🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 04, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 04, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 04, 2025
AISHI Manula usiku wa leo Jumatano Desemba 3, 2025 amekaa golini kwa mara ya kwanza akiidakia Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara baada ya kupita takribani siku 638.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 03 DESEMBA 2025
#HABARI: Wazee na Vijana wa Mkoa wa Pwani, wamesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, imeonyesha uwazi na ukweli na…
#HABARI: Wakati msimu wa kilimo ukiwadia, Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, mkoani Songwe, imetangaza neema kwa wakulima na wafugaji kwa kuanza mikakati ya kuimarisha sekta za Kilimo na…
#HABARI: Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), imefungua rasmi Maktaba ya mkoa wa Ruvuma baada ya kusimama kutoa huduma kwa miaka mitatu mfululizo kutokana na uchakavu wa majengo huku…
#HABARI: Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amejipanga kuanza ziara maalum ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Kata 142 za Mkoa huo, ikiwa ni pamoja na kukagua…
#HABARI: Mwezi Novemba, 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imefanya Operesheni mbalimbali zilizofanikisha ukamataji wa jumla ya kilogramu 3,799.22 za Dawa za Kulevya, kuteketeza Ekari…
Serikali ya Marekani imeagiza mawakala wa uhamiaji kusitisha shughuli za utoaji wa vibali vya urai kwa wahamiaji kutoka nchi 12 zilizopigwa marufuku kuingia nchini humo, huku nchi saba zikiwekewa vikwazo.…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Njombe, Mhe.Sigrada Mligo, amesusia mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Njombe, kwa madai…
#HABARI: Watanzania hasa vijana wametakiwa kujiepusha na vurugu zinazoweza kuhatarisha amani ya nchi, kwa kufanya uharibifu wa mali za umma na za watu binafsi kwa madai ya kutafuta haki na…
Wakati dunia inawaenzi watu wenye ulemavu, wapo baadhi yao ambao wanaishi katika falsafa ya ‘ulemavu si kulemaa’…Mmoja wao ni Silas Kassao wa mkoani Morogoro aliyepata ulemavu wa kudumu akiwa na…
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 03, 2025 - POLISI WAITAKA JAMII KUJITENGA NA MAANDAMANO
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa ahadi ya kuendeleza ushirikiano na Mabaraza ya Wazee nchini. Amesema lengo la hatua hiyo ni…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imetaifisha mali zenye thamani ya shilingi bilioni 3.304 zinazodaiwa kupatikana kupitia biashara haramu ya dawa za kulevya. Kamishna Jenerali wa…
Mkuu wa Mkoa wa manyara Queen Sendiga anatarajia kuanza ziara y kampeni maalum iliyobeba jina la Sivui buti hadi kieleweke Dec 4 ambayo inalenga kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SHINYANGA - DISEMBA 03, 2025
LIGI Kuu Bara inaendelea leo Alhamisi kwa mechi mbili vinazohusisha vigogo Simba na Yanga zinazokabiliana na Fountain Gate na Mbeya City zikitoka katika majukumu ya mechi za kimataifa za Ligi…
Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kulinda maisha ya watu na mali zao sambamba na kuhakikisha hali ya amani, utulivu na usalama unaendelea kuimarika nchini.…
MASHUJAA imetoka sare ya pili mfululizo katika mechi za Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji na Coastal Union na kukata wimbi la ushindi kwa timu hiyo na kocha Salum…
#HABARI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Profesa Palamagamba Kabudi, amewasisitiza viongozi wanaostaafu, kuandika vitabu vinavyoainisha safari za maisha yao, ili kuweka kumbukumbu sahihi za mchango walioutoa kwa…
MASHABIKI wa Yanga wana furaha vilevile mabosi wao, siri ni moja tu ni kwamba kikosi cha timu hiyo kilivyobadilika, lakini kocha Pedro Goncalves mwenyewe humwambii kitu kuhusu wachezaji.
