na utekelezaji wa miradi mikubwa na ya kimkakati...
Programu ya TangaYetu ilivyosaidia kupunguza ajali za barabarani kwa watoto wa shule jijini Tanga
Kwa miaka mingi, kitendo cha kutembea kwenda shuleni kilikuwa moja ya kitu hatari katika siku...
Staa Ivan Klasnic na kisa cha kusikitisha
Nyota wa zamani wa Ligi Kuu ya England, Ivan Klasnic, amesema kuwa anaweza kufariki wakati...
Miaka 20 ya Mtei akihudumu wodi ya wagonjwa wa akili
Kwa Peter Mtei, sehemu hii ni nyumbani, na wagonjwa ni kama familia yake ya pili.
Simba yarudishwa Ali Hassan Mwinyi ukifunguliwa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuufungulia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi...
KONA YA MSTAAFU: Pensheni inapomfanya Mstaafu acheke kisha kulizwa!
Mstaafu wetu amejikuta akishtuka sana mwisho wa mwezi uliopita alipoingiziwa kimya kimya...
Miaka 20 ya Mtei wodi ya wagonjwa wa akili
Kwa Peter Mtei, sehemu hii ni nyumbani, na wagonjwa ni kama familia yake ya pili.
Kuelewa visababishi vya kisukari aina ya kwanza
Insulin ni homoni muhimu inayosaidia mwili kutumia sukari kuwa nishati. Bila insulin, sukari...
Magonjwa yasiyoambukiza yanavyoua ndoto za vijana
Vijana wananyemelewa na maradhi haya, na kibaya zaidi, wengi hawajitambui kwa kuwa wametingwa...
UTI haisababishwi na kujamiiana
Wanaume si waathirika wa UTI kwa sababu ya kuwa na mrija mrefu, jambo linalowapa safari ndefu...
Siri za kuimarisha afya ya akili
Mtaalamu wa saikolojia tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk Isaack Lema, anasema...
Algeria yafuzu Kombe la Dunia, Uganda yanyemelea mchujo
Algeria imekuwa timu ya nne barani Afrika kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya leo...
Mpelelezi wa doria mtandaoni asimulia alivyobaini ujinai kauli ya Lissu
Shahidi wa pili wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chama...
HUSSEIN JUMA SALUM: Turufu yake ya urais ni Zanzibar kuwa ya kilimo
Binadamu huota na hujibidisha kufanikisha ndoto. Anajitazama na kujenga matamanio ya jambo.
Mradi wa Graphite, yametimia
Tanzania ipo katika hatua za mwisho kuanza kunufaika na madini yake ya Graphite, baada ya...
Mwili wa mgombea ubunge CUF aliyeuawa kuzikwa Oktoba 11 Kigoma
Mwili wa aliyekuwa mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Jimbo la Siha, mkoani...
Kiongozi Mbio za Mwenge ahimiza nishati safi kutumika mashuleni
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail All Ussi ameagiza kuwepo mkakati wa...
Dakika 20 zinavyoweza kuokoa macho yako
Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Macho leo, Oktoba 9, 2025 matumizi ya vifaa vya kielektroniki...
Mwinyi aahidi mikopo bila riba kwa wajasiriamali
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amesema...
Mwita aahidi kukomesha michango shuleni Kinondoni
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Rahma Mwita...
CRDB Foundation yatoa Sh66 milioni kuwezesha makundi maalumu Mbulu
Benki ya CRDB kupitia CRDB Foundation, kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu...
Othman: Ili tushinde tunahitaji kura
Mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema...
Serikali yaja na mkakati wa kuchanja mifugo ili kuhimili soko la kimataifa
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk Edwin Mhede amesema bila kuwa na afya imara...
Serikali ilivyomaliza mgogoro wa wafanyakazi kiwanda cha Chai Rungwe, wenyewe kicheko
Serikali imewahakikishia wafanyakazi wa Kiwanda cha Wakulima Tea Company (Watco), kilichopo...
Wataalamu wahimiza uwekezaji wa elimu bora na ubia kujenga uchumi jumuishi
Wadau wa maendeleo na wataalamu wa uchumi wameitaka Serikali, taasisi za elimu, na sekta...
Mgombea ubunge CCM Ngorongoro aahidi kutetea masilahi ya wananchi
Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ngorongoro, Yanick Ndoinyo ameahidi kusimama imara kutetea...
Manchester United mbioni kupigwa bei Uarabuni
Tajiri na kiongozi wa sekta ya michezo na burudani wa Saudi Arabia, Turki Al-Sheikh, ameweka...
Wakulima wa tumbaku kulipwa fedha zao kabla ya Oktoba 30
Kampuni za ununuzi wa tumbaku nchini zilizo chelewesha malipo ya wakulima kwa msimu wa kilimo...