🔴HAPA NA PALE KUTOKA SONGWE – DISEMBA 04, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SONGWE - DISEMBA 04, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SONGWE - DISEMBA 04, 2025
DAR City (DSM) na Fox Divas (Mara), zimeonyesha ubabe katika Ligi ya Kikaku ya Taifa (NBL), inayofanyika kwenye Uwanja wa Chinangali, Dodoma na kudhihirisha uwekezaji unalipa.
Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti na Uwezeshaji wa Taasisi ya Mama Asemewe Bi. Beatrice Mwahegili amewataka Vijana hususani Mabinti wa Kitanzania kuheshimu, kulinda na kuitunza amani ya Tanzania, akisisitiza…
BAADA ya kuambulia sare ugenini dhidi ya Mashujaa, kocha mkuu wa Coastal Union, Mohamed Muya amesema wana dakika 90 ngumu kuwakabili watetezi wa Ligi Kuu Bara katika mechi itakayopigwa Jumapili…
KIUNGO wa zamani wa Tausi FC, Zuwena Aziz ‘Zizou’ amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Mogbwemo Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Sierra Leone.
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Mh. Patrick Mwalunenge ameendelea kutekeleza ahadi zake za kuwawezesha wananchi kiuchumi baada ya…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Mh. Patrick Mwalunenge ameendelea kutekeleza ahadi zake za kuwawezesha wananchi kiuchumi baada ya…
UONGOZI wa Mashujaa FC umemalizana na kiungo mshambuliaji wa Bigman FC, George Makang’a atakayeanza kuitumikia timu hiyo mara baada ya dirisha dogo kufungwa.
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Joseph Guede anahesabu siku tu kabla ya kurejea tena Singida Black Stars, inayoelezwa imeshamalizana naye na kumsainisha mkataba wa kuitumika kuanzia dirisha dogo la usajili…
BAADA ya kuambulia suluhu dhidi ya Azam FC ugenini, kocha mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema kupata pointi moja mbele ya mshindani waliyenaye kwenye malengo sawa siyo haba.
#HABARI: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wakiongozwa…
#HABARI: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wakiongozwa…
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Yusuf Chipo amesema suluhu dhidi ya JKT Tanzania imechangiwa na nidhamu nzuri ya kiuchezaji kwa wachezaji pale ikiwa na mipira au inapoipoteza mbele ya maafande…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia madereva wa magari matano ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa tuhuma za kutumia magari hayo kusafirishia abiria kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mtukula…

🔴MEZA HURU : RIADHA .... DESEMBA 04, 2025
🔴MEZA HURU : RIADHA .... DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama,…
Wataalamu mbalimbali wakiwemo wanasayansi na watafiti katika nyanja za uhifadhi na utalii kutoka zaidi ya mataifa ishirini duniani wamekutana jijini Arusha kwa lengo la kujadili na kupitia matokeo ya tafiti…
Rais wa Marekani, Donald Trump, anakutana leo na Marais wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lengo la kufanikisha mpango wa amani kuhusu mgogoro unaoendelea Mashariki mwa DRC.…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
#HABARI: Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa, Kidiplomasia na Kiuchumi, Bw. Majid Mjengwa amebainisha kuwa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa kupitia wazee wa Dar es Salaam, imeonesha dira…

🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
#HABARI: Rais Yoweri Museveni amesema kuwa miundombinu ya mitandao (internet) haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na makampuni ya kibinafsi, akisema udhibiti wa Serikali ni muhimu ili kupunguza gharama kwa raia. Akizungumza…

MKURUGENZI wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Ayub Rioba Chacha, amesema mechi 32 za kuwania Fainali ya Mataifa ya Afrika (AFCON) zitarushwa mubashara bure kwenye chaneli ya TBC1 na TBC…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeahirisha hadi Januari 28, 2026 kesi ya uhujumu uchumi Na. 000021172/2025 inayomkabili Mwanaharakati wa mitandao ya kijamii Mange Kimambi, baada…

#HABARI: Kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 kipindi cha Uchanguzi Mkuu na baada ya uchaguzi hali iliyosababisha vifo vya watu na mali za watu binafsi na za umma kuharibiwa, baadhi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
#HABARI: Serikali ya Mkoa wa Tabora kupitia kwa Mkuu wa mkoa huo Bw. Paulo Chacha imewatoa hofu wakazi wa mkoa huo juu ya uwepo wa taarifa za njama za makundi…
Je, ni sahihi kwa watoto kudai urithi kabla ya wazazi wao kufariki dunia Je, hatua hii inaweza kuleta athari katika familia Tuandikie maoni yako na tutayasoma katika #KilingeChaFamilia, kinachorushwa kila…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
#MEZAHURU: Mchezo wa Riadha kwa sasa unatangaza taifa letu, Kipi kifanyike kukuza na kuboresha mchezo huu kwenye taifa letu la Tanzania..? Saa Tisa alasiri.
#HABARI: Wakati hali ya ukame na kiangazi ikiendelea kukumba eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kufuatia kukosekana kwa mvua kwa muda mrefu, sasa baadhi ya wabunge kutoka Kaskazini Mashariki mwa…
Hizi ni video zilizorekodiwa Jumatano na Shirika la Kitaifa la Uokoaji na Utafutaji la Indonesia zinaonesha waokoaji wakibeba miili kutoka kwenye vifusi na kuipeleka kwenye gari la wagonjwa huko Sumatra,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
#HABARI: Kampuni ya Meta imesema imeanza kuondoa akaunti za vijana walio chini ya umri wa miaka 16 kutoka kwa mitandao yao ya kijamii nchini Australia kuelekea marufuku iliyotangazwa na Serikali…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 4, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ...DISEMBA 04, 2025
#SwaliLaKipimaJoto:Wanaohamasisha maandamano yasiyo na kikomo. Je, wana haki ya kuzuia haki za wengine?
🔴#MAGAZETI:KUELEKEA DISEMBA 09, POLISI YABAINI MBINU OVU 12 / SIMBA, YANGA DIMBANI LEO