MSIMBAZI hali si shwari tangu ilipofanya Mkutano Mkuu wa mwaka Jumapili iliyopita na kisha timu hiyo kupoteza mechi ya pili mfululizo ya Kundi D ya Ligi ya Mabingwa Afrika mbele…
KIUNGO mkongwe wa Simba na Yanga, Hassan Dilunga ameweka siri inayomfanya kusalia ndani ya kikosi cha JKT Tanzania kwa muda mrefu, huku akimtaja kocha Hamad Ally.
AZAM FC kwa sasa vichwa viko chini wakiuguza maumivu ya kupoteza mechi mbili za kwanza za makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini mashabiki wa klabu huenda wakatuliza presha kutokana…
Mazungumzo ya saa tano kati ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Marekani, Donald Trump yameonekana kushindwa kuleta mafanikio katika kufanikisha muafaka wa amani nchini Ukraine. #AzamTVUdates Mhariri…
#HABARI: Jeshi la Polisi Tanzania limetoa taarifa kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hususan ‘maandamano’ yanayotajwa kufanyika Desemba 9, 2025. Jeshi hilo limesema, linaendelea kutekeleza majukumu yake ya…
🔴MEZA HURU, MSUGU VIMELEA...DESEMBA 03 2025
Bonasi za kubashiri ni fedha za ziada zinazotolewa kama zawadi na kampuni za kubashiri kumpa nguvu mchezaji/mwekezaji. Zinakuja katika njia mbalimbali, kwa sababu kila kampuni hujaribu kutofautisha ofa zake na…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Jabiri Omari Makame amesema kile kilichofanyika wakati na baada ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025 kilikuwa ni fujo, vurugu…
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 53 kwa ajili ya kuanza maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
#VIDEO: Hivi ndivyo Jeniffer Jovin ‘Niffer’ alivyoondoka leo katika viwanja vya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kufutiwa mashtaka ya uhaini yaliyokuwa yakimkabili. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya watu wenye ulemavu… unashauri jamii ifanye nini ili dunia isonge mbele bila kumuacha mtu yeyote nyuma Tuandikie maoni yako, tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 #UTV.
Sasa unaweza kupata taarifa mbali mbali kuhusu kampuni ya Mainland Group kuhusu mafuta ya alizeti ya Sunland na Merrin Farm, kwenye chaneli kuu za Azam TV - hii hapa ni…
#HABARI: Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameondoa mashtaka dhidi ya mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26), maarufu kama Niffer, pamoja na Mika Lucas Chavala, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhaini. Uamuzi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
Je, umetimiza malengo uliyokuwa umejiwekea mwaka huu? Tathmini yako kifedha inaonekana vipi? Wataalamu wa masuala ya fedha wanasisitiza umuhimu wa kufanya tathmini binafsi ya fedha na uchumi, hususan tunapoelekea mwishoni…
Huduma za mabasi yaendayo haraka katika Barabara ya Morogoro… kutoka Kimara kuelekea Gerezani - Kivukoni na Morocco - zimerejea rasmi leo kufuatia agizo la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba aliyetaka huduma…
#VIDEO: Mfanyabiashara Jeniffer Jovin, maarufu kama Niffer, na Mika Chavala wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo Desemba 3, 2025, kwa ajili ya kusikiliza shauri…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
#MEZAHURU:Usugu Vimelea vya magonjwa na dawa. Tunaangalia juu matumizi holela ya dawa unavyosababisha usugu wa vimelea vya magonjwa. Je, nini kifanyike ili kuondokana na tatizo hilo?
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua na uhalifu, limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..DESEMBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 03 2025
#HABARI: Rais wa Marekani amesema hataki wahamiaji wa Kisomali nchini Marekani, na kuwaambia waandishi wa habari wanapaswa kurejea walikotoka. "Siwataki katika nchi yetu, nitakuwa mkweli” Donald Trump amesema hayo wakati…